Ukweli kuhusu Paulina Zongo

Usiwe mvivu wa kusoma...hapo mwisho nimesema kabisa habari nimeitoa wapi.
Mwanzisha thread kama hana uhakika wa 100% na utetezi wake basi atakuwa mtu mjinga sana. Nasema hivi kwa sababu ili tatizo lolote liondolewe basi sharti lijulikane. Huyo mama kama jamii itadanganywa kuwa hatumii madawa wakati anatumia, basi tatizolake litakuwa gumu sana kutatuliwa. Ukweli humuweka mtu huru na njia ya mwongo ni fupi.
 
Usiwe mvivu wa kusoma...hapo mwisho nimesema kabisa habari nimeitoa wapi.
Ndiyo maana nikasema kama unamtetea ukiwa na uhakika wa asilimia 100! Hili la kutoa habari sehemu halafu wewe unakuja kushupalia kama una uhakika nalo ndilo hasa nimetahadharisha! Ni kweli kuna watu wanaweza kuathirika na pombe wakawa hivyo lakini huwezi kuanzisha thread ya kupinga eti tu kwa kuokoteza habari kutoka sehemu kama Global TV. Jaribu kuchemsha bongo yako kidogo.
 
Usiwe mvivu wa kusoma...hapo mwisho nimesema kabisa habari nimeitoa wapi.
Ona ulivyoandika ''Najua Pauline ni mtumiaji wa vinywaji vikali tangu akiwa kwenye Bendi ya TOT na ndiyo maana yupo sober house kwa Pili, lakini kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya, nitabisha hadi kesho!'' Sasa kweli unaweza kuandika haya bila kuwa na uhakika wa 100% na unachoandika? Utabishaje hadi kesho kwa kitu ambacho na wewe umehabarishwa na source uchwara kama Global?
 
Mkuu hivi unaelewa nilichosema?

Hiyo ni habari na mwisho nimekuambia nimeitoa Globalpublishers sijaongeza wala kupunguza neno hapo,,,
Screenshot_20210929-195453.jpg
 
Wenzio wote wamelewa ila wewe kichwa ngumu...kumbuka hiyo habari nimeikopi kama ilivyo na mwisho nimesema nimeitoa kutoka katika ukurasa wa Globalpublishers sasa sijui hujaelewa nini hapo
Ndiyo maana nikasema kama unamtetea ukiwa na uhakika wa asilimia 100! Hili la kutoa habari sehemu halafu wewe unakuja kushupalia kama una uhakika nalo ndilo hasa nimetahadharisha! Ni kweli kuna watu wanaweza kuathirika na pombe wakawa hivyo lakini huwezi kuanzisha thread ya kupinga eti tu kwa kuokoteza habari kutoka sehemu kama Global TV. Jaribu kuchemsha bongo yako kidogo.
 
Wenzio wote wamelewa ila wewe kichwa ngumu...kumbuka hiyo habari nimeikopi kama ilivyo na mwisho nimesema nimeitoa kutoka katika ukurasa wa Globalpublishers sasa sijui hujaelewa nini hapo
Umesoma nilichoandika? Ndiyo nimejua umeitoa hapo. Hoja yangu: Kwa nini unabisha kutumia evidence kutoka kwenye source ya kiwango cha hali ya chini kama Global Publisher? Tena unakazia kabisa eti ''utabisha mpaka kesho''? Hiyo Global Publisher ni nini kimefanya uiamini namna hiyo mpaka uitumie kubisha? As simple as that! BTW pole sana kwa kusoma vitu vya low quality kama hivyo!
 
Duh mwalimu wako alikua ana shida mkuu...nimeshindwa mimi
Umesoma nilichoandika? Ndiyo nimejua umeitoa hapo. Hoja yangu: Kwa nini unabisha kutumia evidence kutoka kwenye source ya kiwango cha hali ya chini kama Global Publisher? Tena unakazia kabisa eti ''utabisha mpaka kesho''? Hiyo Global Publisher ni nini kimefanya uiamini namna hiyo mpaka uitumie kubisha? As simple as that! BTW pole sana kwa kusoma vitu vya low quality kama hivyo!
 
Watu wanahisi ni madawa tu ndio yanachosha sura na mwili...

Matumizi ya mda mrefu ya Pombe kali ni hatari sana kama hupati mlo wa kueleweka.
 
NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine kama AY, Crazy GK, MwanaFA, Abbas, Snare na wengine mwishoni mwa mwaka 1999 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Kundi hilo lilisikika na nyimbo nyingi kama Ama Zangu Ama Zao, Sister Sister, Itikadi, Komaa Nao, Piga Manati na nyinginezo.

Namfahamu Pauline kwamba chanzo cha hali yake kuwa hivyo si madawa ya kulevya kama watu wanavyosema.

Mwezi mmoja uliopita, Pauline alifanya mahojiano maalum na Global TV na alieleza kiundani alipata ajali mbaya sana ya gari.

Kwenye ajali hiyo, Pauline alikuwa na mwenzake ndani ya gari na yeye akiwa ni dereva, mwenzake alifariki papohapo na yeye alijeruhiwa vibaya sana kiasi kwamba hakuna aliyewaza kama atapona.

Pauline amefanyiwa upasuaji na kuwekwa chuma kwenye miguu yake yote na pia amefanyiwa upasuaji wa kupunguza utumbo baada ya vipandepande vya vioo vya gari kubaki mwilini mwake na kusababisha kuharibika kwa utumbo.

Pauline alipoteza meno kwa kiasi kikubwa na kwa sasa Pauline yupo kwenye mazoezi madogomadogo na pia amerekodi albam yeke yenye nyimbo nane kati ya hizo ana wimbo mmoja unaitwa Kama Si Wewe Mungu Nisingekuwa Hai Leo.

Najua Pauline ni mtumiaji wa vinywaji vikali tangu akiwa kwenye Bendi ya TOT na ndiyo maana yupo sober house kwa Pili, lakini kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya, nitabisha hadi kesho! Si wote wanaopelekwa au kwenda kwenye sober house ni wahathirika wa madawa ya kulevya, wapo wenye uraibu (addictions) mbalimbali kama pombe, ngono, mawazo na mengine kedekede ya kisaikolojia!

Pauline mi mama wa watoto wawili; mtoto wake wa kwanza amezaa na muigizaji wa Bongo Movies anayeitwa Mtunisi.

Kilichonishtua ni juu ya hizi habari za madawa ya kulevya watu wanazitowa wapi?

#Nimeitoa kutoka katika ukurasa wa GlobalpublishersView attachment 1956594
Kwa mara ya kwanza kusikia waraibu wa pombe na ngono kupelekwa sobber house na siamini!

Nitalifuatilia jambo hili kuupata ukweli.
 
Nilikua mpenzi wa lile kundi la East coast team, nimesikitika sana baada ya kuona ile video sikuamini macho yangu msichana mrembo km yule kufikia hatua ile 😣😣😣 km kweli sio Drugs basi anakunywa sana pombe kupindukia tena mataputapu mixer Gongo
 
Duuuh East Coast imeanza 1999? Hahahaaaa unawajua SOG? Space of Gangstars!! S
SOG tulikuwa nao Ifunda Tech miaka hiyo. Tukienda Iringa mjini siku ya matamasha pale Don Bosco palikuwa hapatoshi.
Huku Mkwawa, huku Tosa Boys, Lugalo, Highland, Mwembetogwa, Iringa Zoo n.k
 
Back
Top Bottom