ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,869
- 131,850
Treatment amba aliyopata itakuwa fundisho kwa vijana wote wa Tanzania wenye akili za kisoda kama yeye, nadhani hujaangalia video zake kabla ya hiyo ya kuliwa. Alirekodiwa tena akiliwa double (threesome) na vijana wawili, and she's cool with it, akapostiwa online, again she's just cool. Mtu wa namna hiyo akiachwa tu anaharibu vijana wangapi? Kama kuna kijana atatupia video ya namna ile tena kwa kipindi hiki, huyo atakuwa retard.Kusema ukweli sijafurahia kitendo cha Amber lakini pia nimesikitishwa na treatment aliyopewa. Ushoga ni dhambi na ulikuwepo hata wakati Yesu yupo. Kama Sodoma na Gomorrah walishindwa kuutokomeza tutaweza sisi?
Nguvu haitasaidia kupigana na hili tatizo. Ninakumbuka katika kutafuta nilifanya kazi kwenye kituo cha psychologists and counselling nilikuwa karani tu mpokea simu. Kuna kijana alipiga simu alikuwa referred na daktari wake. Anataka counselling. Ndiyo amejigundua kuwa ni gay baada ya kumaliza six form. Hawezi kuongea na wazazi wake na anaogopa marafiki zake watamtenga.
Sasa kijana kama huyu asipopata psychological help mtamkuta amekunywa sumu na amri RIP . Kumbe angeweza kuwa mathematician mzuri tu na kusaidia watu kama Sky Eclat lufaulu mitihani.
Hata Yesu alisulubiwa, lakini ilibidi mmoja wa wanafunzi wake amuuze ili azma ya kusulubiwa itimie, na jamaa kama tunavyosoma hatoona ufalme wa Mungu. Je, Yuda ana kosa gani? Asingemuuza nani angefanya hivyo?
Sometimes acheni mmoja awe fundisho kwa wengine.