Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Ukweli kuhusu mmiliki wa Yerusalemu

Wacha kupotosha hakuna neno bible hapo kwenye Aya .

Au ndio mafundisho mapya ya Mwalimu wa ushoga??
tuonyeshe basi inawezekana wewe mtume wa wanyonyi ni mjuzi basi tuonyeshe
2b3caeec390c14f7b4aaab829b559565.jpg
wafuasi wake wanaabudu jengo gani..
 
kijana una maradhi gani upewe dawa sawia allah amekuagiza uiamini Biblia View attachment 656754 kweli wazimu ni fani ndio sababu allah amesha wahukumia wafuasi wa muhammad woote jehannam View attachment 656755 View attachment 656756
Kwani Qur'an inaitambua bibilia ya paulo? Wapi imesema tumfate paulo? Qur'an inesema hivi Hatuwatofautishi Mitume na vitabu vyao sio kitabu cha mzinifu yule paulo. Tena hakukosea aliposema kila mchungaji anahaki ya kula kitoweo anacho kifuga.😀
 
Kwanza tuanze na mwaka wa 1948 ambao Israel ilitanganzwa kuwa taifa. Ukiangalia haraka haraka utagundua kuwa tamko la Rais Trump kuwa Yerusalem ni Mjii mkuu wa Israel laweza kuwa la kinabii, maana limetamkwa siku chache kabla ya kuingia 2018. Ikimaanisa 2017 kutoa 1948 ni miaka 70.

Je, miaka 70 maana yake nini Kibilia?

UNABII WA KWANZA:
“Kwa sababu [Waisraeli] hamkuyatii maneno yangu [Mungu], tazama, ninatuma . . . Nebukadreza mfalme wa Babiloni, . . . , nami nitawaleta wao [Wababiloni] juu ya nchi hii na juu ya wakaaji wake . . . Na nchi hii yote itakuwa mahali palipoharibiwa, kitu cha kushangaza, na mataifa haya yatamtumikia mfalme wa Babiloni miaka 70.”—Yeremia 25:8-11.

UTIMIZO:
Baada ya kulizingira jiji hilo kwa muda mrefu, Nebukadneza alilipora na kuliharibu Yerusalemu katika mwaka 607 K.W.K. Pia aliyashinda majiji mengine ya Yudea, kutia ndani Lakishi na Azeka. (Yeremia 34:6, 7) Aliwahamisha waokokaji wengi na kuwapeleka Babiloni ambako walikaa wakiwa mateka kwa miaka 70.

Historia inafunua nini?
● Biblia inaonyesha kwamba Nebukadneza ndiye aliyekuwa mfalme wa Babiloni karibu na wakati ambapo Yerusalemu liliharibiwa. Vitu vya kale vilivyochimbuliwa vinaunga mkono kile ambacho Biblia inasema kuhusu kuwapo kwake. Jiwe fulani la shohamu lililo na mchongo limewekwa huko Florence, Italia. Sehemu fulani ya maandishi yaliyo juu ya jiwe hilo yanasema hivi: “Kwa heshima ya Merodaki, bwana wake, Nebukadneza, mfalme wa Babiloni, alipokuwa hai aliagiza hili lijengwe.” Nebukadneza alitawala kuanzia mwaka wa 624 hadi 582 K.W.K.
● Kitabu The Bible and Archaeology kinasema kwamba mambo yafuatayo yamethibitishwa baada ya eneo la Lakishi kuchimbuliwa na kufanyiwa uchunguzi: “Uharibifu wa mwisho ulikuwa wenye jeuri, na moto ulioharibu jiji [Lakishi] ulikuwa mkali sana hivi kwamba mawe ya chokaa yaligeuzwa kuwa ungaunga wa chokaa.”

