goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,055
- 1,351
Huduma kwa wote au kwa matajili pekee? Mimi huku nanjilinji hayo mandoto liner ntayapandia wapi na lini?wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Hela za matanuzi ya Dubai na kule bondeni za kwenye masemina na warsha ndizo hizi zinazonunua ndege.
Hawa akili zao wamezitegesha katika kupinga kila jambo, halafu serikali inawajibu kwa vitendo.
Hakuna ufisadi kwenye ununuzi wa ndege, wapinzani achene kupotosha kwa kichaka cha CAG, price za ndenge hizi ziko wazi kwenye website za mashiraka hayo ingawaje inaweza kushuka kulingana na majadiliano ya pande mbili. Lissu tofauti na siasa hajawahi fanya biashara, hiki ni kipindi cha investments from 2015-2020 hautegemei faida kubwa wakati huu, objective should be rebranding, and better service provisions ili waweze kuvutia wateja wengi Zaidi na hatimaye baadae kupata profit, ROI haiwezi kuwa ndani ya miaka mitatu, hakuna biashara ya hivyo duniani kwa large scale, labda biashara ndogo ndogo za kununua karanga sh 10 unauza same day sh 20. Tuwape muda wa kutosha ATCL na management ili wafanye kazi, siasa hizi za kusema hivi kesho vile ndo tutaua shirika.
Umemaliza yaani. Eti mtu anasema kuna mapato ya us dollar mil.14 halafu audit imezuiwa lakini watu wanashangilia!Watu hawapingi ufufuaji wa ATCL bali modus operandi. Yaani kwenye Ilani ya CCM na CDM wote walisema watafufua lakini siyo kwa namna anayofanya Meko. Yeye Meko anakaa na mpwa wake Dotto James Katibu Mkuu Hazina wanaamua kununua ndege na kulipa. Hawana business plan, hawana procurement plan wala hawatangazi zabuni.
Sheria ya Manunuzi ya Umma ya mwaka 2015 na Kanuni zake na Sheria ya Fedha zimevunjwa zote kwa 100% na CAG haruhusiwi kukagua shughuli za ATCL kwa vile zimehamushiwa kasma #20 ya Ikulu kutoka kasma ya Mawasiliano na Uchukuzi.
Hapo kinachoendelea ni ufisadi na rushwa tu kwenye manunuzi. Tusubiri awamu ya 6, tutakuja kufufua uzi huu na sintoshangaa kumuona Dotto James akipelekwa Segerea.
Kwahiyo ATCL in taasisi ya umma yenye malengo ya kutoa huduma?wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Ushahidi gani unataka mkuu ? au tuibebe hospitali ambayo wamama wajawazito wamelala chini tukuletee nyumbani kwako ndio uamini ?!Tuanzie na hilo la akina mama wajawaziyo kulala chini ni hospitali gani hapa tanzania with vivid example?
Mkuu Chakaza. Hivi na yeye Mwilapa amesoma kabisa shule au ni kama Bashite ?.Kwahiyo ATCL in taasisi ya umma yenye malengo ya kutoa huduma?
Lah, sijui huyu bwana katumia nini kuingiza akili ya Watanzania wengi kwenye matope na kukwamia hapo.
KARLO MWILAPWA ukijadili mambo mengine nje ya matendo ya magu unakuwa uko smart sana, lakini kwenye hayo ni kama umefungwa kitambaa machoni na unaongoza njia. Pole sana, tiba ya tatizo hilo ni kuruhusu brain ifanye kazi na sio moyo
Ushahidi gani unataka mkuu ? au tuibebe hospitali ambayo wamama wajawazito wamelala chini tukuletee nyumbani kwako ndio uamini ?!
Ufisadi upo hata Ndege ya mkapa bei zilikuwa wazi lakini wajanja walipiga humo humo hata sasa bei zipo wazi na wajanja wamepiga humo humo lakini kwa kuwa sasa CAG hana ruhusa kuingia huko itakuwa vigumu kujua wamepiga ngapi lakini mwaka 2026 akiingia Rais mwingine ikulu vyote vitaanikwa wazi atapona mwenye kinga yake wengine wataelekea segerea tu.
