Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
- Thread starter
- #21
Prince....siko hapa kutetea ufisadi.... ila jiridhishe kabla hujahukumu..... kama unakumbuka, yule
zombi/ msukule kuna watu waliweka picha ya dada mmoja wa chuo kikuu na kusema ndo yeye kabla hajawa vile, sijui kama unajua yule dada wa
chuo kikuu aliumia kiasi gani kwa ufedhuli ule.... pia kama unakumbuka baada ya masamaki wa tra na wenzake kukamatwa, kuna watu waliweka
picha ya pesa za drugs zilizo kamatwa kwenye ndoo huko Mexico na kuweka picha ya masamaki na pesa ile wakisema zimekutwa kwake.... watz tunapotoka na tumepotoka.... nna uhakika nikikwambia kaonyeshe hizo mali za watu wa
NIDA hutaweza.....