Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,447
- 7,946
Wanakua hawajaoa au kuolewaMbona kuna wengine wanaoa na kukaa mbali na wake/waume zao sababu za kikazi n.k sasa ngono hapo wanatatua vipi?
Wanakua hawajaoa au kuolewaMbona kuna wengine wanaoa na kukaa mbali na wake/waume zao sababu za kikazi n.k sasa ngono hapo wanatatua vipi?
Amina kubwa mwalimu wangu,Nimepokea mwali..🙈
Mungu akutunze zaidi uzidi kunikumbusha kua mume mwema hapa jamvini...😔
Brother umetupa fumbo mbn😃Sitaki kusema ndoa ni mbaya na sitaki kusema ndoa ni nzuri nyie ni watu wazima hantakiwi kulazimishwa kuelewa ng'amu kulingana na partner wako unaetaka kuingia nae kwenye ndoa akili kumkichwa utajua mwenyewe
Na walio tayari kuvumiliaNdoa ni kwa ajili ya wenye akili kwa ajili ya kujenga familia. Ndoa siyo uzinzi.
Mwanaume itakutoka tu utake usitake vinginevyo wife analiwa au anaingia mitini'ndoa ni maigizo yasiyo na hela'
Dizasta vina
Kuzaa watoto wengi sio sifaJizuieni msizaliane pia, watoto kulelea na mzazi mmoja ni changamoto.
Cc Poor Brain
🤣🤣🤣 hamshauriki tatizo na ni bora niwaache njiapanda mmeshakua watu wazima kuwakataza jambo ni uongo,kuna ndoa zina raha na kuna ndoa hazina raha hapo mtafakari vizuri watu wa Mungu kuchagua fungu jemaBrother umetupa fumbo mbn😃
Na shida huanzia hapa mnakuanna watoto wengi mnafeli kuwahudumia mnajikuta marumbano kuishia kwenye talaka, wanaohumia ni watoto pasipo sababu ya msingiJizuieni msizaliane pia, watoto kulelea na mzazi mmoja ni changamoto.
Cc Poor Brain
Kataa ndoa hao, wanazagamuana afu hawaelewi dogo anaishije huko walikomuacha.Na shida huanzia hapa mnakuanna watoto wengi mnafeli kuwahudumia mnajikuta marumbano kuishia kwenye talaka, wanaohumia ni watoto pasipo sababu ya msingi
Watoto wengi ni wangapiKuzaa watoto wengi sio sifa
Hakuna upendo kama hakuna mahitaji muhimu ikiwemo chakula, mavazi na malazi bora na mwajibikaji mkuu ni mwanaume (provider)Moja ya mambo yanayowabadilisha wana ndoa wengi upendo hule wa mwanzo na hule mlioingia kwenye ndoa ni majukumu familia nyingi ni masikini kukwepa majukumu huleta marumbano,ila pia watoto mnapopata watoto mama anajali watoto ni kama kaupendo kana shift kidogo kutoka kumjali baba na kuongeza upendo kwa watoto mnajikuta chemistry yenu inapotea mnabaki wanandoa jina tu
Makamuzi ni given kwani ni starehe kwa mwanaume huku mwanamke akitegemea apate financial support of any kind. Vinginevyo akiona hakuna dalili anatoka ndukiKataa ndoa hao, wanazagamuana afu hawaelewi dogo anaishije huko walikomuacha.
2 na kuendeleaWatoto wengi ni wangapi
Ndiyo hivyo usipo mtunza mkeo utatunziwaHakuna upendo kama hakuna mahitaji muhimu ikiwemo chakula, mavazi na malazi bora na mwajibikaji mkuu ni mwanaume (provider)