Ukweli Kuhusu Ujasiriamali na Kama Unafundishwa Vyuoni au la, na kwa nini umafananishwa na Mapenzi?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,762
8,834
Kuna Ufananisho uliopo kati ya Ujasirimali na Mapenzi, na Ufanano wao ni kwamba kama Ilivyo kwa Mapenzi kwamba Hakuna chuo Dunini kinacho fundisha Mapenzi ndo ilivyo kwa Ujasirimali, hakuna chuo Dunini cha kukufundisha Ujasirimali, najua watu hawataelewa hapo,

Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine kuna vyuo vinavyo toa Certificate, Diploma, Degree, Master na PHD ya Ujasirimali, ila ieleweke kwamba Entreprenership Spirti haifundishwi mahali popote pale dunini na vyuo vyote kitu wanafanya ni kufundisha stady/mbinu za kufanya Biashara kama vile

- Mareketing
- Business planing
- Marketing planing
- Kutafuta wazo
- Finacial planing
- na kozi zingine nyingi sana

Hizo ndo kozi ambazo Vyuo vingi vya Ujasirimali vinafundisha, Likini ieleweke kwamba Entreprenership Spirt haifundishwi na haijawahi kufundishwa, na haitakaa ifundishwe,

So hata kama utasoma Vitabu milioni mia moja kama huna spirit ya Ujasirimali sahau kwamba unaweza kuwa mjasirimali, na ndo maana utakuta kuna watu wana Phd za Ujasirimali lakini wanaogopa sana kitu kuanzisha biashara

- So tuelewe kwamba kinacho fundishwa ni mbinu za kijasirimali na sio Spirti ya Ujasirimali

How do you teach obsession, because more often than not it’s obsessions that drives an entrepreneur’s vision?

can we teach the principles of entrepreneurship in a classroom in the same way that we teach other academic subjects such as medicine or law?

- VYUO VYA UJASIRIAMALI

Hivi vyuo vinasaundi sana kwa wale ambao tiyali wana spirti ya Ujasirimali na si vinginevyo ila kwa sbabau ni ishu ya pesa vyuo hubeba kila mtu, ila ukweli ni kwamba Huwezi fundisha ujasirimali mtu, haijawahi tokea

- KAMA UJASIRIMALI UNGEKUWA UNAFUNDISHWA

Kungekuwa na wajasirimali wengi sana hapa Tanzania na dunini kote, hapa Bongo kuna semina na semina zimefanyika, Mzumbe Univesity wanatoa Degree na Mastere, UD nao pia lakini hakuna kitu wanao graduate MZUMBE UNIVESITY wote huenda kutafuta kazi na ushahidi upo, SUA ni hivyo hivyo na vyuo vingine.

Entrepreneurship in the classroom is safe, clean and sanitised. Entrepreneurship in the real world is risky, dirty and sometimes dangerous

Successful entrepreneurship in many ways comes about as a result of a combination of factors which will vary from one individual to the next, in terms of their personal characteristics and the route they have taken into the world of business and enterprise.

KAMA YALIVYO MAPENZI NDO UJASIRIMALI ULIVYO

Najua watu watakuja na Argument ya Born and Made Entrepreners, lakini ukweli unabakia kwamba hata kwa Made entrepreners tiyali unakuta ana natural factor za Entreprenership, na si vinginevyo
 
Mkuu nimekupata, sasa vipi kwa Wanao soma vyuo vikuu wakimaliza waajiriwe na wasijiajiri wenyewe? make kama haifundishwi inamaana watu wanao saoma inakuwa vipi?
 
