Ukweli kuhusu Paulina Zongo

Ni kweli,na hutakiwi kumcheka mtu akiwa kwenye situation hii,hata mtu akiingia kwenye
Matumizi ya madawa etc hutakiwi kumcheka,
Kumdhiaki....mtu yoyote anaweza kuingia huko

Ova
Watu wanapitia mengi kwenye maisha.. Ukiwa mzazi haya mambo unayaangalia kwa tafakuri kubwa sanaa
 
Ila amechoka sana ,Sura ya bwimbwi ile wala sio ajali.
Mwanzisha thread kama hana uhakika wa 100% na utetezi wake basi atakuwa mtu mjinga sana. Nasema hivi kwa sababu ili tatizo lolote liondolewe basi sharti lijulikane. Huyo mama kama jamii itadanganywa kuwa hatumii madawa wakati anatumia, basi tatizolake litakuwa gumu sana kutatuliwa. Ukweli humuweka mtu huru na njia ya mwongo ni fupi.
 
Back
Top Bottom