Ukweli kuhusu maisha ya ughaibuni

Kwasababu kwenye interview umekiri una mke Mtanzania na watoto,ikitokea umeshinda kesi itakuwa rahisi sana kuwavuta huko lakin pia kuna wanaigeria ni familia walijitosa huko basi wakakaa huko 2 yrs wakisubiri washinde kesi basi wakashindwa na kurudishwa nigeria,wao waliingia kwa style ya kwamba mtoto wao wa kike anataka kutahiriwa so wamekimbia wanahofia watoto wao wa kike wasije kutahiriwa kwa lazima .
 
Aisee!
Upo serious au unaleta utani?
 
Wale jamaa walijua tulikuwa tunatafuta chimbo tuwagon** maana walikuwa wawili na sisi tulikuwa wawili, ila sikujali sana maana kipindi hiko niko msela sana sijali kitu, tukaagana nao wakasema watakuja kesho kufika asubuhi tukahama gesti.
Mzee baba huko Zenjibar
guest za tsh 25 hadi 30 naweza kuzipata wapi ?
 
Je, bado unawasiliana na familia yako na wanajua hali halisi?
 
Mungu akusaidie maombi yakubaliwe insha Allah.
 
Msaada mkubwa ni kuwaeleza watu kuhusu maisha ya huku na ya ukimbizi.Naomba watu msinisumbue Private kutaka niwafanyie mchongo mimi sina uwezo wowote wa kumsaidia mtu Zaidi ya kutoa mawazo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isome stori yangu vizuri,Sijasema kuna kambi mpakani.Hujasoma Thread vizuri Una comment utumbo mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamas totally no muongo ,je aliojiwa kwa light Gani hwakuwepo wasomali wa kumchalenge lugha,alikua hana kitu chochote kile?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu jambo usilolijua usiseme ni uongo.
Mimi ni Shahidi huku Wazanzibari wengi waliokuja miaka 3 iliyopita wamejiripua kisomali kwa jina la kibaharia tunaita Kisonjo.Mimi nilijua ntaletewa Msomali aniongeleshe Kisomali kumbe sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema ulipoenda for interview waliomba kitambulisho(ID) ukawapa; ni kitambulisho kipi, passport ya Tanzania?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…