Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

Technical language which may potray the truth, does not make it the truth. Did you know that you can steal moneyand be able to balance the Books?. Tuwe tayari kungeuka na kusonga bele kwa pamoja, sio siasa muda wote.
 
Wadau, inawezekana kweli alichokichambua jamaa ni kweli lkn kabla uamuzi wa rais, inasemekana preliminary investigation ilifanyika na jamaa wamekutwa na mali nyingi sana. Pili, ajira nida ni za kujuana, watu wameajiriwa pale ndugu, halafu mkuu wa kaya wa NIDA inasemekana kila mzuri ilikuwa halali yake. je utampata mzuri bila chenji? Tusidanganyane, mimi namwamin sana Magufuli, wanaodai anakurupuka hawajamwelewa utendaji wake wa kazi. Unajua kunusa, kuhisi, kusogea na kuangalia na kuchukua hatua. ndo maana wale hawajawekwa mahabusu kama mafisadi wa Bandarin. Tusubir tuone.....

Kama jamaaa wana mali nyingi sana, kama ajira ni za kujuana, lakini kilichopo mezan ambacho ni kama kilinganishi ni issue za NIDAvs NEC, issue ya sahihi na pia uchache wa idadi ya vitambulisho vya NIDA.Hayo mengine ni by the way tu kwa sababu wahusika wa Taasisi hiyo wamo kwenye kadhia.

Lakini kama kila mfanyakazi wa Umma au private yeyote uanze kunfanyia uchunguzi kila mmoja individually, utafika mahali hata anaechunguza nae akichunguzwa anaweza nae akashindwa kuthibitsha 100% uhalali wa mali, either kwa kukosa kumbukumbu sahihi(documents) nk!
 
Wadau, inawezekana kweli alichokichambua jamaa ni kweli lkn kabla uamuzi wa rais, inasemekana preliminary investigation ilifanyika na jamaa wamekutwa na mali nyingi sana. Pili, ajira nida ni za kujuana, watu wameajiriwa pale ndugu, halafu mkuu wa kaya wa NIDA inasemekana kila mzuri ilikuwa halali yake. je utampata mzuri bila chenji? Tusidanganyane, mimi namwamin sana Magufuli, wanaodai anakurupuka hawajamwelewa utendaji wake wa kazi. Unajua kunusa, kuhisi, kusogea na kuangalia na kuchukua hatua. ndo maana wale hawajawekwa mahabusu kama mafisadi wa Bandarin. Tusubir tuone.....
Mkuu namwamini sana mh. Raisi.... nnapenda aendelee kutumbua majipu.... naipenda Tanzania yangu lakini kumbuka na fitna nazo zipo..... lakini kama kuna ukweli unao ujua au kama umeweza kuconect dots na kuona kuna kisicho sawa, je huruhusiwi kufanya kama nilivo fanya? Na mwisho wa uzi wangu umeona nakubaliana na uchunguzi alio elekeza mh. Raisi... yawezekana mimi ni mpenda Tz yetu kuliko wengi humu ila napenda ukweli.... call a spade a spande na sio big spoon.....
 
RAIS
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......
RAISI AJAKURUPUKA NAAMINI HALI INAYOENDELEAA HUYU BWANA ATAKUJA TENA HUKU

WE KNW EVERYTHING ABOUT NIDA ...ABOVE IS POLITICS

SUBIRIN UKWELI UPO
 
NIDA is a private Organization funded by the Goverment of Tanzania.
 
Siohiloo wamesambazwa wengi mitandaoni kujaribu kkwabadilisha watu mawazo hill not acceptable mmechemmka NA watakuja wengi kuisapport ila tumwachie RAISI
 
Mkuu watu mpaka wanatukana.... hawaoni kwamba ni haki ya kila mtu kuwa huru na kueleza ukweli ili mradi usimsingizie mtu..... hawaji na hoja kupinga hoja....
Mdau, kwa kuwa wewe ni mtafiti mzuri, tupe na kilichojiri ATCL kuhusu hizo mil.700 na ni kituo kimoja tu cha mauzo ya ticket. Tufanyie kautafiti tuone please
 
Ha ha haaaa..... mi mwanadipromasia ntakuvumilia kwa dihaka yako mkuu wangu......
 
under magufuli serikali itapata hasara sana kwa kulipa fidia na malipo mengine kwa wafanyakazi wake.Tatizo Magufuli anathani anaweza kusafisha kila kitu;hio kitu haiwezekani. Yeye aweke mipango mipya na kujenga nchi upya. Ya kale hayanuki,na hapa bado atapiteza kesi nyingi sana.

akili kama hii ni hatari kwa afya ya binadamu na taifa
 
Nimesoma Magazeti mbali mbali na kumsikiliza mhe.Rais, baadhi ya mitandao ya kijamii na utafiti wangu mwenyewe , ki mantiki NEC na NIDA ni mbingu na Ardhi.

Wakati NIDA ni taasisi mpya na zoezi linalofanyika halijawahi kufanyika nchini kwetu kwa maana ya kumtambua mtanzania, mazoezi mengine yalikuwa ni ya usajili tu kama NEC wanavo fanya.

Madhumuni ya NIDA ni kumtambua nani Raia, nani Mgeni mkaazi na nani mkimbizi. Hili zoezi sio rahisi maana nchi yetu inapakana na nchi nyingi na kuwatofautisha watu wake sio rahisi.

