Wadau hivi ni kweli kuna organization iitwayo Doctor ambayo kwa mara ya kwanza head quarter ilikuwa Kigali Rwanda na hivi sasa wamehamishia Nairobi kenya?
Organization hii inadai kufanya kazi na CDC africa, katika nchi za Tanzania na Kenya kwa lengo la kutoa elimu juu ya ugonjwa wa Ebola. na walitanzagaza kazi 100 last year ya Community moblization and sensitization officers.
Baada ya kimya kirefu toka mwezi wa tisa mwaka jana wameibuka tena siku mbili zilizopita kwa kutuma sms kwa baadhi ya watu kuwa wamechaguliwa kuhudhuria training kwa muda wa wiki mbili Nairobi kenya, kuanzia jan ya mwaka ujao.Ili kuwa katika kigezo cha kughalamiwa chakula na malazi kwa kipindi chote hicho cha training wanataka tutume sh elfu 55 ya kitanzania kwenda vodacom/Safari com kwenye kwa ajiri ya kubook chumba.
Wadau naomba mtusaidie hawa jamaa wasije wakawa ni wale wale matapeli wetu wa kila siku wanaotumia majina ya taasisi kubwa kudhulumu watu.
Please kwa mtu yeyote mwenye ukweli kuhusu hili suala tushee pamoja jamvini