Wewe Bw.Mselewa unaamini kabisa investment kama hiyo inaweza kuwa na payback period ya miaka 3??Kama unakubaliana na huo ujumbe basi naanza kuwa na wasi wasi na wewe.Kuna investment zinachukua miaka 15 hadi 20 nk kubreak even.Acheni siasa hapaMkuu, usilidhalilishe shirika letu la ndege. Nalo liko kibiashara, si kihuduma. Unapochangia mada kama hizi, jiulize mara mbilimbili kabla ya kuandika. Kwahiyo, kwako wewe, ndege za ATCL zinatoa huduma kama ilivyo kwa shule, zahanati na mabomba? Bure kabisa wewe!
Sasa ndege sita zimekusanya bil 30 kwa miaka 3 hapo bado service makadilio itakuwa bil 10
Kwahiyo hapa makusanyo halali ni bil 20 inakusanya bill 7 kila mwaka
Ili tuweze kurudisha trillion 1.7 inatuhitaji miaka zaidi 100 nda ndege sina hakika kama zitaendelea kutumika sipingi ununuzi wa ndege ila aliyefikiria ununuzi wa ndege tena kwa cash halikuwa hana plan lengo lake watu waone tu kafufua shirika la ndege
Sasa huyo jamaa aliyekuwa anapinga yeye anaishi wapi katika nchi hii ambapo vitanda hospitalini vinawatosha wagonjwa wote ?, kama dar ni hivyo ujue huku mikoani hali na mbaya zaidi, hata wakilala kitandani basi wanalazwa watatu, ni mapopoma pekee ndio wanaweza kushangilia uzwazwa wa serikali hii ya awamu ya tanoMuhimbili bado kuna msongamano mkubwa hata zile word zingine waganjwa wanalala chini
Sifa kuu ya kuwa rais nchini ni akili kuliko wote?Ingekua hvyo Jiwe angekosa uraisi. Mmekua wajinga mpk mnatia aibu. NyambafuKwa upeo wako wa mtindio wa ubongo unajiona unaakili saana kuliko rais wa nchi? Usafiri ni usafiri tu kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima tuwe na usafiri wa anga kwa kukidhi angalau soko la ndani tu inatosha hata tusipofanya international flight. Kwa akili zako za kipimbi tutegemee barabara tu kusafiri? Usafiri wa anga lazima ukidhi vigezo vya kimataifa kwahiyo ubora na hadhi ya ndege zetu ni sawasawa na ubora na hadhi za ndege zoote za kimataifa. Hatukununua ndege kwa kuangalia faida ya moja kwa moja bali kuboresha mazingira rafiki ya uwekezaji, utalii n.k. Ulishawahi kujiuliza gharama za kujenga mtandao wa barabara za lami nchini gharama yake kiasi gani? Gharama ya kilometa moja ya barabara ni bilioni moja kwa wastani zidisha mara kilometers za Barbara zoote utapata matrilion ya hela mbona hamhoji hizo gharama ambazo in zaidi mara ngapi ya gharama za kununua ndege? Mleta uzi na Tundu Lissu ni vibaraka wa Mabeberu! Kwahayo ndo yanakutosha kulingana na akili zako ndogo maana nikichambua zaidi hutanielewa!
Wapinzani mnapokosa mambo ya msingi ya kujadili mnakuwa vituko sana. kwa hiyo unalinganisha makampuni ya Bakhresa ambayo yanatafuta faida kubwa na taasisi za serikali ambazo ni kwa ajili ya kutoa huduma?
Kutokuwepo kwa nyongeza ya mishahara au deni kuongezeka sio kigezo cha chochote kutofanyika.Vitendo vipi wanajibu? Mwaka wa nne watumishi wa umma hawana nyongeza za mishahara na Deni la Taifa limezidi kuwa kubwa zaidi, kwani ndege lazima zingenunuliwa kwa cash? na kwa nini hawakukopa kisha hizo pesa zitumike kujenga miundo Mbinu kufufua viwanda mlivyogeuza magodauni huku kilimo kwanza kikiwa kimetelekezwa kabsa
Anamwita taahira kwa sababu kajificha kwenye ID yake, aweke jina lake na mawasiliano yake halafu aongee lugha zake za kipuuzi aone kipi kitamfuata.Ongea kwa hoja mkuu