Ukweli Kuhusu Ujasiriamali na Kama Unafundishwa Vyuoni au la, na kwa nini umafananishwa na Mapenzi?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,917
Kuna Ufananisho uliopo kati ya Ujasirimali na Mapenzi, na Ufanano wao ni kwamba kama Ilivyo kwa Mapenzi kwamba Hakuna chuo Dunini kinacho fundisha Mapenzi ndo ilivyo kwa Ujasirimali, hakuna chuo Dunini cha kukufundisha Ujasirimali, najua watu hawataelewa hapo,

Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine kuna vyuo vinavyo toa Certificate, Diploma, Degree, Master na PHD ya Ujasirimali, ila ieleweke kwamba Entreprenership Spirti haifundishwi mahali popote pale dunini na vyuo vyote kitu wanafanya ni kufundisha stady/mbinu za kufanya Biashara kama vile

- Mareketing
- Business planing
- Marketing planing
- Kutafuta wazo
- Finacial planing
- na kozi zingine nyingi sana

Hizo ndo kozi ambazo Vyuo vingi vya Ujasirimali vinafundisha, Likini ieleweke kwamba Entreprenership Spirt haifundishwi na haijawahi kufundishwa, na haitakaa ifundishwe,

So hata kama utasoma Vitabu milioni mia moja kama huna spirit ya Ujasirimali sahau kwamba unaweza kuwa mjasirimali, na ndo maana utakuta kuna watu wana Phd za Ujasirimali lakini wanaogopa sana kitu kuanzisha biashara

- So tuelewe kwamba kinacho fundishwa ni mbinu za kijasirimali na sio Spirti ya Ujasirimali


How do you teach obsession, because more often than not it’s obsessions that drives an entrepreneur’s vision?

can we teach the principles of entrepreneurship in a classroom in the same way that we teach other academic subjects such as medicine or law?

- VYUO VYA UJASIRIAMALI

Hivi vyuo vinasaundi sana kwa wale ambao tiyali wana spirti ya Ujasirimali na si vinginevyo ila kwa sbabau ni ishu ya pesa vyuo hubeba kila mtu, ila ukweli ni kwamba Huwezi fundisha ujasirimali mtu, haijawahi tokea

- KAMA UJASIRIMALI UNGEKUWA UNAFUNDISHWA

Kungekuwa na wajasirimali wengi sana hapa Tanzania na dunini kote, hapa Bongo kuna semina na semina zimefanyika, Mzumbe Univesity wanatoa Degree na Mastere, UD nao pia lakini hakuna kitu wanao graduate MZUMBE UNIVESITY wote huenda kutafuta kazi na ushahidi upo, SUA ni hivyo hivyo na vyuo vingine.

Entrepreneurship in the classroom is safe, clean and sanitised. Entrepreneurship in the real world is risky, dirty and sometimes dangerous

Successful entrepreneurship in many ways comes about as a result of a combination of factors which will vary from one individual to the next, in terms of their personal characteristics and the route they have taken into the world of business and enterprise.


KAMA YALIVYO MAPENZI NDO UJASIRIMALI ULIVYO


 
Najua watu watakuja na Argument ya Born and Made Entrepreners, lakini ukweli unabakia kwamba hata kwa Made entrepreners tiyali unakuta ana natural factor za Entreprenership, na si vinginevyo
 
Mkuu nimekupata, sasa vipi kwa Wanao soma vyuo vikuu wakimaliza waajiriwe na wasijiajiri wenyewe? make kama haifundishwi inamaana watu wanao saoma inakuwa vipi?
 
 
Chukula Mfano wa Wahindi,

- Wahindi wengi wana Element za Biashara na ndo maana hata watoto wao wengi huishia kuwa wafanya biashara, lakini tukija Kujadili Entrepreners na sifa zake, hata hao wahindi wengi tunawaondoa na tunawaweka katika kundi la Wafanya biashara.

MFANO:

Kati ya Muundaji wa Mabasi ya UTONG na Wanao fanya biashara ya kusafirisha abilia na hayo mabasi Mjasirimali ni nani hapo?
Automaticaly atakuwa ni YUTONG kwa sababu yeye ndo muanzilishi wa wazo la Yutong

Tatizo tunataka kulazimisha na sisi wachuuzi kuwa wajasirimali kitu amabcho hakiwezekani,
 
Watu wanachanganya kati ya Ujasiriamali, uchuuzi na kufanya biashara. Hapa Tanzania tuna wachuuzi wengi, ingawa wao wanajiita wajasiriamali. Mtu anayechukua bidhaa kutoka sehemu A na kuiuza sehemu B siyo mjasiriamali, bali mchuuzi.

Au mtu mwenye fedha akiamua kuanzisha biashara ya kawaida let say hotel, au duka kubwa la jumla, hapaswi kuitwa mjasiriamali, bali mfanyabiashara.

Mjasiriamali ni mtu anayetumia akili yake/kipaji chake/ujuzi wake/ Elimu yake na rasilimali zinazo mzunguka au zinazopatikana katika eneo lake kuanzisha kitu ambacho kitamtoa kimaisha, au kitabadilisha maisha ya watu hapa duniani au katika jamii yake.

