Kuna uhusiano gani kati ya ufalme wa kifarao na pyramids? Kwani nyerere na Magufuli wamejenga miradi sawa?haya ni matango pori uliyolishwa na dini zenu nyie walugaluga
Pyramid ni majengo ya kale zaidi na yalikuwepo maelfu ya miaka kabla babu yenu Abram hajahama toka Uru ya wakaldayo kwenda kaanani yaani kiufupi
Abram wakati anaihama nchi yake hizo pyramid zilikua zimejengwa maelfu ya miaka hata yeye alizishangaa kama tunavyoshangaa Mimi na wewe
Maana kama umewahi soma kisa cha yeye kufika misri na kumwambia sarai ajifanye dadaake mbele ya farao ina maana zilikua zimeshajengwa muda murefu sana,
Ina maana wana wa Israel na Abraham nani alitangulia kuwepo mbaka mseme watumwa islaelist walizijenga?
Hii hoja ni ya kitoto sana, hujui kama hiyo mitume na manabii uliyokaririshwa ni wafu? Yaan upo radhi uamini hekaya za mababu wa wenzako na usiamini za mababu zako.... sasa wewe mbantu na hao waisrael+waarabu wapi na wapi?Sasa kwanini roots zenu zinawapeleka kuabudu mizimu ? Hamn maandiko matakatifu kama bible ilivoagiza? Mbona hyo Misri yenyewe ina asili ya kuabudu wafu kama hao mafarao?
Heee huyo si jini kabisa khaaa.Kwanza hiyo fact umeipatia wapi?
Da Gama na America wapi na wapi bwana!Kipind vasco da gama anatoka america kuja kutafta nae walimwambia hvyo hvyo
HahahaaKujenga juu kwa juu ni logic nyepesi sana, walipeleka materials ya ujenzi kama vile cement,
mkuu technology tuliyonayo sasa ni copy & paste kutoka kwa hao viumbe pia uelewe karne hizo wao walikua na spaceship's walizokuja nazo toka sayari ya Nibiru mbaka hapo unaona hao viumbe walikua na uwezo mkubwa sana kiteknolojia ,Kwa mambo aliyofanya binadamu mpaka sahivi pyramid haziwezi kuwa za viumbe wa tofauti. Binadamu ana uwezo sana watu wanaland kwenye mwezi.
Samahan mimi sio ngwini....ila najua kuna mwamba alitoka huko kuja kutafta kama kuna lolote huku behind the horizon..sjui ni columbus au ni nan sjui..Da Gama na America wapi na wapi bwana!
Gravitation forceHakuna sayar isiyo na gravity mkuu.
Em acha utani wewe watu hawajaona umuhimu tu wa kujenga hayo mapyramids unadhani wanaeza shindwa maengineer wakilivalia njuga. Hivi wewe unajua nuclear 2 inavyotengenezwa ilivyo hatari. Sasa ndugu yangu mtu aliekuwa na miaka 900+ unamchukuliaje alivyokuwa?mkuu technology tuliyonayo sasa ni copy & paste kutoka kwa hao viumbe pia uelewe karne hizo wao walikua na spaceship's walizokuja nazo toka sayari ya Nibiru mbaka hapo unaona hao viumbe walikua na uwezo mkubwa sana kiteknolojia ,
Ukiangalia baadhi ya majengo kama pyramid mawe yake yamechongwa kwa mitambo maalumu kwa maana hio mbaka Leo sisi wa dunia ya Leo bado hatujaweza buni machine za kuchongea mawe na kuyashep umbo lolote kama walivyofanya wao.
Achana na mababu wa misri nyinyi mababu zenu walikuwa wanajua nn kama sio uchawi tu. Mtu wa kijijini leo hii unaeza mfananisha na mtu mwenye exposure in terms ya ustaarabu? Afu Mungu sio wa wafu hao manabii siyo wafu Mungu si Mungu wa wafu bali wa walio hai. Maan mfu ni yule mbaya mbele za Mungu asiefuata mafundisho yake kwa visingizio vyovyote vile. Mtu yoyote mwenye uelewa kichwani ataielewa bible kuliko kitabu chchote kile duniani kwa maan hakuna swali halijibiki. Hivi hujiulizi kwann watu hawafuati maandiko ya wachina au hao wamisri au wahindu na wengineyo kama bible? Well utanambia sijui ukoloni bla bla bla. Jiulize kwann wakoloni walichukua bible na si kitabu kingine maan hawajatunga wao ila walitafsiri kutoka Israel?Hii hoja ni ya kitoto sana, hujui kama hiyo mitume na manabii uliyokaririshwa ni wafu? Yaan upo radhi uamini hekaya za mababu wa wenzako na usiamini za mababu zako.... sasa wewe mbantu na hao waisrael+waarabu wapi na wapi?
Wenzenu wanawasifia mababu zao na nyie mnafata tu kama nyumbu, lol
#jikomboe na utumwa wa fikra#
Kaka mkubwa kama unafata dini yoyote jua unafata imani na itikadi za mababu wa wenzako, ingekua vema kama ungejikomboa kifikra na kugeukia kwenye ukoo wenu uujue na kuutambua,Achana na mababu wa misri nyinyi mababu zenu walikuwa wanajua nn kama sio uchawi tu. Mtu wa kijijini leo hii unaeza mfananisha na mtu mwenye exposure in terms ya ustaarabu? Afu Mungu sio wa wafu hao manabii siyo wafu Mungu si Mungu wa wafu bali wa walio hai. Maan mfu ni yule mbaya mbele za Mungu asiefuata mafundisho yake kwa visingizio vyovyote vile. Mtu yoyote mwenye uelewa kichwani ataielewa bible kuliko kitabu chchote kile duniani kwa maan hakuna swali halijibiki. Hivi hujiulizi kwann watu hawafuati maandiko ya wachina au hao wamisri au wahindu na wengineyo kama bible? Well utanambia sijui ukoloni bla bla bla. Jiulize kwann wakoloni walichukua bible na si kitabu kingine maan hawajatunga wao ila walitafsiri kutoka Israel?
Kweli hata binadanu wa kwanza ni mwafrikaKweli kabisaa Africa ni mama land historia za dunia nyingi zinaanzia Africa na naweza kusema waafrica ndio wana wa Israel halisi hao wengine wanajipendekeza tu
Hahahaa
Material iliyotumika kujenga ile kitu sio cement wala tofali. Ni mawe na miamba.
Hilo jiwe linaloweza kutengenezwa "juu kwa juu" ni la aina gani?
uwe unakubali kujifunza mkuu ubishi mwingine hauna faida,nenda Mali kuna kabila linaitwa Dogon wao wametunza historia kuhusu accient civilization wanakwambia Annunaki toka sayari ya Sirius B walikuja duniani na wakawapatia binadamu ujuzi na elimu kubwa ya nyota,uhandisi,uchimbaji madini na sanaa,Em acha utani wewe watu hawajaona umuhimu tu wa kujenga hayo mapyramids unadhani wanaeza shindwa maengineer wakilivalia njuga. Hivi wewe unajua nuclear 2 inavyotengenezwa ilivyo hatari. Sasa ndugu yangu mtu aliekuwa na miaka 900+ unamchukuliaje alivyokuwa?
Wewe ni mtaalamu wa earthquakes?Two more astonishing featurea about pyramids. They are
Earthquake proof.
Alligned with an ever very high accuracy, to Magnetic North