HahahaKuna uwezekano hata Wagonjwa unawapa dawa feki wewe jamaa.
Source pleaseee!?Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za Osama kuishambulia Marekani, kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi, kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US, CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi
Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US, ila akaweka tahadhari kubwa, kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao, siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie, lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia, alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi, masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,
Upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.
Source pleaseeeMossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za Osama kuishambulia Marekani, kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi, kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US, CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi
Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US, ila akaweka tahadhari kubwa, kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao, siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie, lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia, alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi, masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,
Upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za Osama kuishambulia Marekani, kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi, kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US, CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi

Duuh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii stori yako imenikumbusha kitu kimoja huwa siwezi kukishau. Wakati tunasoma undegraduate, nadhani ilikuwa mwaka 1996 au 97, alikuja mwanamziki mmoja naitwa MC Bougarou, pale Nkrumah Hall.Alikuwa mwanamziki maarufu sana enzi hizo. Akiwa kwenye maringo ya kucheza mziki chini ya jukwaa la pale Nkrumah Hall, akaamua kupandisha juu jukwaani huku akicheza mziki kwa kutelezesha miguu chini. Ngazi hizo hakuzimaliza kabla ya kuteleza KIUHALISIA na hatimaye kuanguka chini. Alichofanya MC Bougarou baada ya kuanguka, ni kuunganisha na staili za mziki ili aonekane kuwa hakuanguka bali ilikuwa ni staili yake ya kucheza mziki.
Soma uelewe tu kiongozi,wenzetu nje huchapisha habari zao baada ya tukio kutokea miaka kadhaa nyuma,hawafichiwewe hayo yote umayajua vipi?