Mkuu nimekupata, sasa vipi kwa Wanao soma vyuo vikuu wakimaliza waajiriwe na wasijiajiri wenyewe? make kama haifundishwi inamaana watu wanao saoma inakuwa vipi?[/QUOT

Hapa ndo hua kuna Utata sana, kwanza ni lazima tutofautishe kati ya Entrpreners na Business man, tunahamasishana tukimaliza vyiuo tujiajiri na katika kujiajiri haimanishi ndo tumekuwa wajasirimali, no, kufanya biashara sio kuwa mjasirimali, na ndo maana unaambiwa hapa Dunini wajasirimali ni wachache sana ila Wafanya biashara ndo wengi sana

Mfano kama unasomea IT ukamaliza na kufungua Ofisi ya Kurepear Kopyuta inakuwa inapendeza sana lakini haimanishi wewe una spirti ya Ujasirimali,

Entrprenership spirt inaenda mbali sana, na ni zaidi ya Kufanya biashara, chukula mfano wa mtu kama Henery Ford baada ya kufa Familia yake inaendeleza kazi ya Baba yao lakini wale kurith si kwamba ndo wamekuwa wajasirimali, wao wanaendeleza wazo la Baba yao na Marehemu baba yao ndo alikuwa na Spirt ya Ujasirimali
 
Chukula Mfano wa Wahindi,

- Wahindi wengi wana Element za Biashara na ndo maana hata watoto wao wengi huishia kuwa wafanya biashara, lakini tukija Kujadili Entrepreners na sifa zake, hata hao wahindi wengi tunawaondoa na tunawaweka katika kundi la Wafanya biashara.

MFANO:

Kati ya Muundaji wa Mabasi ya UTONG na Wanao fanya biashara ya kusafirisha abilia na hayo mabasi Mjasirimali ni nani hapo?
Automaticaly atakuwa ni YUTONG kwa sababu yeye ndo muanzilishi wa wazo la Yutong

Tatizo tunataka kulazimisha na sisi wachuuzi kuwa wajasirimali kitu amabcho hakiwezekani,
 
Watu wanachanganya kati ya Ujasiriamali, uchuuzi na kufanya biashara. Hapa Tanzania tuna wachuuzi wengi, ingawa wao wanajiita wajasiriamali. Mtu anayechukua bidhaa kutoka sehemu A na kuiuza sehemu B siyo mjasiriamali, bali mchuuzi.

Au mtu mwenye fedha akiamua kuanzisha biashara ya kawaida let say hotel, au duka kubwa la jumla, hapaswi kuitwa mjasiriamali, bali mfanyabiashara.

Mjasiriamali ni mtu anayetumia akili yake/kipaji chake/ujuzi wake/ Elimu yake na rasilimali zinazo mzunguka au zinazopatikana katika eneo lake kuanzisha kitu ambacho kitamtoa kimaisha, au kitabadilisha maisha ya watu hapa duniani au katika jamii yake.

Mara nyingi wajasiriamali wa ukweli huja na vitu ambavyo havijawahi kuwepo, au huviboresha vitu vilivyokuwepo, hapa namaanisha bidhaa (Products), huduma (service) au namna ya ufanyaji (Business Model). Kama unakuja na kitu kile kile kinachofanyika kwa namna ile ile, kwa kutumia resources zile zile hapo unakua umeanzisha biashara ya kawaida.

Kwa hiyo elimu inayotelewa na vyuo vyote duniani ni elimu ya kuendesha biashara, ujuzi na stadi za maisha. Ina baki kwa mtu mmoja mmoja sasa kuja na wazo/fikra/ubunifu wa kutumia elimu hiyo katika kufanya kitu tofauti, kitakacho msaidia kuboresha maisha yake, au ya watu wengine duniani.

Mjasiriamali wa kweli, huwa haitaji mtaji zaidi ya ujuzi/elimu/kipaji alichonacho na rasilimali zinazomzunguka katika kuanza biashara.

Kama wewe unahitaji kuanza kufanya kitu, na unakwamishwa na mtaji, basi huenda wewe si mjasiriamali, bali mchuuzi.

Mfano mzuri wa Mjasiriamali wa kweli ni Babu wa Loliondo, alijiingiza mamilioni bila hata kuwa na mtaji wa elfu 10, kwa kutumia vitu alivyokuwa navyo na mazingira yake.

Inshort duniani kuna wajasiriamali wachache, wachuuzi wengi, na wafanya biashara wengi.
 
