ayo = hayoNinachoshindwa kuamini ni kwamba ayo yalijengwa na wanadamu kama sisi wa enzi izo ambako ata technologia haikuwepo, tofali moja linatani moja na lilipandoshwa juu sana,,,,
Vipimo vimetumika kwa ustadi wa juu, ayo madude yamejengwa na viumbe wengine na Sio wanadamu kwakwel
Tani ngapi vile???? 2,500???Tatizo tunawafananisha binadamu wa zamani na sisi lege lege tunaoshindia chips yai, ndo maana watu wanashangaa Mfalme Suleiman kuwa na wanawake karibia elfu moja, hamuwezi jua alikuwa na uwezo wa kupiga rungu non-stop, nguvu zaidi ya simba. Wewe chukulia mtu kama Mfalme Daudi, akiwa na miaka 12 tu aliweza kupiga simba na dubu roba matata sana hadi wakatema kondoo wa baba yake aliokuwa anawachunga......sasa tofali la tani 2500 ni kitu gani kwa Daudi....Watu wa kale tukiwaona katika taswira ya binadamu wa kisasa ndo tunaona haya mambo hayawezekani...
Mkuu, jiridhishe kwanza na tarehe ulizoweka hapa kabla hujaleta ubishi usio na afya. Pyramids (za misri) yalijengwa kwa namna hiyo niliyoeleza. Ni baada ya ujenzi huo na kwa maana hiyo ndo maana pyramids zilienea hata katika maeneo mengine (Sudan, Mali, Nigeria, Spain) wakiiga hizo za Egypt. Unayo nafasi kudharau au kuweka kebehi lakini huo ndo utabaki ukweli kuhusu pyramids. Nimekupa ushahidi wa wazi kabisa wa hiyo true north (Qiblah) humo ndani wakielekea ulipo msikiti wa Jerusalem (Agsa).musa na harun waliyakuta mapiramid yameshajengwa kitambo sana,mapiramid yapo miaka 3000 kabla ya kristo musa na harun wamekuja miaka 480 kabla ya kristo juzi tu,hapo mudi alihadithiwa au alikremu vibaya
Mi hata sitaki jua kwa nini walijenga ,nataka kujua waliwezaje kupandisha juu hayo matofali yenye tani kadhaa.Tulikuwa tumeenda kukata gogo..
Ila Kama kweli yalikuwa makaburi tu hakuna sababu nyengine Basi walikuwa majinga sana! Utaendaje kujenga kaburi la mtu tu halafu tofari moja tu linauzito wa tani moja..!
Kutakuwa na namna nyengine hao jamaa kina annunaki waje waseme vizuri!
Mkuu njoo tule ugali..😅Mi hata sitaki jua kwa nini walijenga ,nataka kujua waliwezaje kupandisha juu hayo matofali yenye tani kadhaa.
Kipind vasco da gama anatoka america kuja kutafta nae walimwambia hvyo hvyoSasa wakishajua watafaidika na nini
Unajua vitu vingine ni kukosa Kazi tu
Kwanini hawakuyajenga kwao (Israel) sasa..?Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
ushahidi gani uliouweka?Mkuu, jiridhishe kwanza na tarehe ulizoweka hapa kabla hujaleta ubishi usio na afya. Pyramids (za misri) yalijengwa kwa namna hiyo niliyoeleza. Ni baada ya ujenzi huo na kwa maana hiyo ndo maana pyramids zilienea hata katika maeneo mengine (Sudan, Mali, Nigeria, Spain) wakiiga hizo za Egypt. Unayo nafasi kudharau au kuweka kebehi lakini huo ndo utabaki ukweli kuhusu pyramids. Nimekupa ushahidi wa wazi kabisa wa hiyo true north (Qiblah) humo ndani wakielekea ulipo msikiti wa Jerusalem (Agsa).
Wanasayansi wamefanyia utafiti vipimo vya pyramids hizo na jinsi hiyo true north ilivyowekwa wama conclude kwamba "some chapters possibly missing in human and global history that we know" na kwamba precise ya vipimo vya pyramids hizo si vya kiwango cha kawaida kwa kuzingatia na yaliyokuwa yakijulikana na wanasayansi.
