heshima kwenu wakuu nimepigiwa simu na hawa jamaa kwamba nimepata kazi nbc nimeshapply wananiambia ili nipate kazi inabidi nilipe kwa tigopesa tsh 100,000 ya kwao kama recruitment agency, kuna ukweli wowote kwa hawa watu mwenye kujua kama kweli unapata kazi au magu,ashi ukishawapa pesa na biashatra na wew imeiosha mwenye kujua tafadhali.,naomba kuwasilisha,ahsanteni