Mkuu true kabisa na nashukuru sana kwa ufafanuzi mwingine murua kabisa, tatizo liko kwa wanasiasa wetu, kuwaita hadi wachuuzi kwamba ni wajasirimali kitu ambacho sicho kabisa na hakipo mahali popote pale duniani

Na tukirudi kwenye hao watu watatu, Mchuuzi, Mfanya biashara na Mjasirimali, utakuta kwamba Ili nchi Isonge Mbele inahitaji wajasirimali na si vinginevyo, lakini nchi kama Tanzania wngi wetu sisi ni wachuuzi na wafanya biashara so tunanufaisha wengine,

Sehemu Kama Kariakoo, pale ni sehemu ya kukuza Uchumi wa CHINA, India na kwingineko, na si Uchumi wa Tanzania kama tunavyo aminishwa, Leo hii nchi kama Malayasia na Indonesia ziko pale zilipo kwa sababu ya Wajasirimali wao, Leo hii Brazili iliyo kuwa Moja ya Mataifa masikini kabisa Anmerica ya Kusini Imeipiku hadi Wingereza, It means kwa Ulaya Nzima kuna nchi mbili zinazo weza kufurukuta mbele ya Brazili ambazo ni Ujerumani na Ufaransa na hata hivyo zitapitwa muda si mrefu,

So Tanzania wengi wetu tunafanya biashara pamoja na Uchuuzi, na hizi ndo elimu ambazo zinapatikana vyuoini, ila si Elimu ya Ujasirimali,

Ishu kama kuteki Risk haifundishwi mahali popote pale, that is why wavumbuzi wote hawakwenda chuo kabla ya kuvumbua, bali ni derive force ya Entreprenership spirt ndo iliwasukuma kufanya hivyo
 
Mkuu nimekupata, sasa vipi kwa Wanao soma vyuo vikuu wakimaliza waajiriwe na wasijiajiri wenyewe? make kama haifundishwi inamaana watu wanao saoma inakuwa vipi?[/QUOT

Hapa ndo hua kuna Utata sana, kwanza ni lazima tutofautishe kati ya Entrpreners na Business man, tunahamasishana tukimaliza vyiuo tujiajiri na katika kujiajiri haimanishi ndo tumekuwa wajasirimali, no, kufanya biashara sio kuwa mjasirimali, na ndo maana unaambiwa hapa Dunini wajasirimali ni wachache sana ila Wafanya biashara ndo wengi sana

Mfano kama unasomea IT ukamaliza na kufungua Ofisi ya Kurepear Kopyuta inakuwa inapendeza sana lakini haimanishi wewe una spirti ya Ujasirimali,

Entrprenership spirt inaenda mbali sana, na ni zaidi ya Kufanya biashara, chukula mfano wa mtu kama Henery Ford baada ya kufa Familia yake inaendeleza kazi ya Baba yao lakini wale kurith si kwamba ndo wamekuwa wajasirimali, wao wanaendeleza wazo la Baba yao na Marehemu baba yao ndo alikuwa na Spirt ya Ujasirimali
kwa kifupi kama vile nakupata ni design entreprenuer ni mtu anaeweza kugundua ama kufanya kitu ambacho kinaweza dumu miaka mingi mf..kuestablish mtandao wa biashara ambao unaweza dumu na kuwaruthisha wana wa wanawe yani generations to generations..kaka statement yako ya wengi wanafanya uchuuzi naipenda sana...yan..inanimotivate kinooma sana yan..big up natumaini siku moja sitakua kati ya hao wachuuzi
 
Mkuu si kwamba Uchuuzi ni Mbaya no hata Huko mbele wapo wachuuzi wengi sana pamoja na wafanya biashara, kikubwa ni umejiajiri na unafanya biashara zako wewe mwenyewe.

