Mzalendo JR
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,193
- 515
Mt. Kilimanjaro haukuwa kwenye Mkataba wa 1891 na wakati huo both Tanganyika na Kenya zilikuwa chini ya
Muingereza... tunaongelea kabla wakati wa Muingereza - Malawi na Mjerumani - Tanganyika... Tusichanganye
Historia hapa na kujikuta tunaongela VITA VYA IDD AMIN
Tanganyika halikua koloni la Muingereza, ila baada ya kumnyang'anya Mjerumani baada ya vita alipewa British kama MSIMAMIZI na si koloni.
Hii yote ilitokea baada ya Donald Cameroon, governor wa tanganyika kusema kuwa tanganyika is a part of the british empire and it will remain so! hii ni siasa na si ukweli kama unaelewa maana ya kuwa wao hawakuwa wamepewa koloni kama mali yao, bali kuliangalia mapaka wananchi wapate 'akili' ili wapewe uhuru! kwa hiyo, kimsingi, kwa maana ya sheria ya kimataifa, tanganyika haikuwa part ya british empire kama yalivyo makoloni yaliyotekwa mojakwa moja na uingereza yenyewe! hapa pakatokea mvutano mkubwa sana katika house of Lords na house of commons! na hivyo basi, mtafaruku huu wa mpaka ulianzia hapa, kwa kauli hii na hivyo hata waingereza wenyewe walivutana kuhusu mpaka. ipo hivi, mwaka 1926, wajumbe wa mabaraza waliibana serikali iseme mipaka ya tanganyika na ule wa ziwa nyasa!