UNABII WA PILI:
“Kupatana na kutimia kwa miaka 70 katika Babiloni [mimi Mungu] nitawakazia ninyi fikira [Wayahudi walio uhamishoni], nami nitawatimizia neno langu jema kwa kuwarudisha tena mahali hapa [nchi ya Yuda].”—Yeremia 29:10.

UTIMIZO:
Baada ya miaka 70 ya uhamisho, kuanzia 607 hadi 537 K.W.K., Mfalme Koreshi wa Uajemi aliwaachilia Wayahudi waliokuwa utekwani na kuwaruhusu warudi nyumbani kwao ili wakajenge upya hekalu huko Yerusalemu.—Ezra 1:2-4.
Historia inafunua nini?

● Je, Waisraeli waliendelea kuwa mateka Babiloni kwa miaka 70 kama Biblia ilivyotabiri? Hebu ona maelezo ya Ephraim Stern, ambaye ni mmoja wa wataalamu wakuu wa wachimbuaji wa vitu vya kale nchini Israel. “Kuanzia mwaka wa 604 K.W.K. hadi 538 K.W.K.—hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa kuna mtu aliyeishi nchini Israeli. Wakati huo, hakuna hata mji mmoja ulioharibiwa na Wababiloni unaoonekana kuwa ulikuwa na watu.” Kipindi hicho ambacho hakukuwa na mtu katika eneo lililoshindwa kinapatana sana na uhamisho wa Waisraeli kupelekwa Babiloni kuanzia 607 hadi 537 K.W.K.—2 Mambo ya Nyakati 36:20, 21.

Baada ya utawala wa Sulemani, taifa la Israeli likagawanyika sehemu mbili. Makabila kumi ya kaskazini waliitwa "Israel," na wao walidumu miaka 200 kabla ya hukumu ya Mungu kwa ajili ya ibada yao. Asiria ikatwaa Israeli kama watumwa karibu 721 BC. Makabila mawili katika kusini yaliitwa "Yuda," na wao walidumu muda mrefu kidogo, lakini hatimaye, pia, wakageuka kutoka kwa Mungu. Babeli aliwachukua mateka 600 BC

Miaka 70 baadaye, Mungu kwa neema aliwaleta mabaki ya wafungwa nyumbani kwa nchi yao wenyewe. Yerusalemu, mji mkuu, ulijengwa upya karibu 444 BC, na Israeli kwa mara nyingine tena ikawa na urahia wa taifa.

Kubomolewa kwa hekalu: Yesu alisema katika Mathayo 24:2, "...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa". Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.Hekalu lilikuja kubomolewa miaka 70 AD.
329e13217ed2cf8ac84087ee7a39418d.jpg

Na sasa eneo hilo lilipokuwepo hekalu limejengwa msikiti wa alqsa. ,Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,

Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

MUNGU kupitia Nabii isaya miaka 2700 iliyopita alinena haya juu ya Taifa la wayahudi(ISRAELI)

ISAYA 14

"1 Maana Bwana atamhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye atawaweka katika nchi yao wenyewe; na mgeni atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.

2 Na hao mataifa watawatwaa na kuwaleta mpaka mahali pao wenyewe, na nyumba ya Israeli watawamiliki, na kuwafanya watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana; nao watawachukua hali ya kufungwa watu wale waliowafunga wao, nao watawamiliki watu wale waliowaonea"

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU, biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo ,AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.

Kutokutajwa Dar es salaam exclusively ndani ya katiba hakuifanyi Dar kutokuwa mkoa mmojawapo wa Tanzania.

Kwa taarifa yako hata Madina haijatajwa katika Qur'an
 
tuonyeshe basi inawezekana wewe mtume wa wanyonyi ni mjuzi basi tuonyeshe
2b3caeec390c14f7b4aaab829b559565.jpg
wafuasi wake wanaabudu jengo gani..

masomo aliyopewa yayo Agassi yamekuzidi , Hivi hiyo ndiyo aya uliyoileta kutoka quran ???
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile
Mkuu umesema qbla ya kwanza ilikuwa jerusalem je kabla ya hapo jerusalem qbla ilikuwa wapi?
 
