palangana
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 506
- 450
Kasema "mwanamke"Astghifilullah!Kwa hiyo utakula tigo ya "ndume" kwa shingo upande?Hahahahahaaaa!Don't eat it,boss!It's toxically baptized!
Kasema "mwanamke"Astghifilullah!Kwa hiyo utakula tigo ya "ndume" kwa shingo upande?Hahahahahaaaa!Don't eat it,boss!It's toxically baptized!
Senkyuu.Nimerudia kusoma.Ila ni kharamu kubugia TiGO yoyote iwe ya ndume au jike.Ni sawa na kumbugia punda tu.Illegal Penetration!Kasema "mwanamke"
Ameshakupiga tobo tayari wee ng'aa tu macho!!Mkuu sijakuelewa ni kama vile unatafuta base ya kusapoti ushoga
Mashoga wanatafuta watu maarufu na waliokuwa na nguvu katika historia wanawapakazia kuwa nao walikuwa mashoga ili kujustify matendo yao. Siungi mkono jinsi makonda anavyoendesha kampeni yake maana huwezi mdharirisha mtu kwa kusema tu bila kuwa na ushahidi maana kama ni kusema hata yeye alishasemwa kuwa ni kati yao lakini akikujua unamsema nina hakika anakuchukulia hatua.
Lakini ninashauri tuangalie makuzi ya watoto wetu maana haya mambo yanaanza mtu akiwa mtoto na siku hizi wazazi wanapeleka watoto boarding hawana hata muda ya kuwalea vizuri.
Haha! Tunashukuru Mo amepatikana salama salmini, tumeshasahau sahivi tunaongelea uTigo😂😂😂Senkyuu.Nimerudia kusoma.Ila ni kharamu kubugia TiGO yoyote iwe ya ndume au jike.Ni sawa na kumbugia punda tu.Illegal Penetration!
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?Subirini mletewe posa za vijana wenu wa kiume wakitaka kuolewa na wanaume wenzao.
Sioni sababu za ku-justify ufiraji na ufirwaji, ni chukizo mbele za Mungu na hatuna budi kulipinga kwa nguvu zote, hao kina Elton John na nchi zao tuwaache huko, let's shape our societies.
Mtakapoletewa posa vijana wenu kutaka kuolewa na vijana wenzao ndio mtafunguka akili.
Michael Jackson shogaMashoga wanatafuta watu maarufu na waliokuwa na nguvu katika historia wanawapakazia kuwa nao walikuwa mashoga ili kujustify matendo yao. Siungi mkono jinsi makonda anavyoendesha kampeni yake maana huwezi mdharirisha mtu kwa kusema tu bila kuwa na ushahidi maana kama ni kusema hata yeye alishasemwa kuwa ni kati yao lakini akikujua unamsema nina hakika anakuchukulia hatua.
Lakini ninashauri tuangalie makuzi ya watoto wetu maana haya mambo yanaanza mtu akiwa mtoto na siku hizi wazazi wanapeleka watoto boarding hawana hata muda ya kuwalea vizuri.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Papuchi ni tamu sana, sioni sababu ya kula tigo za wanaume wenzangu, ikitokea mwanamke anahitaji nimle tigo nitakula kwa ajili ya kumfurahisha tu
Hahahaaa wewe jamaa mjanja sana,Papuchi ni tamu sana, sioni sababu ya kula tigo za wanaume wenzangu, ikitokea mwanamke anahitaji nimle tigo nitakula kwa ajili ya kumfurahisha tu
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?
Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?
Hili swali hawalijibu hawa wanaosapoti ushoga,Subirini mletewe posa za vijana wenu wa kiume wakitaka kuolewa na wanaume wenzao.
Sioni sababu za ku-justify ufiraji na ufirwaji, ni chukizo mbele za Mungu na hatuna budi kulipinga kwa nguvu zote, hao kina Elton John na nchi zao tuwaache huko, let's shape our societies.
Mtakapoletewa posa vijana wenu kutaka kuolewa na vijana wenzao ndio mtafunguka akili.
Inasemekana Alexandre the Great alikuwa shoga. Fikiria huyu mwanaume aliyekuwa na nguvu ya kuteka nchi na kuendeleza himaya yake lakini hakuwa mkamilifu.
Roman Army ilikuwa na mashoga, walifanya kwa siri kubwa kwani ilikuwa ukigundulika unauliwa. Wengi baada ya kustaafu ilibidi waoe ili kuficha aibu kwenye jamii.
Mashoga wa Ulaya wamepigana sana kupata haki sawa. Ni mpaka miaka ya 1960 wanaume walifungwa kwakuwa mashoga. Waliitwa insane na walitengwa na jamii.
Mashoga matajiri kama wakina Elton John, Terrence Higgins na wengineo wametoa mchango mkubwa sana katika utafiti wa Tiba ya UKiMWI.