Katika Dunia ya sasa Ujasirimali ni Mugumu sana unahitaji akili ya Kipekee kabisa, tofauti na kufanya Biashara, make mjasirimali yeye Faida si ishu sana kwake, Na wajasitimali wengi ndo hao unakuta walianza from the scratch mpka kufika juu,

Napenda sana kumtumia MUGUKU wa Kenya make huyu ingawa ni Marehemu kwa sasa lakini anamengi sana ya Kujifunza na historia yeke ni ndefu sana yakufananishwa na wakina THOMAS EDSON,

So mkuu Entreprenership spirt inahitaji moyo wa kipekee, Ujasiri wa kipekee, na Maono ya Kipekee na kwa kweli bila kuwa na hivyo vitu huwezi fikia katika hayo malengo

SOMA STORY YA MUGUKU, NILIIWEKA HUMU JAMAA WAKAIMUVUZISHA SIJUI KWA NINI
Nelson Muguku Njoroge, one of Kenya's newest Billionaires, is an amazing success story, who started of as a poor chicken farmer and is now Equity Banks largest single shareholder with shares worth more than 1 Billion Ksh since the stocks IPO on the Nairobi Stock Exchange.

Muguku started with two hens and a cock to supply eggs for breakfast in 1956. Then aged 24, he was teaching carpentry at Kabianga Teachers' College (now Kabianga High School).

Today, he is a multi-millionaire with a Mercedes Benz for himself and another for his wife, and owns one of the biggest hatcheries in the country - Muguku Poultry Farm in Sigona. His hatchery comprises four state-of-the-art Sh10-million incubators, with a capacity to produce 200,000 chicks a day. His breeding stock comprises 15,000 broilers and layers, which he imports as day-old chicks from Shavers company, UK. The farmer has 35 dairy cows and 15 sheep. "They give us some milk, but their main purpose is to trim the grass around the compound and destroy breeding grounds for mice and insects that would harm the poultry."

"
I have come from far," says the humble millionaire. "The road has not been easy. Nothing comes easy in life. I am what I am because of hard work and God's blessing."

Muguku quit his job as a teacher in 1957, when he stumbled on his younger brother, Muhia Njoroge's payslip. "Muhia was a teacher like me but he earned Sh350 a month, while I was getting Sh280. I applied for a promotion but was denied. I would have to go to college for proper training as Muhia had done to earn more. The idea of going for further training didn't appeal to me." So he quit.

Muguku had been trained as a carpenter at Thika Technical School from 1950 to 1953.

His childhood "big dream" was to own a bicycle. He bought one with his first Sh220 salary as a teacher at Kapenguria Intermediate School in 1954. From his salary Then his dream grew. "I now wanted a car."

He nearly bought one in 1956, after he had been transferred to Kabianga. A mzungu colleague was selling his Hillman saloon for Sh3,000. Muguku raised Sh2,000 from his salary and box-guitars he used to make.

"I persuaded him to sell me the car for Sh2,000. He said even if I had Sh3,000 he would not accept because my salary was too low to maintain a car.

"The man was brutally honest. The annual increase for an untrained teacher was Sh5. I was in the wrong career. If I was to make it in life, I had to quit teaching."

He quit in 1957 to venture into full-time poultry keeping. "When I told the principal I was going away, he said I was crazy to leave a stable job for something I had not even started." With only a bicycle and scanty furniture, the ambitious young bachelor left Kabianga by train for his Rukubi home in Kikuyu.

His parents, Njoroge and Wambui, too, thought their first-born child had gone mad. "My father told me he had 200 chickens and all had died in an epidemic. 'You think yours will survive?' my father posed. I said 'yes'!"

"I had Sh3,000 to start me off. I built a simple poultry house and bought 100 layer chicks. My father loaned me money to buy the feeds.''

Two years later, Muguku was the proud owner of 400 layers, had built himself a two-bedroom timber house and was hunting for a bride.

His wife-hunting mission, using his treasured bicycle to traverse Kiambu hills and valleys, paid off when he met and fell in love with Leah Wanjiku, a teacher at Githunguri's Kagaa Primary School, more than 40 kilometres away.

The couple wedded in January 1960 and spent their honeymoon tending poultry and dairy cattle at their newly-acquired five-acre farm in Sigona. "We had no such thing as a honeymoon in the way it is done these days," Leah reminisces with a chuckle. She quit teaching in 1963 to join her husband in poultry keeping.

"I decided to resign one day after losing eggs worth a month's salary - theft by the farmhands".

