Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

Ukweli kuhusu mume na mke kwenye ndoa

Makamuzi ni given kwani ni starehe kwa mwanaume huku mwanamke akitegemea apate financial support of any kind. Vinginevyo akiona hakuna dalili anatoka nduki
Kuna mambo umekalili we kijana.

Sema nini kwa mtazamo wako huo, tafuta sana pesa.
 
Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.
Yaani jukumu la kuhudumia wazazi wake ni la mume?
Ww utakuwa umerogwa!!

Labda katika jamii yenu mambo hayo ndio yanapelekwa hvyo.
 
Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.

Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.

Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea kudanga
Kusema kweli sababu hizo ndo zinasababisha ndoa nyingi kuvunjika.
Mawazo ya binadamu nayo huchakaa kama mwili.mwenzio akisema anaumwa tafsiri ya mawazo ni pengine huyu ana patina mwingine huyu;kwa sababu ngono ndiyo iliwafanya kuoana.
Akina mama miili yao hubadilika wanapozaa watoto kwanzia wawili hivi.Wanaume wengi hatulijui hili mpaka pale mwili wa mkeo umepoteza shape.Sasa unaanza kumwona mbaya.
Ili ndoa zidumu inatupasa fikira za ngono zisitutawale ktk mawazo ya mwanaume na badala yake I we kujenga familia katika jamii na mbele za Mungu.Kujenga tabia ya kuwa na mke au mume mmoja.Kama mume anampenda mkewe na mke anamheshimu mumewe,ngono huwa ni kitendo kinachojileta chenyewe mkiwa na afya.
 
Back
Top Bottom