Ukweli kuhusu Paulina Zongo

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,803
12,668
NAMFAHAMU Pauline Zongo tangu enzi za East Coast Team akiwa kama First Lady wa kundi hilo akiwa na wasanii wengine kama AY, Crazy GK, MwanaFA, Abbas, Snare na wengine mwishoni mwa mwaka 1999 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Kundi hilo lilisikika na nyimbo nyingi kama Ama Zangu Ama Zao, Sister Sister, Itikadi, Komaa Nao, Piga Manati na nyinginezo.

Namfahamu Pauline kwamba chanzo cha hali yake kuwa hivyo si madawa ya kulevya kama watu wanavyosema.

Mwezi mmoja uliopita, Pauline alifanya mahojiano maalum na Global TV na alieleza kiundani alipata ajali mbaya sana ya gari.

Kwenye ajali hiyo, Pauline alikuwa na mwenzake ndani ya gari na yeye akiwa ni dereva, mwenzake alifariki papohapo na yeye alijeruhiwa vibaya sana kiasi kwamba hakuna aliyewaza kama atapona.

Pauline amefanyiwa upasuaji na kuwekwa chuma kwenye miguu yake yote na pia amefanyiwa upasuaji wa kupunguza utumbo baada ya vipandepande vya vioo vya gari kubaki mwilini mwake na kusababisha kuharibika kwa utumbo.

Pauline alipoteza meno kwa kiasi kikubwa na kwa sasa Pauline yupo kwenye mazoezi madogomadogo na pia amerekodi albam yeke yenye nyimbo nane kati ya hizo ana wimbo mmoja unaitwa Kama Si Wewe Mungu Nisingekuwa Hai Leo.

Najua Pauline ni mtumiaji wa vinywaji vikali tangu akiwa kwenye Bendi ya TOT na ndiyo maana yupo sober house kwa Pili, lakini kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya, nitabisha hadi kesho! Si wote wanaopelekwa au kwenda kwenye sober house ni wahathirika wa madawa ya kulevya, wapo wenye uraibu (addictions) mbalimbali kama pombe, ngono, mawazo na mengine kedekede ya kisaikolojia!

Pauline mi mama wa watoto wawili; mtoto wake wa kwanza amezaa na muigizaji wa Bongo Movies anayeitwa Mtunisi.

Kilichonishtua ni juu ya hizi habari za madawa ya kulevya watu wanazitowa wapi?

#Nimeitoa kutoka katika ukurasa wa Globalpublishers
Screenshot_20210928-224903.jpg
 
#Nimetoka kutoka katika ukurasa wa GlobalpublishersView attachment 1956594
Binadamu sio watu.. Hushangilia na kusimuliana kwa bashasha madhila ya wengine huku wakiweka vionjo wanavyojua wenyewe
 
Back
Top Bottom