In 1965, Muguku bought a 22-acre farm for Sh100,000 from a mzungu veterinary doctor, and then started a hatchery with a 9,000-egg incubator.

"I sold my chicks for Sh2 instead of the price of Sh4 at Kiguaru Farm. The demand was high and business brisk."

Customers were now talking about Nguku cia Muguku (Gikuyu for Muguku's poultry). "I changed the name from Star Ltd to Muguku Poultry Farm."

His idea of poultry keeping started budding at Kabianga College when the principal suggested he supplies him with eggs. "I had two hens and the principal suggested he could bring hybrid eggs and we share the chicks equally. He brought 13 white leghorn eggs and we got a brood of 12 chicks. Half were hens, half cocks. I said he was being unfair to me "One afternoon, when they were four months old, he came to my house with four workers and picked all the six hens. I said he was being unfair to me. He said I was a bachelor and did not need many eggs. I was almost fighting him.

"He said: 'Have you forgotten you're a Kikuyu and don't have the pass?' . I let him have the hens."

Within weeks the principal was transferred. "The new principal told me he was aware of the history of the six hens in his compound, and added: 'I love eggs and chicken but can't stand the sight of poultry in my compound.'

"He sold them to me for Sh15 each. I would supply eggs at 25cts each until the price of Sh90 was paid in full," Muguku recalls.

"The deal was good. Eggs were then going for only five cents. I realised that I could make a lot of money selling eggs."

The workaholic couple spend most of their time on the 27-acre farm at Sigona, with Muguku overseeing operations while Leah attends to customers, "who come from as far as Rwanda and Tanzania," she says. "The minimum number of chicks one can buy is one. We sell what one can afford."

Do they regret leaving their teaching jobs? "I would never be what I am today if I had remained a teacher," says Muguku. "Not one moment," Leah adds.

They don't flaunt their wealth. Instead, they roll up their sleeves and join their employees at work. Muguku is a founder member of the well-performing Kikuyu Township and Kidfarmaco primary schools.

Three of their children, first-born Muthanji, Njoroge and Wambui - all with their own families - keep poultry, with Muthanji running a branch of Muguku Poultry Farm in Ngong. "The rest have no interest in poultry keeping," says the septuagenarian father.

Son Muhia works as a pharmacist in the US. Son Njuru is studying medicine, daughter Njeri nursing and last-born son Maina business administration at universities in the US.

Poultry in Gikuyu is nguku, and many think the name Muguku may have something to do with chicken. Nay. "My name has nothing to do with poultry."

His paternal grandfather, Kamenwa wa Rwathia, had a special horn from which he drank the traditional brew muratina. The horn had a natural depression (muguku) at the brim. His comrades-in-muratina nicknamed him Muguku.

The old man's first son, Stephen Njoroge, named his first son Muguku. It stuck.
 
Hii statment inaumiza sana,
 
The moral of the story then and now is: if you are unhappy with your salary, you are in the wrong job. Look elsewhere, preferably follow your dream if you have any
 
hii naikumbuka nilishaisomaga kama vipi ngoja niikopi na kupaste lakini nowadays namfuatilia sana Robert Kiyosaki naona kwa vitabu vyake na msaada wa Mungu nitafika pale nilipopangiwa kufika...maana nimegundua kwamba maisha mazuri ni zaidi ya kuajiriwa ukijibidiisha mtu utatoka tu...
 
chasha wewe ni mjasiriamali?

Nafanya biashara tu, make nikisema Ni full mjasirimali utakuwa ni uongo make sina zile feature zote za Ujasirimali, so ni biashara tu, ila nafanya na kazi, Ingawa natarajia kuachana na Kazi mapema mwakani mwezi wa Nnne, Nachukia sana Ajira ya kuajiriwa na niataacha rasimi kwa sababu sioni Faida hata ningefanya kazi miaka 40, so miaka 4 niliyo fanya inatosha kabisa. Ila siku naachana nayo rasimi nitawaletea story kamili,
 