Tofauti kubwa iliyopo ni tofauti ya uchumi kati ya nchi zetu na nchi za Ulaya. Vijana wetu wadogo wengi wako hatarini kujihusisha na matendo ya kishoga kwasababu za ki uchumi tofauti na vijana wa Ulaya ambao huchagua maisha hayo.
Nguvu nyingi ielekezwe kuokoa vijana kiuchumi kwa mipango endelevu.
Tumeambia tusihukumu ila kumbuka wakati una batizwa, ulipakwa mafuta bila shaka wewe ni nabii lazima umwambie na umuelekeze mwenzako akikosea hata kama akikasirika. Alafu tusihalalishe upuuzi eti kisa Alexander the great, da vinci walikuwa mashoga kumbuka hawa ni binadam na wazaifu na ndio maana shetani akawa jaribu na wao wakakubali kujaribika . Wewe unachotakiwa kuwahubiria wanapokosea na hata kukemea, Yesu haku muhukumu mtu, ila aliwa hubiria upendo wa Mungu kwa mtu atakaye kubali kuomba toba na kubadilika na Kuna kipindi hakusita kukemea hadharani dhambi. Tusihalalishe huu upuuzi kwa hicho kigezo chako cha akina Alexander great na da vinci hao pamoja na nguvu na ugenius wao, lkn wao ni binadam na wanajaribiwa na shetani cha msingi timiza wajibu wako kama mzazi, mwana jamii katika malezi ya watoto wako na watoto wa majirani zako na ukiona hawakuelewi vaa unabii wako na ukemee kwa nguvu, ili jamii yetu, kizazi chetu kisipotee na tulinde tamaduni zetu za Kiafrica.Imani yangu inaniambia ushoga sio dhambi pekee mbele ya macho ya Mungu. Sitamtupia mtu jiwe kwani it is written "Let who is without sin, cast the first stone!!". Naomba rehema na toba Mungu aniepushe na kuhukumu watu kwani Yeye ndiye mwenye haki hiyo.
Dada samahan mfano mwanao akawa shoga , akaletewa posa aolewe ,utakubali?Who are you to judge? The world now has become a small village, yes we need to educate our children but what are you going to do with the James Delicious? Are you going to kill them?
Kusema ukweli sijafurahia kitendo cha Amber lakini pia nimesikitishwa na treatment aliyopewa. Ushoga ni dhambi na ulikuwepo hata wakati Yesu yupo. Kama Sodoma na Gomorrah walishindwa kuutokomeza tutaweza sisi?I'm no one to judge, lakini msimamo wangu upo palepale, ufiraji na ufirwaji ni chukizo mbele za Mungu. Huku Afrika elimu tu haisaidii, inahitajika nguvu kubwa kutokomeza huu uchafu.
Kwa hiyo wewe umefurahi amba alivyotupia anavyoliwa makalio? Unaweza hata kumuonyesha mwanao video ya yule dada akiliwa kalio? Ndio wanafanya sirini, inakuwaje mtu atoe uchafu wake hadharani? Najua vijana wengi sasa hivi wanatafunana nyuma, lakini wanatuonyesha uchafu huo ili iweje, wanataka kutuonyesha nini?
Basi fanyeni sirini vijana wengine wasiharibike, ukichekea hawa watu kila mtu ataanza kurusha vifiro mitandaoni, its worse.
Achana na habari za misaada ya wazungu, achana na gays waliofanya hadi madawa ya hiv yakapatikana, kwanza wao ndio chanzo cha yote haya.
Nenda zako Shetani.Imani yangu inaniambia ushoga sio dhambi pekee mbele ya macho ya Mungu. Sitamtupia mtu jiwe kwani it is written "Let who is without sin, cast the first stone!!". Naomba rehema na toba Mungu aniepushe na kuhukumu watu kwani Yeye ndiye mwenye haki hiyo.
Upo sahihi kakaTumeambia tusihukumu ila kumbuka wakati una batizwa, ulipakwa mafuta bila shaka wewe ni nabii lazima umwambie na umuelekeze mwenzako akikosea hata kama akikasirika. Alafu tusihalalishe upuuzi eti kisa Alexander the great, da vinci walikuwa mashoga kumbuka hawa ni binadam na wazaifu na ndio maana shetani akawa jaribu na wao wakakubali kujaribika . Wewe unachotakiwa kuwahubiria wanapokosea na hata kukemea, Yesu hakumuhumu mtu, ila aliwahubiria upendo wa Mungu kwa mtu atakayekubali kuomba toba na kubadilika na Kuna kipindi hakusita kukemea hadharani dhambi. Tusihalalishe huu upuuzi kwa hicho kigezo chako cha akina Alexander great na da vinci hao pamoja na nguvu na ugenius wao, lkn wao ni binadam na wanajaribiwa na shetani cha msingi timiza wajibu wako kama mzazi, mwana jamii katika malezi ya watoto wako na watoto wa majirani zako na ukiona hawakuelewi vaa unabii wako na ukemee kwa nguvu, ili jamii yetu, kizazi chetu kisipotee na tulinde tamaduni zetu za Kiafrica.