Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Hivi huo wema wa mwarabu umeanza lini
ilipaswa kufanyika hayo ;ili haki na uhuru wa kweli wa wazanzibar upatikane
mbona hamuweki yaliyofanywa na madhalimu wale wa sultan!!,
..acha kujidanganya.
..wa-Tanganyika wasingeweza kuingia Zenj na kumfanyia kitu mbaya Sultani bila kushirikishwa na wa-Zenj wenyewe.
..tatizo lenu mnadinganya kufikiria kwamba utawala wa Sultani ulikuwa mzuri sana na kila m-Zenj alipendezwa nao.
..huko Zenj kila uchaguzi uliofanyika ulikuwa na matatizo na malalamiko yasiyokwisha. Mapinduzi ya 1964 siyo vurugu za kwanza za uchaguzi Zenj.
..Waafrika wa Zenj hawakupendezwa na katiba na sheria za uchaguzi zilizolazimishwa na Waingereza ambazo dhahiri zilikuwa zinawapendelea Waarabu.
..ZNP na ZPPP walifanya makosa, kwa kuongozwa na ubaguzi, kwa kuungana kuunda serikali huku wakiwaacha kwenye mataa ASP[Waafrika] ambao walikuwa wamepata kura nyingi na viti vingi.
..naamini ZNP wangekubali kuungana na ASP na Waziri Mkuu atoke ASP shari yote hii isingetokea. badala yake hila na ubaguzi vikawashawishi ZNP kwenda kuungana na ZPPP ilimradi Muafrika asipate kuongoza nchi yake mwenyewe.
NB:
..kama wa-Tanganyika walishiriki Mapinduzi hayo ni kutokana na kukerwa na jinsi ndugu zao walivyokuwa wakidhulumiwa haki zao ndani ya nchi yao.[/QUOTE]