mchonga
JF-Expert Member
- Dec 3, 2006
- 1,233
- 248
unataka tuchangie nini mimi binafsi simjui Mkulu kiundani kuchangiaNinyi
ni katika kazi
Injinia
ngwendu
Froida
faithful
Geza Ulole
mnatafta nini humu maana naona mpo mda mrefu wala hamchangii.
mie mchango wangu ndo huo
Yeye badala ya kumuingilia mumewe katika maamuzi ya kuongoza nchi, aliamua kuunda ka-serikali kake pembeni na kukaongoza kwa ufanisi mkubwa. Tunamjua Ben, haingiliki, hata ukimwuliza Manji anajua! Kwa hiyo ilikuwa ni busara kwa Anna kuamua kutomwingilia katika masuala ya kuongoza Serikali.