Zoezi la NEC ni la kisiasa wakati mfumo wa NIDA una manufaa kiuchumi, kijamii na kiusalama ndo maana kazi yao inafanywa kwa umakini sana kwa kuhusisha vyombo vingine Kama RITA, Uhamiaji, Tamisemi na vyombo vingine vya ulinzi.

NIDA vs NEC.

1. Card ya NEC ni ya plastic na ina expire in 3 yrs kulingana na material iliyo tumika wakati ya NIDA ni smart card na life span yake ni miaka 10. Hivo ununuzi wa card za NIDA utakuwa ni wa juu kuliko wa card za NEC.

2. Kwa kuwa card za NIDA ni smart Card, hata printers zake ni specialized ili kuweza kuingiza data kwenye chip (watu wa IT watanielewa) wakati NEC ni printer za kawaida unazo weza print popote. Hivo ununuzi wa printa za NIDA utakuwa ghali.

3. Teknolojia ya NIDA ni ya kisasa na
ndo inayo tumika kwa sasa ulimwenguni na ni takwa la E. Africa comunity.

4. Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania la leo tarehe 08.02.2016, ukurasa wa 4 , mwandishi amegawanya pesa za usajili za NEC (70b) kwa idadi ya vitambulisho (23m) na kupata kila
kimoja ni sh. 3,010 na kwa NIDA kachukua 179.6b kagawa kwa vitambulisho 2m. Kimsingi 70b ya NEC ni ya usajili tu bila kuweka gharama za BVR. Kama sikosei wakati wa zoezi la usajili wa NEC magazeti yaliwahi kureport gharama ya BVR moja kuwa ni kama $ 6,800 na walinunua BVR 8,000 hivo basi NEC walitumia kama $54,400,000 sawa na karibu 120b bila gharama za usafiri (logistics), karatasi nk hivo si kweli NEC walitumia 70b tu. Wakati gharama za NIDA sh179.6b ni pamoja na gharama za kujenga mfumo wa kielectronic, kumlipa mkandarasi, kununua mashine za usajili na consultant aliye andikwa gazeti la Mtanzania la leo, magari, ofisi zao kila wilaya, na jukumu kubwa la utambuzi linalohusisha vyombo mbalimbali ambalo NEC hawalifanyi (nilivo vitaja hapo juu) na kama mnavyojua uanzishwajiwa ofisi ni pamoja na ununuzi wa samani etc.

5. Wakati NEC hizi pesa walipewa ndani ya mwaka mmoja, na kwa sababu ya uchaguzi NEC walikuwa na cut off time, NIDA pesa hizi
wamepewa tangu mradi uanze mwaka 2011.

6. Kama expiration ya card za NEC ni 3 yrs na NIDA ni 10 yrs hivo cost of investment ya NEC ni mara 3 ya NIDA.

7. Kuhusu sahihi (signature) kuto kuwa kwenye kitambulisho ni suala la kiteknolojia na kiusalama zaidi.Vitambulisho vingi vya kisasa na hata vya nchi nyingi tu havina signature on the face ya kitambulisho maana data zimo ndani ya kitambulisho na zinasomeka kielectronic. Vitambulisho vya Nigeria, Malaysia, Philippines etc havina signature . Data za mhusika husomwa na kitu kinaitwa Card reader. Ni kwa sababu za kiusalama tu maana signature inaweza kugushiwa lakini finger prints haziwezi. Nimeona kwenye magazeti mengi NIDA wamepata award (tuzo) mbili za kimataifa kuhusiana na teknolojia yao lakini hapa kwetu hatuvithamini, mi naona kuna shida.

Mpaka sasa hivi, kwa utafiti wangu, toka 2011 NIDA ilipo anza, NIDA imepata 20% ya pesa zilizo idhinishwa na bunge kwa miaka yote hiyo na sababu hii ya ukata ndo maana zoezi linasuasua na hawajaweza malizia usajili na wameshindwa toa elimu kwa Umma sababu ya Ukata.

Sio nia yangu kutetea ufisadi na ndo maana najiita "Tanzania Njema Yaja". Naiona Tanzania ikielekea kwenye nuru lakini hatutafika kilele cha uzuri huo kama ukweli hautaelezwa... ni vema Watanzania wakauelewa ukweli kabla ya kuhukumu. Mh. Raisi alisema, "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" nami naona nimetimiza usemi huo. Na ninaamini baada ya uchunguzi ambao mh. Raisi ameelekeza ufanyike, ukweli utafahamika na haki itatendeka.

Long live Tanzania. Ukweli utatuweka huru.......

Mkuu umedadavua vizuri na kwa weledi, Na kiukweli kulingana na hayo mahesabu hapo juu una LOGIC kwenye maelezo yako na SIO Facts. FACTS ndizo zinazofanya Rais aamue wachunguzwe kwanza ili tujue UKWELI. Naamini hata wewe bado hujajua gharama halisi za kutengeneza ID moja tu ya uraia ni kiasi gani? yamkini umetumia mahesabu rahisi tu ya kugawanya cost kwenye Quantity. Me nadhani tusubiri uchunguzi ili tuone kama Taasisi yetu ya Urais ni mbovu sana kiasi cha kiongozi wake kudanganywa
 
Umechanganua vyema lakini zipo fedha nyingi tu zilipigwa.....
 
Ndo maana Mh. Rais amesema ifanyike value for money audit. Hayo uliyosema yatapimwa kwa ubora stahiki. Wananchi wana mashaka ya matumizi ya fedha zote hizo kwa ufanisi mdogo. Bila shaka hoja yako itazingatiwa.

Back
Top Bottom