Vasco alienda America sasa me nataka kujua huko moon au Mars kina faida gani maana hakuna oxygenKipind vasco da gama anatoka america kuja kutafta nae walimwambia hvyo hvyo
haya ni matango pori uliyolishwa na dini zenu nyie walugalugaPyramids zimejengwa na Mussa (Moses) na ndugu yake (Haaruni). Hii ni kwa mujibu wa Quran na yalijengwa kwa command maalum (wahyi) kutoka kwake ambapo structure ya ujenzi wake imefanywa kuwezesha watu wa misri wawe wakiswali humo na kuelekea katika true north (Qiblah) kwa wakati huo kabla Qiblah hakijabadilishwa. [We inspired Moses and his brother "Settle your people in Egypt in houses and make your houses (facing the Qiblah."...10.87).
Tafsiri: Na tukampelekea Musa na ndugu yake WAHYI huu: 'Watengenezeeni majumba watu wemu katika Misri na zifanyeni nyumba zenu ndio mwahali mwa ibada...'
Tafsri kwa kiingereza na kiswahili sio nzuri sana kuelezea maana ya aya hii lakini mambo ya msingi ya kuzingatia
1. Ujenzi wa Mapyramid ulifanywa katika kipindi cha Musa na ndugu yake Haaruni kwa amri ya (ya Kihimaya) au WAHYI kutoka kwa Mungu. Hivyo teknolojia yote iliyotumika katika ujenzi wa Pyramids si wa kiuwezo wa kawaida wa kibinaadamu ila ujenzi ulifanywa na binaadamu.
2. Majumba hayo yamejengwa kwa kuyaelekeza Qiblah ya wakati huo (Masjid Aqsa) ambapo Qibla hicho ni true north ya yalipo majumba hayo. Kumbuka Qiblah hapo mwanzo haikuwa Makkah kama ilivyo sasa.
3. Lengo la majumba hayo ni makazi na kuabudia(pamoja na mambo memgine).
Mambo ni mengi ila mida hautoshi lakini kwa ufupi pyramids yamejengwa kwa mfumo huo.
Mkuu unajua lile jengo aliloangusha Samson kwa kutumia mikono yake na kuua maelfu ya wafilisti pamoja na yeye mwenyewe ni tani ngapi? Usiwatafakari hao watu kwa kutumia mawani ya kuwatazamia binadamu wa kisasa ambao hata simba akiingia mtaani kila mmoja anatafuta uvungu...Tani ngapi vile???? 2,500???
Hakuna mtu wa kubeba hilo tofali.
Umejuaje kama hakuna ox....si mpaka uende ndo ujueVasco alienda America sasa me nataka kujua huko moon au Mars kina faida gani maana hakuna oxygen
HahahaaaMi naamini hayo ma-pyramids yamejengwa na wanadamu, tena wanadamu wa kawaida kabisa,
Maana wanefili (majitu) waliangamizwa na waisrael kule caanan, japo zilibakia mbegu chache sana kama yule Goliath mfilisti .
Nani waliojenga na kwanini walijenga?!
Bila shaka pyramids zilijengwa na wamisri (wakale) au waisrael (watumwa wao) kwa kufuatisha elimu na ufundi wa hali ya juu waliokuwa nao enzi hizo!
Walijengaje?!
Mimi naamini sikweli kwamba eti walibeba tofali moja ambalo lina uzito wa tani 2500, bali inawezekana pia hao watu waliojenga enzi hizo walijenga hayo matofali huko huko juu,
Yaani walijenga tofali juu ya tofali lingine wakiyaacha mpaka yakauke, kama vile tunavyojenga linta ya nyumba! Walienda kwa mtindo huo mpaka kumaliza pyramid zima wakifuatisha mahesabu yao na ufundi wao.
Maana tukikazania na kung'ang'ania kwamba eti walibeba tofali la tani 2500 haileti sense, hawakuwa na mitambo (winchi) wala vifaa vya kubebea, wala hawakuwa na nguvu za kuyabeba physical hayo matofali,
Bali kuna uwezekano kuwa yalijengewa huko huko juu kama tunavyojenga linta za nyumba, hilo pia linawezekana, kwanini lisiwezekane??????!!!!!