mbona na hii in duara ndugu hebu chunguza vyema hasa iyo mistari ya longitude na latitude.Hii kidogo inaniingia kwa head!
Ndugu unafahamu kusoma ramani vyema? hebu ipitie na iyo ya UN kwa utulivu utagundua nayo pia ni duara.Nadhani umbile sahihi ni kama ramani ya UN
Alikuambia nani kama hizo picha ni za satelite. Hizo ni visual effects....images generated by computer graphicsAisee huamini hata picha za satellite?
mleta mada yuko sahihi sana kwa kimtizamo wake ni jukumu letu kumchalange na sio kumtukana
Hiyo image ilipigwa picha na nani ...graphicskuna satellite ngapi angani??
View attachment 414087
Tupe nadharia ya kupwa na kujaa kwa bahari.
Ukituwekea na kapicha ka dunia kutoka anga za juu itanoga.
Take it easy guys..Wewe akili yako ndo imeishia hapo? Ongea nikusome kama una akili au ni zuzu!
Hahaha haki ya Mungu!Leo dunia inazunguka Sua, kesho UDSM, keshokutwa dunia itazunguka Udom.
Bongo tambarare haina milima
Well said broUsije kuwa umesoma HGL halafu unatupotezea muda.Tupe theory yako,tuifanyie proof.Maarifa yaliyopo leo hayakupatikana kirahisi.Watu walisota na mpaka wengine walipoteza maisha.Wewe tusaidie tu kuwa kwa nini Tanzania tuko nyuma kimaendeleo?Hilo la jua na dunia siyo saiz yako.Kwa arguments zako.
We jamaa wewe...Alikuambia nani kama hizo picha ni za satelite. Hizo ni visual effects....images generated by computer graphics
mleta mada ana tatizo sugu la ugonjwa wa shzopherenia,,,hii inasababisha kuwa na mental disordermleta mada yuko sahihi sana kwa kimtizamo wake ni jukumu letu kumchalange na sio kumtukana
Katoroka milembe huyo.mambo mseto imani, sayansi na hisia
ndo nashangaa zipo ngapi anganiHiyo image ilipigwa picha na nani ...graphics