Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

Tanzania Njema Yaja

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
3,041
Reaction score
2,417
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
 
Mkuu umechanganua vyema sana ngoja na wadau wengi nao waje...tupate uchanganuzi zaidi maana jf ni kisima cha maarifa....

Lakini nina mashaka na wanaowajibika kumpatia habari mheshimiwa rais.....kuna kila dalili kuwa wanamuongopea au wanaficha maovu ili majipu ya yasionekane.....huu uchambuzi ulioutoa hapa ni wa kiutendaji kabisa ambapo kwa mujibu wa mamlaka zilizoidhinisha malipo hayo lazima watakuwa wanajua nini kinasababisha kusua sua kwa zoezi hilo.....lakini inawezekana kabisa wao wamemuongopea raiis kuwa malipo yameshakamilika lakini bado zoezi halijakamilika....
 
nashukuru mkuu... ni vema watanzania tukajenga tabia ya kuwa wakweli, kwetu wenyewe na kwa viongozi wetu.... kama vitambulisho vya NEC haviwezi tumika uchaguzi ujao, vina expire in 3 yrs na vya NIDA vita expire in 10 years, huwez walinganisha wote at per.... hapa ni sawa na kulinganisha chungwa na apple eti kwa sababu yote ni matunda....
 
Mkuu
Uchambuzi yakinifu huu,hakukuwa na sababu za msingi kutumia mabilioni kwenye NEC ilhali NIDA walikuwa wanasuasua kifedha.on value for money yes ni viable .politics ukichanganya na utalaam ni lethal
Mkuu hapo ndo kwenye shida..... lakini sielewi kwa nini NIDA hawaweki ukweli hadharani.... labda wanaogopa insurbodination. ... kuonekana wamemjibu mheshimiwa Raisi, lakini NIDA wana yao mazuri tu..... tena mazuri sana...
 
Mkuu umetoa mchanganuo vizuri, sisi wengine tunasubiri uchunguzi umalizike tujue mbivu na mbichi, lakini tukae tukijua hakuna mchunguzi anayeweza kuwa na Guts za kum-prove Rais wrong, lazima jamaa watapatikana na hatia somewhere, haiwezekani wawe wasafi kwa 100% hata katika mchakato wa procument mahala ambapo tulio wengi ndipo tunapatia viada vya shule za watoto.
 
under magufuli serikali itapata hasara sana kwa kulipa fidia na malipo mengine kwa wafanyakazi wake.Tatizo Magufuli anathani anaweza kusafisha kila kitu;hio kitu haiwezekani. Yeye aweke mipango mipya na kujenga nchi upya. Ya kale hayanuki,na hapa bado atapiteza kesi nyingi sana.
 
Utafiti ni mzuri sana tu,ila sasa zika patikanaje tena hela za kununulia mtaa mzima mikocheni nyuma ya Shopper's plaza na kujenga apartments za nguvu, hii inaingia kwenye matumizi gani katika huo mchanganuo wako na pengine ukatupa na gharama zake,nahofia usije uka tumika kama Sabuni.
 
Mkuu wa kaya aliye-question juu ya hiyo kitu naamini ana insight ya what is behind the scene.

Mleta hoja asante umechambua vizuri ila kwa sasa wacha state instruments zilete kile ambacho hatukijui (i hope).

Kwani NIDA hawakuona umuhimu wa kutoa taarifa kabla ya kutuhumiwa?

Utaniambia hawana kitengo cha PR[emoji15]
 
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Raisi, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalo fanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yakikuwa ni ya usajiri tu kama NEC wanavo fanya. Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa
kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo
maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na inexpire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA
utakuwa ni wa juu kuliko wa card za
NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip
(watu wa IT watanielewa) wakati NEC
ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghari.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa
ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajiri za NEC (70b) kwa idadi ya vvitambulisho(23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambukisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajiri tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati
wa zoezi la usajiri wa NEC magazeti
yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120bi bila gharama za usafiri ( logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70bi tu. Wakati gharama za
NIDA sh179.6bi ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua machine za usajiri na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalo husisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavo jua uanzishwaji wa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.
Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card leaders. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini fingure prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu ni hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zikizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua nahawajaweza malizia
usajiri na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
NIDA wahukumiwe kwa slow roll out of the registration proram. It is in mature at this moment in time to judge them on per capita cost
 
Mkuu

Mkuu hapo ndo kwenye shida..... lakini sielewi kwa nini NIDA hawaweki ukweli hadharani.... labda wanaogopa insurbodination. ... kuonekana wamemjibu mheshimiwa Raisi, lakini NIDA wana yao mazuri tu..... tena mazuri sana...
Utafiti ni kitu bora sana kabla ya kuwasilisha mada,audit reports zitaweka wazi
 
Mkuu hilo siwez lielezea nadhani vyombo vya uchunguzi ndo vitatuelezea.... je umewahi fika mahali hapo au unashabikia tu?

