Aisee,HUNA AKILI WEWE. ATCL inafanya biashara.Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
hebu nenda shule tena ukasome somo la uchumi.Kwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa.
Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwa hayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
MBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.Pablo Blanco,
Hivi wanasiasa wetu ni watu wa namna gani?
Kwenye manifest ya CHADEMA kuelekea uchaguzi 2015 walizungumzia azma ya serikali itakayoundwa na CHADEMA kufufua shirika la ATC kwa kununua ndege mpya.
Leo hii wakubwa hao hao wanabeza utekelezaji wa suala hilo hilo na Rais Magufuli halafu ni hao hao pia walipinga sana serikali kuzuia makenikia na wakitahadharisha kuwa TZ inawekushtakiwa na mashirika hayo ya kimataifa na mwishowe itabidi mlipa kodi ndiyo abebe mzigo huo. Leo matokeo yake wote tumeyaona. Sasa tumuamini nani? Wale ambao kila kitu wanaponda au wale ambao hutekeleza kwa vitendo?
Nadhani ifike wakati wanasiasa watafakari hayo wanayotuambia kwani inafika wakati wanajidhalilisha ni bora watafute mada nyingine za kutudanganya.
akikujibu unitagMBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.
KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
Kuna watu ukisoma michango yao,unaona kuna tatizo kubwa sana ama la shule/vyuo vyetu,afya ya akili au umasikini unaosababisha watu kukosa "critical thinking & reasoning".Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Je, zina faida gani economically?
Hizi hela ni zaidi ya mtaji wa viwanda vya Bakhresa. Angalia impact ya viwanda vya Bhakresa na ndege za Magufuli in terms of mzunguko wa hela, ajira na services. Watalii hawawezi wakaacha kupanda ndege za makampuni makubwa yenye muda mrefu kwenye biashara pamoja na usalama wa uhakika waje wapande ndege za Magufuli.
By the way, hata hayo makampuni makubwa yanapata hasara na biashara ya ndege si biashara ya kutegemea kujenga uchumi. Je, Bunge limepitisha manunuzi ya ndege saba?
Hivi unaachaje kuwekeza kwenye kilimo, madini, elimu, gesi,maji, umeme then unaenda kuwekeza kwenye ndege kwa taifa changa kama hili ambalo watoto hawana madawati na hospitali mama wajawazito wanalala chini?
Hapo hatujagusa demokrasia na ukiukwaji wa haki za binadamu. Huu uongozi umechafua sana picha ya taifa hili; this is one of the worst leaderships. By the way, kila chenye mwanzo kina mwisho, walikuwepo wakina Mobutu, wapo wapi now? Tusibiri muda wake utafika tu.
View attachment 1250571
kama nia ni kutoa huduma mbona wanalipa pesa kama nauli. mpuuzi wewe nenda pale lugalo hospital na mwili wa marehemu wambie wauhifadhi na kuufanyia service zote serikali ya ccm italipa UONE KAMA HUTAAMBIWA ONDOKA NAOWapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Wewe ulikuwa wapi wakati magufuli anauza NYUMBA ZA UMMA ZINAUZWA KWA HAWARACha kujiuliza n kua mlikua wap kuandka nyuzi za kuonya serikal kampuni ya ndege lilivokua linafirisika siku had siku had kufaaa kabisa?
Mlikua wap wakati viwanda vinakufa kimoja baada ya kingine?
Mlikua wap wakat kampuni ya tren inakufa??
Leo mnaona kiongozi anafufua sector moja moja mnaanza kubwabwaja?? Mwenye akili atakua anaelewa hapa
Hilo bunge halikuwepo tangu JKN had viwanda vikaanza kufa, shirika la ndege la umma linakufa na reli zinabaki historia... Lilifanya nn??
Leo unakuja kuongelea viwanda vya bakhresa unafikir vilikua vinajiendesha?!
Kama hivi vya pamba yamebaki magofu tu ivo kama vya bakhresa je??
Sasa si waweke bei ambazo hata watu wa Nanjilinji wataweza kumudu. au kama ilivyo elimu bure au zilivyo bei ya panadol
Wengi hawajielewiKwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
America gains shirika la ndege UK British airways serikali ina wamiliki 5% tuKwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Akili za CCM hoyee!!Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Hoja iko hapa kwamba hizi Ndege manunuzi yake yanapitishwa Bungeni?Kwahiyo unataka nchi iendeshwe kama kiwanda cha mtu binafsi? Nitajie Nchi moja iliyo uchumi wa kati ambayo haina shirika la ndege.
Ati hawa ndio wapinzani!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Watu wa kujimwambafy kwa kuwaonea wapinzani ndiyo sasa hujiita wazalendoNeno Uzalendo limebadili maana siyo ile tunayoijua. Kwa mfano hapa Tanzania hakuna mtu amepigania haki za madini kutoka kwa wawekezaji kushinda Tundu Lissu. Halafu Meko anasema Tundu Lissu siyo mzalendo auliwe. Ridiculous!!
Wanaijiita wazalendo ndiyo akina Bashite, Meko na Ole Sabaya wakati kazi yao ni kujitajirisha kwa fedha za unyang'anyi wa wazi wazi.
Bukoba aliwasimanga juu ya tetemeko la ArdhiMBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.
KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
Hata wakati anawinda pesa za makinikia alisema atagawa Noah kwa kila MtanzaniaMBONA MAGUFULI WAKATI WA KAMPENI ALISISITIZA LAZIMA KILA MWANAFUNZI APATE MKOPO.
KISHA AKAJA KUSEMA SIO LAZIMA KILA MTU APATE MKOPO PUNDE TU ALIPOPATA URAISI.
Kwanini wananchi wengi wanafurahi ndege tofauti na wanaokosoa.
Ndege nilizipinga Kitambo sana kwamba hakuna haja ya kununua Madege Kwa Mkupuo,Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Yawezekana huyu ni mmojawapo wa washauri wa hii kitu.Mkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!