Ukweli Kuhusu Sept 11. Haya mengine ni Uzushi mtupu

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za Osama kuishambulia Marekani, kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi, kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US, CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi

Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US, ila akaweka tahadhari kubwa, kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao, siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie, lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia, alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi, masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,

Upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.
 
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za osama kuishambulia Marekani,kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi,kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US,CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi,Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US,ila akaweka tahadhari kubwa,kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao,siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie,lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia,alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi,masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.

Mossad + CIA = Conspiracy Theory.
 
Bonge la points kaka... watu wakisha maliza chuo au schule na vitabu kule.. kusoma hakuishi jamani. Tutakuwa na wahitimu wa vyeti tu nchi yetu.. ukisoma mawazo ya mwezako unaongeza kikubwa sana pale ulipo ishia.. tafadhari naomba watanzania tusome
 
Asante kwa kutujuza ndugu! hata mimi niliwahi kuambiwa kuwa hilo picha Wamarekani walitengeneza.
 
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za osama kuishambulia Marekani,kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi,kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US,CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi,Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US,ila akaweka tahadhari kubwa,kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao,siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie,lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia,alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi,masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.

hilo nalo neno waisrael walijua na kuondoka possible wako katika kushambulia hao hii sentensi ifanyiwe kazi, kwanini mossad wajue then wawaondoe waisrael wote? nani aliwapa information? nani alijua watateka ndege na kulishambulia eneo husika? possible hii ilikuwa plan ya waisrael na wamarekani ili kuuteka ulimwengu na hilo tatizo.
 
Wewe umelishwa pumba.Pole.The bombing of the WTC was an inside job.Top world architectures,bomb scientists,CIA and MOSSAD insiders have proved that.Na report zao zipo.
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za osama kuishambulia Marekani,kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi,kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US,CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi,Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US,ila akaweka tahadhari kubwa,kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao,siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie,lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia,alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi,masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.
 
Nimeangalia video nyingi ila hadi leo sijajua nini hasa kilitokea siku hiyo...
Ila ilikuwa ni mwanzo mwa usalama kwenye ndege maana siku hizi ni ngumu mtu kuzama kwemye cockpit
 
Very good and intelligent observation.Pia kwa nini Bush alipoambiwa hakujali sana.Hii inaonyesha kwamba alijua kinachoendelea.Na huu ndio ukweli.Kwanza hata hizo tarehe zenyewe(9/11),kwa mtu anayejua the meaning of numbers, zinaonyesha kwamba ni tukio la kupanga,wala haina ubishi.
hilo nalo neno waisrael walijua na kuondoka possible wako katika kushambulia hao hii sentensi ifanyiwe kazi, kwanini mossad wajue then wawaondoe waisrael wote? nani aliwapa information? nani alijua watateka ndege na kulishambulia eneo husika? possible hii ilikuwa plan ya waisrael na wamarekani ili kuuteka ulimwengu na hilo tatizo.
 
Mossad lilikuwa shirika la kwanza la kijasusi kubaini njama za osama kuishambulia Marekani,kwa kawaida CIA na Mossad huwa wanabadilishana taarifa za kijasusi,kwa hiyo Mossad waliitaarifu CIA juu ya njama za kupigwa US,CIA chini ya Director wake George Tenet akamtaarifu rais Bush kuhusu US kushambuliwa kigaidi,Bush akapuuza taarifa ile akidai hakuna wa kupiga ardhi ya US,ila akaweka tahadhari kubwa,kabla ya Sept 11 waisrael wote waliokuwa na ofisi ktk majengo ya WTC walihama wote kufuatia agizo la serikali yao,siku ya tukio Sept 11 rais Bush alikuwa Florida ktk shule ya watoto akiwasomea kitabu ndipo alipopewa taarifa za WTC kupigwa aliendelea kusoma ili amalizie,lakini ghafla tena akaambiwa jengo la pili limepigwa na pentagon pia,alitupa kitabu akachukuliwa hadi Lousiana ktk kambi ya jeshi ya chini ya ardhi,masaa 3 baadae aliibuka akiwa na hasira na kulihutubia taifa ambapo alisema dunia ichague ama kuwa na US au magaidi,upotoshwaji unaofanywa eti US ilijipiga yenyewe ni uongo mkubwa wa photoshop.

This is very obvious.
Lets story nyingine.
 
Very good and intelligent observation.Pia kwa nini Bush alipoambiwa hakujali sana.Hii inaonyesha kwamba alijua kinachoendelea.Na huu ndio ukweli.Kwanza hata hizo tarehe zenyewe(9/11),kwa mtu anayejua the meaning of numbers, zinaonyesha kwamba ni tukio la kupanga,wala haina ubishi.

Nielezee pls kuhusu izo namba
 
aliechukuliwa na kufichwa kwenye handaki ni dick chen,makamu wa rais......
bush yeye alikwea airforce one na kuanza kuzunguka hewani akiendelea kupata taarifa nini kinatokea...alipojua kuwa hakuna hatari tena dhidi ya rais ndo akashuka chini....
 
Back
Top Bottom