Mkuu ni kweli Kabisa, Ila mkuu hao wakina Robert Kiyosaki ni theory tu, kuchukua hatua ni zaidi ya kusoma hivyo vitabu, Kusoma hivyo vitabu na kuchukua hatua ni vitu viwili visivyo kuwa na Uhusiano kabisa, Mkuu swala la kujitoa Mhanga halihitaji kusoma hivyo vitabu, MUGUKU hakusoma hivyo vitaba lakini alifanya maamuzi magumu sana,

Ya ishu ya Kazi ni Ngumu sana, Unakufa masikini,mimi huwa kuna watu tangia nikiwa mtoto mdogo walikuwa wanafanya kazi hadi leo hii na maisha yao still ni magumu sana, sana sana kwenye kazi watu hutega Yale Mafao, sasa mtu unpewa mafao hata kama ni milino 300 na unamiaka 65 inakuwa ni kazi bure tu
 
theory na practice ni vitu viwili tofauti lakini kupitia vitabu vya jamaa nimeweza kua na mawazo mengi sana tofauti na kama nisingeweza soma vitabu vyake..information inaplay vital sana ktk maendeleo..wkt w akina thomas edison,au henry ford ilikua ngum kupata information lkn ..sasa vnd vimechange..kuona opportunity inawezekana ikawa ticket yako mtu kuachana na umaskini..na kufanya mambo makubwa...
 
Mkuu hujanipata, Ishu ni Kupractse hapo ndo pagumu sana, ishu sio kuwa na mawazo ya kutaka kujiajiri, kwa sasa ukimuuliza kila mtu atakuambia anapenda kujiajiri na watu wengi sana wana mawazo ya kuanzisha biashara na wana Mawzo mazuri ya biashara, Aidea, sasa kazi iko kuweka katika Vitendo,

Mkuu kuweka katika vitendo hapo ndo hakuna theory inayo fanya kazi, hapo ndo zile Spirt za Ujasirimali zinapo fanya kazi, so elewa kwamba Kuweka wazo kwenye Practise ndo sehemu inyo washinda watu wengi sana, mtaani kila mtu ukimuuliza anakuambia ana wazo la biashara lakini hana mtaji,

Na kucpractse hapo ndo hakuna chuo kinacho fundisha, hapo ni wewe mwenyewe bila kujali umesoma au la
 
Nafanya biashara tu, make nikisema Ni full mjasirimali utakuwa ni uongo make sina zile feature zote za Ujasirimali, so ni biashara tu, ila nafanya na kazi, Ingawa natarajia kuachana na Kazi mapema mwakani mwezi wa Nnne, Nachukia sana Ajira ya kuajiriwa na niataacha rasimi kwa sababu sioni Faida hata ningefanya kazi miaka 40, so miaka 4 niliyo fanya inatosha kabisa. Ila siku naachana nayo rasimi nitawaletea story kamili,

ahsante kwa kushare nasi hizi mambo.
 
It is all about courage and determination katka kutumia fursa na inaweza ikawa ktk mfumo wa ugunduz wa k2 kipya, kufanya jambo la zaman ktk namna mpya, kufanya jambo la zaman ktk eneo jipya.
 
mkuu pongezi sana kwa nyuzi zako nzuri, viongozi wetu ni kama washabiki wakisikia neno ujasiriamali mwanalishabikia na kuwalisha sumu wengine. sifa mojawapo ya ujasiliamali ni kuwa innovative sasa mtu anafungua , bar mngine nae pembeni yake na mgine nae na wote wanajiita wajasiliamali!. sifa nyingine ni kuchange vitu vinavyokuzunguka kuwa valuable materials sasa kwenda kununua simu china sijui unakuwa ndo ujasiriamali gani!. chuoni kwa kweli hua tunapeana mbinu tu na sifa za ujasiriamali lakini ujasiriamali inabidi uwe risk taker na mvumilivu(perseverant) vitu ambavyo huwezi fundishwa chuoni. elimu ya chuo inamchango kidogo katika kuwafanya watu kuwa wajasiriamali zaidi sana inasaidia wajitambue kama wao wanafit kuwa wajasiriamali au la?.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom