Ukweli kuhusu Mtela Mwampamba

umefunguliwa waandika ujinga mnafiki wewe ulitaka kuiuza chadema bora ulistukiwa nenden huko maana nasikia shoza kawekwa kinyumba na mwigulu njaa zitakuua
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.
 

Mods Tunaomba huyu jamaa athibitishe kauli yake tofauti na hapo sheria ichukue mkondo wake.
 
Ungetuwekea na Picha yako kabisa.
Vp kuhusu Kileo na Wenzake, ni kweli Jakaya Mrisho Kikwete aliwatuma nyie na kina Sophia,Shibuda kwenda kuwatesa hawa vijana ili waseme Dr Slaa na Mbowe ndiyo waliowatuma kumwagia Tesha tindikali??
 

Tatizo la CCM wameweka wapuuzi mbele na kuwaacha wenye busara nyuma. Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba! Eti hii ndio midomo ya kuisemea CCM! Wakifungua midomo utapata shida kuamini kama kuna ubongo vichwani mwao.
 
Ulitakiwa upigwe ban ya maisha,anyway ID unazo nyingi naamini ulikuwemo jamvini kipindi umekula ban kwa UMBEA wenu na SAVIMBI,Vipi yule Diwani wa A.town mlighaili kumpokea,au kilitokea nini dakika ya 90!?
 

hamnyimi kitu
 
ha ha ha, kumbe wamepeana vyeo na shoga yake mwigilu -- nilitaka kushangaa watu wapo UVCCM mwaka wa sita, wewe na njaa zako ufike tu upate ulaji - kwa kigezo gani?

UVCCM wenyewe hawakutambui cheo chako, na wanahoji kulikoni uandamane na Mwigilu mikoani huku ukilamba perdiem na marupurup kibao wakati wenyewe wanasota hapo ofisini? huoni unaongeza mgogoro mwingine ndani ya UVCCM?
 
Sio hivyo mkuu nazani umesahau kwamba hata Dk Slaa ni Padre kitaaluma but kwa sasa ni katibu mkuu wa chadema!!! na usisahau kwamba Mbowe ni Disco Joker(DJ) kitaaluma but kwa sasa ni mwenyekiti wa chadema taifa!!!!! tuko pamoja mkuu.

Huwezi jifanananisha na hao wote uliwataja hao si saizi yako, wewe ni tambala bovu utakanyagwa na akina nape na mwigulu then utatupwa jalalani waulize akina Ngawaiya na Tambwe, njaa mbaya sana dogo, subiri hukumu yako kwa vile vifo vya watoto mliowaua wa Arusha.
 
Le mutuz a.k.a William Malecela alikuja hapa na kulalamika kuwa UVCCM mmekuwa kimya kwenye mijadala ya rasimu ya katiba na akafika mbali na kuhoji UVCCM ya sasa imekuwa sio machachari kama ile ya enzi zile za mwaka 47.

Ningependa wewe kama msemaji wa UVCCM utoe ufafanuzi juu ya maswali yafuatayo:

Je UVCCM mmesusia mpango wa kuhamasisha wanachama wenu kutetea maslahi ya CCM kwenye katiba mpya kama wafanyavo Jumuiya ya Wazazi CCM hadi kufikia hatua ya mjumbe wa jumuiya hiyo ya wazazi kulalamika mitandaoni??

Je UVCCM mmegoma kulishwa maneno na Nape Nnauye that why hamuonekani mkiendesha mabaraza ya katiba kama aliyolalamika William Malecela hapa jamvini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…