el pincaso
Member
- Dec 13, 2016
- 67
- 55
you believe that..., you will believe anything ..JHCIf you believe that..., you will believe anything.., Ila hio ingeweza kuwa plot nzuri ya Movie kama Face/Off ingekuwa haipo
Kwa hiyo hawa watu ni werevu kiasi kwamba waliweza kufanya haya, pia kwa usiri mkali wengi wasijue..., ila sisi laymen ndio tumegundua ?
Kwahio mimi kwa akili yangu ndogo nasema...., Hakuna Ukweli wowote Na hio teknolojia haipo...
List ni ndefu kuna Buhari na wengine wengi lakini ni habari za kutengenezaNimepitia sehemu mbalimbali kuhusu Madiba(Mandela) baada ya kutoka gerezani wanadai kuwa mandela halisi Alisha kufa gerezani aliyetoka Ni GIBson Makanda na sio Mandela ila walimfanyia kitu kinaitwa Human incone conspiracy ambayo inaweza kusababisha mtu mmoja genes zake zikahamia kwa mwingine.
Je Kuna ukwel wowote kwenye hili swala....wanazengo hebu nisaidieni kidogo....
Sawasawa..Usiamini kila upuuzi unaousoma kwenye internet
Jishikilie bob we have a degrees herePale Four failure mnapokutana vijiweni kupiga story.....
That is trueUzushi maarufu...
Kifimbo cha Nyerere ni uchawi ..
Kizito hakuna anaeweza kukibeba..
Iddi Amin alikuwa hajui kingereza
Kwan Mandela s aliachana na mkewe baada ya kutoka jelaKwahiyo winnie mandela, wanawe na comrades wenzake wa roben island hawakuweza kuligundua hilo?
That's impossible
ImekuwajeWasafi
Kwanhyo Mr mshana hamna hyo sayansi?List ni ndefu kuna Buhari na wengine wengi lakini ni habari za kutengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app