Mkama,
Fact si nani aliyeweka. fact ni kwamba hata sisi tulipokea kilichowekwa. Achilia mbali AU bali hata kule UN ramani iliyopo kule ni ni yenye ziwa Malawi likiwa kwao.
Mzalendo JR,
Katika huo Mkataba wa 1891 MJERUMANI alikuwa na RWANDA na URUNDI sasa ina Maana kama
wakishikilia huo Mkataba wa ZIWA NYASA ina Maana RWANDA na URUNDI zitakuwa za TANGANYIKA?
Mheshimiwa,
Rwanda na Urundi haifai kutolea mfano hapa. Kuhusu rwanda na Burundi kuna treaty iliyosainiwa yaani kuwa updated had ikawa katika hali ya sasa.
Sisi hakuna treaty yoyote kuhusu mpaka huu, na wanaosema tufuate diplomacy, kama Malawi wakikubali basi ndipo itasainiwa treaty kutambua mpaka kuwa katikati.
Lakini Malawi wakikataa kama walivyoonyesha basi msitegemee chochote labda riparian zone yaani pembezoni mwa ziwa ambako mnaweza kupatapata vimaji kwa ajili ya irrigation.
MkamaP ukiisoma ile Heligoland Treaty, imegawa mipaka karibu nchi yote ya tanganyikaMzalendo JR
Naomba niulize swali la kiuchokozi kidogo, ni nani aliyeweka mipaka ya Tanganyika na Congo DRC kupita kati kati ya ziwa? na ni nani aliyewagawia wa belgiji Burundi na Rwanda yetu?
MkamaP ukiisoma ile Heligoland Treaty, imegawa mipaka karibu nchi yote ya tanganyika
By [B said:nngu007[/B]
Mzalendo JR,
Katika huo Mkataba wa 1891 MJERUMANI alikuwa na RWANDA na URUNDI sasa ina Maana kama
wakishikilia huo Mkataba wa ZIWA NYASA ina Maana RWANDA na URUNDI zitakuwa za TANGANYIKA?
tungeliweza kuitaka Rwanda/Burundi lakini inategemea nia yetu na uwezo wa kufanikiwa katika hiyo nia.[B said:Mwita25[/B]
Hako kaziwa NYASA kenyewe hakana faida yoyote ya kiuchumi kwa taifa letu zaidi ya kutujazia nafasi tu. Waache wamalawi walichukue tu, sisi tuna fursa nyingi sana za kiuchumi mfano Ziwa Victoria, Mlima Kilimanjaro, Serengeti n.k. Tusijaribu kushawishi jeshi kuingia vitani, lina kazi nyingi nyingine za kufanya kwa taifa letu.
Mzalendo JR,
Katika huo Mkataba wa 1891 MJERUMANI alikuwa na RWANDA na URUNDI sasa ina Maana kama
wakishikilia huo Mkataba wa ZIWA NYASA ina Maana RWANDA na URUNDI zitakuwa za TANGANYIKA?
Mkuu ndio maaana nimeuliza hapo hilo swali la uchokozi, lakini naona halikuchokoza kunakotakika. Tanzania iende kwa international court, na wakishindwa kutokana na mkataba wa 1891 basi watumie huohuo mkataba kudai Rwanda na Burundi zirudishwe Tanganyika. Maana kama ni hivyo mabadiliko yote yaliyofanywa na wakoloni bila mjerumani yatakuwa ni batili kwa Tanzania, maana Tanzania baada ya mjerumani haikutawaliwa na mkoloni yeyote.
mkapaP na Mzalendo JR kama namsoma MkamaP vema, anataka sasa tulifungue pandora box. Kuseka kweli masuala ya mipaka ya nchi zetu hizi, kwa kiasi kikubwa, bado inategemea ileile iliyochorwa na wakoloni. Je, wakati sasa umefika wa sisi kukaa chini na kuwa na "Berlin Conmferenmce' yetu ya kugawana nchi yetu?Mkuu ndio maaana nimeuliza hapo hilo swali la uchokozi, lakini naona halikuchokoza kunakotakika. Tanzania iende kwa international court, na wakishindwa kutokana na mkataba wa 1891 basi watumie huohuo mkataba kudai Rwanda na Burundi zirudishwe Tanganyika.
Mzalendo JR,
Katika huo Mkataba wa 1891 MJERUMANI alikuwa na RWANDA na URUNDI sasa ina Maana kama
wakishikilia huo Mkataba wa ZIWA NYASA ina Maana RWANDA na URUNDI zitakuwa za TANGANYIKA?
mkapaP na Mzalendo JR kama namsoma MkamaP vema, anataka sasa tulifungue pandora box. Kuseka kweli masuala ya mipaka ya nchi zetu hizi, kwa kiasi kikubwa, bado inategemea ileile iliyochorwa na wakoloni. Je, wakati sasa umefika wa sisi kukaa chini na kuwa na "Berlin Conmferenmce' yetu ya kugawana nchi yetu?Mkuu ndio maaana nimeuliza hapo hilo swali la uchokozi, lakini naona halikuchokoza kunakotakika. Tanzania iende kwa international court, na wakishindwa kutokana na mkataba wa 1891 basi watumie huohuo mkataba kudai Rwanda na Burundi zirudishwe Tanganyika.
mkapaP na Mzalendo JR kama namsoma MkamaP vema, anataka sasa tulifungue pandora box. Kuseka kweli masuala ya mipaka ya nchi zetu hizi, kwa kiasi kikubwa, bado inategemea ileile iliyochorwa na wakoloni. Je, wakati sasa umefika wa sisi kukaa chini na kuwa na "Berlin Conmferenmce' yetu ya kugawana nchi yetu?

Asante kaka! Pia katika kugawa mipaka wakoloni walikua wakizingatia natural resources zilizoko mikononi mwa makoloni yao, na ndio maana Ziwa nyasa liliachwa kwao ili tubaki na Kilimanjaro, rejea moja ya coments zangu hapo juu. Otherwise walikuwa wapewe KENYA (Hata ukifuatilia bado utata wa Mt. Kilimanjaro upo japo hauna nguvu).
Mi nadhani hili la kugawana mipaka upya itakua Dhahama nyingine, kilichokuepo tuheshimu mipaka hiim iliyowekwa na wakoloni. Kila pande isimamie ukweli na si kudanganyana mtaani na tunaonekana wajinga.