Ukweli Kuhusu (PGDE) Post Graduate diploma ya Education

Ukweli Kuhusu (PGDE) Post Graduate diploma ya Education

Kaka Sai

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
13
Reaction score
5
Kwa mtu Mwenye ufahamu juu ya PGDE naomba anijuze kama mtu Mwenye Bachelor Degree kutoka fani zingne kama Civil Engineering, IT n. K anawezaje kuchukua Masomo ya kufundishia pindi akihitimu PGDE yake,

Mfano IT shule nyingi serikalini hazina Somo la Tehama, ataweza kufundisha Somo lipi lingine na mwajiri wake amuelewe?

Je upande wa ajira ukiisha hitimu PGDE yake ni uhakika kwenye shule Za Umma?

Ni hayo tuu nawasilisha....
 
Ha ha ha ha IT mkuu,ss unataka chalk ya nn komaa tu na tester
 
Back
Top Bottom