Mara nyingi wajasiriamali wa ukweli huja na vitu ambavyo havijawahi kuwepo, au huviboresha vitu vilivyokuwepo, hapa namaanisha bidhaa (Products), huduma (service) au namna ya ufanyaji (Business Model). Kama unakuja na kitu kile kile kinachofanyika kwa namna ile ile, kwa kutumia resources zile zile hapo unakua umeanzisha biashara ya kawaida.

Kwa hiyo elimu inayotelewa na vyuo vyote duniani ni elimu ya kuendesha biashara, ujuzi na stadi za maisha. Ina baki kwa mtu mmoja mmoja sasa kuja na wazo/fikra/ubunifu wa kutumia elimu hiyo katika kufanya kitu tofauti, kitakacho msaidia kuboresha maisha yake, au ya watu wengine duniani.

Mjasiriamali wa kweli, huwa haitaji mtaji zaidi ya ujuzi/elimu/kipaji alichonacho na rasilimali zinazomzunguka katika kuanza biashara.

Kama wewe unahitaji kuanza kufanya kitu, na unakwamishwa na mtaji, basi huenda wewe si mjasiriamali, bali mchuuzi.

Mfano mzuri wa Mjasiriamali wa kweli ni Babu wa Loliondo, alijiingiza mamilioni bila hata kuwa na mtaji wa elfu 10, kwa kutumia vitu alivyokuwa navyo na mazingira yake.

Inshort duniani kuna wajasiriamali wachache, wachuuzi wengi, na wafanya biashara wengi.
 

Mkuu true kabisa na nashukuru sana kwa ufafanuzi mwingine murua kabisa, tatizo liko kwa wanasiasa wetu, kuwaita hadi wachuuzi kwamba ni wajasirimali kitu ambacho sicho kabisa na hakipo mahali popote pale duniani

Na tukirudi kwenye hao watu watatu, Mchuuzi, Mfanya biashara na Mjasirimali, utakuta kwamba Ili nchi Isonge Mbele inahitaji wajasirimali na si vinginevyo, lakini nchi kama Tanzania wngi wetu sisi ni wachuuzi na wafanya biashara so tunanufaisha wengine,

Sehemu Kama Kariakoo, pale ni sehemu ya kukuza Uchumi wa CHINA, India na kwingineko, na si Uchumi wa Tanzania kama tunavyo aminishwa, Leo hii nchi kama Malayasia na Indonesia ziko pale zilipo kwa sababu ya Wajasirimali wao, Leo hii Brazili iliyo kuwa Moja ya Mataifa masikini kabisa Anmerica ya Kusini Imeipiku hadi Wingereza, It means kwa Ulaya Nzima kuna nchi mbili zinazo weza kufurukuta mbele ya Brazili ambazo ni Ujerumani na Ufaransa na hata hivyo zitapitwa muda si mrefu,

So Tanzania wengi wetu tunafanya biashara pamoja na Uchuuzi, na hizi ndo elimu ambazo zinapatikana vyuoini, ila si Elimu ya Ujasirimali,

Ishu kama kuteki Risk haifundishwi mahali popote pale, that is why wavumbuzi wote hawakwenda chuo kabla ya kuvumbua, bali ni derive force ya Entreprenership spirt ndo iliwasukuma kufanya hivyo
 
 
 
Do they regret leaving their teaching jobs? "I would never be what I am today if I had remained a teacher," says Muguku. "Not one moment," Leah adds.

Hii statment inaumiza sana,
 
The moral of the story then and now is: if you are unhappy with your salary, you are in the wrong job. Look elsewhere, preferably follow your dream if you have any
 
 
chasha wewe ni mjasiriamali?

Nafanya biashara tu, make nikisema Ni full mjasirimali utakuwa ni uongo make sina zile feature zote za Ujasirimali, so ni biashara tu, ila nafanya na kazi, Ingawa natarajia kuachana na Kazi mapema mwakani mwezi wa Nnne, Nachukia sana Ajira ya kuajiriwa na niataacha rasimi kwa sababu sioni Faida hata ningefanya kazi miaka 40, so miaka 4 niliyo fanya inatosha kabisa. Ila siku naachana nayo rasimi nitawaletea story kamili,
 
 
 
 

ahsante kwa kushare nasi hizi mambo.
 
It is all about courage and determination katka kutumia fursa na inaweza ikawa ktk mfumo wa ugunduz wa k2 kipya, kufanya jambo la zaman ktk namna mpya, kufanya jambo la zaman ktk eneo jipya.
 
mkuu pongezi sana kwa nyuzi zako nzuri, viongozi wetu ni kama washabiki wakisikia neno ujasiriamali mwanalishabikia na kuwalisha sumu wengine. sifa mojawapo ya ujasiliamali ni kuwa innovative sasa mtu anafungua , bar mngine nae pembeni yake na mgine nae na wote wanajiita wajasiliamali!. sifa nyingine ni kuchange vitu vinavyokuzunguka kuwa valuable materials sasa kwenda kununua simu china sijui unakuwa ndo ujasiriamali gani!. chuoni kwa kweli hua tunapeana mbinu tu na sifa za ujasiriamali lakini ujasiriamali inabidi uwe risk taker na mvumilivu(perseverant) vitu ambavyo huwezi fundishwa chuoni. elimu ya chuo inamchango kidogo katika kuwafanya watu kuwa wajasiriamali zaidi sana inasaidia wajitambue kama wao wanafit kuwa wajasiriamali au la?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…