Ukweli kuhusu Pyramids

Hakuna ushaidi kama yaliletwa mkuu, "inasemakana" bado ni dhana tu isiyo na ushaidi wowote mkuu!

Na kama waliyajenga?! Nipe ushaidi au mantiki waliyaletaje hapo hayo mawe yenye tani 2500?! Na waliyatoa wapi?!
nkikwambia nipe ushahid kwamba yalijengwa hapo utaweza?
 
nkikwambia nipe ushahid kwamba yalijengwa hapo utaweza?


Hoja hupingwa kwa hoja mkuu!

Nimetoa hoja kuwa haiwezekani kubeba tofali la tani 2500, hivyo bila shaka lilijengwa juu huko huko!

Sasa wewe unayepinga hoja yangu kuwa halikujengwa, "toa hoja" kuwa hayakujengwa bali yalibebwa na kama yalibebwa yalibebwaje matofali ya tani 2500?!

Pinga hoja kwa hoja! Sio kwa swali!
 
Ngoja wahandisi majengo waje
 
Hayo yamejengwa na binadamu... hakuna cha kushushwa wala kupandishwa...
 
Kwenye storybook wanasema yalijengwa na watumwa enzi hizo na ujira wao ulikuwa pombe na chakula
 
Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
kuna maandishi yanachekesha aisee,
 

hapana, sijaona hoja yako yoyote hapo. Huwezi kujenga tofali juu ya tofali bila kuweka udongo mbichi Kat ya tofali na tofali, Sasa pyramids zimejengwa katka namna inayoweza kusavaivu matetemeko ya ardhi. Unadhan hicho unachosema kingewezekana vipi.
Hapo ndipo inapokuja dhana ya kwamba yamejengwa na viumbe wasio wanadam tena katika usahih ambao dunia haijapa kuona.
 


Upuuzi mtupu, eti viumbe wa ajabu kwa ushaidi upi wa viumbe hivyo?!

Hakuna science yoyote inayothibitisha uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine zaidi ya illusion, yaani bora hata ungeniambia hapo kulikuwa na miamba wakaichonga ili kupata majengo hayo, kama Yale makaburi ya yesu yaliyochongwa mwambani,

Lakini hizi hadithi za alfu lela ulela za kuwepo viumbe waajabu ni upuuzi mtupu usioweza kuthibitishwa hata chembe, ni hadithi tu za kufikirika , kama kina abunu wasi na bulicheka! Hakuna ushaidi wowote wa hadithi hizo zaidi ya story za kutunga za kina annunaki!
 
hahaahaaa.., walihofia watafufuka kudadek hahahaa tofali moja kama uzito wa mitsubish hahhaaaaaaaaaaa dadek
 
mmenifanya,niende youtube na google kuangalia.., ni tofali la tani 2.5 ambayo ni 2500kg.., ndio maelezo yao yanavyosema, kuhusu hayo majabar yaliyojengea hilo kitu
 
yah Ni upuuzi kwa kuwa tu fikra zako zimeishia hapo ulipoamua ziishie, umefatilia vzuri kuhusu pyramids hizi?
Unahisi kwanin Ni moja ya maajabu ya dunia?
 
Unapo zungumzia pyramids za miser moja kwa moja unazumzungizia utashi ujuzi maarifa ufundi ustadi, kalama na elimu ya wana wa Israel, wao ndiyo waliojenga hayo ma pyramids naam taifa la Mwenyezi Mungu muumba wa nchi na dunia.......
Africans mmekuwa brainwashed sana na dini zinazohamasisha kutukuza weupe.

any evidence kuprove ulichoandika?
 
Mi nilifikiri unasema ile ya utapeli kama Deck au Qnet
 
Subiri hapo'hapo.

mitambo ya nuclear unamaanisha nuclear reactor, nuclear formula au nuclear bomb?

Dini imekulemaza ubongo wako kama uniamini nijibu hilo swali.
 
Mkuu unaweza kuelezea kivipi binadamu ataweza kujenga kuanzia juu tena kwa kuanzia na mjiwe wenye uzito wa almost tani 3?
 
Mkuu unaweza kuelezea kivipi binadamu ataweza kujenga kuanzia juu tena kwa kuanzia na mjiwe wenye uzito wa almost tani 3?
Mkuu, equilibrium ya hiyo pyramid ipo kwenye jiwe hilo la nchani juu. Sasa hesabu za kuliweka pale kama jiwe kuu ndio linatoa dhana kwamba ujenzi ulianzia juu kushuka chini. Kitu ambacho sio kweli na pia mimi sijasema hivyo.

Ila swali kubwa bado linabaki hapa, iweje jiwe lile LA juu ndio lishikilie mihimili ya kona zote za hizo pyramid? Wanalitega vipi hilo jiwe pale..
 

Aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…