Unataka kusema kuwa Mapinduzi ya Zanzibar aliyafanya Nyerere au Wanzanzibari? hebu toweni ujinga wenu huko. Nyerere has got nothing to do with this. Na hakuna hata Mtanganyika 1 aliyewahi kufanya Mapinduzi huko ZNZ. Hizo zote ni chuki zenu kwa Watnganyika
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kuwatumia salaam zangu za kuadhimisha kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Katika pekua pekua nimekutana na hili ni bora niwashirikishe
Ni kweli hili lilifanyika ili kuondoa ubaguzi wa ubwana na utawala. Kabla ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, kulikuwa na ubaguzi mkubwa wa Waarabu kujiona Bora hivyo kuwa ni mabwana na Waswahili kuonekana ni watwana, hawakuruhusiwa kuoa Waarabu. Hivyo Karume akahamasisha watwana, kujitwalia mabinti wa Kiarabu na Washirazi na kuwaposa na huruhusiwi kukataa.Kuna kitu sikielewi vizuri kwenye haya "Mapinduzi Matukufu".... Uhalali wa waliopanga Mapinduzi, kuwatimua waarabu
Mkuu @GwaB , hakuna Mwarabu aliyetimuliwa Zanzibar baada ya Mapinduzi Matukufu,
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari
Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...www.jamiiforums.com
lakini hao hao waliopanga Mapinduzi kuoa na kujimilikisha wanawake na mabinti wa kiarabu.🤔
PASKALI ... Maoni yako tafadhali.
Huo ulikuwa ni ubakaji wa halaikikujitwalia mabinti
Kwa kizungu kweli ni kubaka, lakini ki Afrika, it's not!. Sisi kwetu hadi kuna ngoma ya Chagulaga, unajitwalia tuu binti kinguvu na kwenda kujilia, kisha kesho yake ndipo mnapeleka ng'ombe kwenye familia ya mwanamke.Huo ulikuwa ni ubakaji wa halaiki
Hata Interehamwe walikuwa wakibaka mabinti wa Kitutsi na kujustify hivyoKwa kizungu kweli ni kubaka, lakini ki Afrika, it's not!. Sisi kwetu hadi kuna ngoma ya Chagulaga, unajitwalia tuu binti kinguvu na kwenda kujilia, kisha kesho yake ndipo mnapeleka ng'ombe kwenye familia ya mwanamke.
P