Mkuu umesema msikiti ulijengwa na malaika kabla ya kubomolewa na kujengwa na suleimani je ni kwa vipi malaika mwenye kuujenga kwanza alishindwa kuulinda?
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui nilikujibu tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..

3ff3781e42880f8e3e3de42e09a4d7b8--bible-translations-bible-facts.jpg
 
hili swali lako unarudia rudia ukijiona mjuzi kumbe hujui kwamba hujui nilikujibu tuwekee toleo moja tu linalo pingana na Amri.10.za Mwenyezi kama koloani inavyo zipinga..

A typo in a 1631 version of the King James Bible implored its readers to commit acts of adultery

coverimage%281%29.png
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile
Mnapoteza muda kubishana, unabii lazima utimie whether you like or not.
 
Inabidi jambo hili waachiwe ma padre na ma sheikh wayahudi, na watu wakidini ndio wanaweza tatua hili kwa haki kutokana na kuwa historia ya israel kuhusika na mambo ya dini nk
 
Mkuu umesema msikiti ulijengwa na malaika kabla ya kubomolewa na kujengwa na suleimani je ni kwa vipi malaika mwenye kuujenga kwanza alishindwa kuulinda?
Yani unajua umekuja na point nzuri sana. We unashangaa Malaika wa Mungu kujenga Msikiti afu ukabomolewa. Sa mimi nashangaa vipi Mungu kamruhusu mwanaye afe ile wafutiwe madhambi watu kama nyie wakristo🙁 Na vipi walimua na Mungu alikuwa wapi asimzue mwanae wa peke mpaa amtolea sadaka. Yani hao walimuwa mtoto wa mungu wenu, mungu wa wakristo hakuwaona? Ukishangaa ya firauni utashangaa ya wakristo kusema mungu wao kafa kwa ajili yao😀
 
Dogo wacheni kelele Masjid AL Quds ulijengwa na Malaika na badae Mwenyezi Mungu akamuamrisha Nabii Ibrahim ahame kutoka Iraq kwenda ardhi ya Kinaani na ardhi ya Kinaani ni ardhi ya kiarabu ambao ni wa Palastna. Mke wa Nabii Ibrahim alipokufa Sara. Nabii Ibrahim ilibidi anune ardhi ya kumzika mke wake. Kuhama kwa Nabii Ibrahim kutoka Iraq kunaonyesha wazi kabisa si kila anaye hama akienda kwingine anapewa haki ya kuwa mwenyeji wa pale. Kila Ardhi au nchi inawatu wake. Ingekuwa vile basi Nabii Ibrahim asinge nunua ardhi ya kumzika mke wake Sara, kasomeni history mjue kwanza sio mnapurukuta tu na kuongea kama walevi. Nabia Suleiman alikuja ujenga msikiti baada ya kuwa umebolewa kama alivyo ujenga Nabii Ibrahim bada ya Malaika wa Mungu kujenga na kubomolewa. Lazima mfahamu wazi Qibla ya kwanza ya waislam ilikuwa pale Jeruselam ambayo tunaita Al Qudis.Msilete za kuleta hapa eti wamasai warudi Ethopia na Wagoni warudi South Africa. Wapeni bas Warabu Zanzbar kama ni vile

Ndugu yangu umeongea fact za wazi kabisa na point yako inaeleweka kwa wanaosoma vizuri biblia bila unazi wa kidini ila naona kasoro yako hapo unatumia lugha ghali Kali zinazowanyima wazembe kudadavua ila utawapata wanaotaka kujibizana na wewe
 
A typo in a 1631 version of the King James Bible implored its readers to commit acts of adultery

coverimage%281%29.png
umeokota wapi hicho kipande cha karatasi kumbe hata Kauli ya Mungu huijui eeh
 
Back
Top Bottom