Utafiti ni mzuri sana tu,ila sasa zika patikanaje tena hela za kununulia mtaa mzima mikocheni nyuma ya Shopper's plaza na kujenga apartments za nguvu, hii inaingia kwenye matumizi gani katika huo mchanganuo wako na pengine ukatupa na gharama zake,nahofia usije uka tumika kama Sabuni.
 
Naona unatete wizi.
mkuu mi nimefanya utafiti na kuja na data... kama una data tofauti na hizi basi zieleze..... hatutafanikiwa kama tutawakatisha tamaa watendaji wanao pigana kufanikisha jambo eti kwa sababu umesikia 179 bi zilizo tolewa kwa zaidi ya miaka 5... ulizia nchi jirani kenya na Uganda kwenye mchakato wao wameisha tumia sh ngapi....
 
Hapo penye kujitafutia viada ndo penye shida kwa kuwa baada ya kukamilisha ada halafu kukawa hakuna noma, jitihada sasa zinahamia kwenye idadi ya nyumba za kupangisha, magari ya kifahari n.k. hawa watu wa nida wamekutwa na assets walizoshindwa kuelezea vyanzo vyake.....tutumbuane tu kwanza.
 
Mkuu umechanganua vyema sana ngoja na wadau wengi nao waje...tupate uchanganuzi zaidi maana jf ni kisima cha maarifa....

Lakini nina mashaka na wanaowajibika kumpatia habari mheshimiwa rais.....kuna kila dalili kuwa wanamuongopea au wanaficha maovu ili majipu ya yasionekane.....huu uchambuzi ulioutoa hapa ni wa kiutendaji kabisa ambapo kwa mujibu wa mamlaka zilizoidhinisha malipo hayo lazima watakuwa wanajua nini kinasababisha kusua sua kwa zoezi hilo.....lakini inawezekana kabisa wao wamemuongopea raiis kuwa malipo yameshakamilika lakini bado zoezi halijakamilika....
Naona na magazeti yanakopi na kupasti vitu vya JF, kuna uzi uliwekwa humu kuhusu hii kitu kama wiki hivi.
 
Mkuu, umepembua vizuri mpaka umenishawishi kuwa inawezehana washauri wa JPJM wana mpotosha halafu yeye anaonekana mkurupukaji.

analysis yako imenifungua macho!
 
Utafiti ni mzuri sana tu,ila sasa zika patikanaje tena hela za kununulia mtaa mzima mikocheni nyuma ya Shopper's plaza na kujenga apartments za nguvu, hii inaingia kwenye matumizi gani katika huo mchanganuo wako na pengine ukatupa na gharama zake,nahofia usije uka tumika kama Sabuni.
Exactly! Hii ndiyo point hebu mletamada kabla ya yoooooote tolea ufafanuzi wa haya. Hivi Tanzania imekuwaje kutetea WIZI mchana kweupe hebu achana kwanza na ooh technologia ooh what hebu fafanua kwanza haya. Je Ufisadi ulifanyika au haukufanmyika kwanini mjustify Ufuisadi???? This is not acceptabl;e. Tunajua mko wengi na mna nguvu ya pesa lakini wazalendo pia wapo na kwa sasa ndio wenye nguvu. Go Mh. Magufuli go tuko pamoja nawe!!!
 
Mkuu hilo siwez lielezea nadhani vyombo vya uchunguzi ndo vitatuelezea.... je umewahi fika mahali hapo au unashabikia tu?
Sahau unachoita ushabiki si shabikii upuuzi pamoja na kuona pia yaliyo elezwa yana jitosheleza kwani kajengea hewani? nime kuuliza mchanganuo hujui basi subiri hivyo vyombo vya uchunguzi vikuaminishe.
 
Back
Top Bottom