Ukweli kuhusu kutongoza

Ukweli kuhusu kutongoza

Sio kusifiwa tu yale maneno matamu yana raha yake.... Yani asipokutafuta mtu unakonda kwa mawazo
Kuna Mdada alikua Ana muhadithia mwenzie kuhusu mie....eti yule mkaka Ana maneno matamu!!
Huku ananizungushaaaa....Ahahahahaha.... nikasema wadada bana!!
 
Vitendo huongea zaidi ya maneno, ukitegemea maneno matupu utaangukia pua.
1. Ondoa uoga omba outing akikuba
2. Jiandae kugharamia chochote atakachokula/kunywa
3. Hapo ndo sehem ya kujieleza kumuhitaji kua nae lkn SIO kutaka ngono
4. Mara nyingi sio lazima akubali hapohapo ila inawezekana akawa amekubali lkn usiwe na haraka wala papara siku itapita
5. Kuanzia hapo mbadilishe jina anza kumuita darling, honey, sweet lazima utaanza kupokea virungu na ww usiulize jibu ujue tayari kashakubali.
NOTE: ASIWE MWANAFUNZI
 
Hehehe sasa hapo hata hakukubalii haraka mana anaenjoy ule mtongozo hataree
 
Hela tu ndio yatongoza siku hizi hakuna ufund wa Grammy wala nini kma wtaka.kumpa mtu tuzo basi kamtafute aliyegundua PESA
 
Vitendo huongea zaidi ya maneno, ukitegemea maneno matupu utaangukia pua.
1. Ondoa uoga omba outing akikuba
2. Jiandae kugharamia chochote atakachokula/kunywa
3. Hapo ndo sehem ya kujieleza kumuhitaji kua nae lkn SIO kutaka ngono
4. Mara nyingi sio lazima akubali hapohapo ila inawezekana akawa amekubali lkn usiwe na haraka wala papara siku itapita
5. Kuanzia hapo mbadilishe jina anza kumuita darling, honey, sweet lazima utaanza kupokea virungu na ww usiulize jibu ujue tayari kashakubali.
NOTE: ASIWE MWANAFUNZI
Duu sasa wanafunz ndo wengi alafu wanajipenda wanapatkana kirahis wako cheap wapo koperative wanavutia hasa nikiona sket za marinda makubwa mi hoi naona jela kama disco teck hawana shida na ndoa hawajakomaa sana utakuta hajawah hata kunyoa sasa bla wao itakuwaje
 
Kwa vyote vyote its okey...
mkuu mimi niko na aina sita 6 za kutongoza 1.kama demu nikimpenda kwa kutulia nae weekend tu.kisha unatupa kule au una keep kama rizevu tayari anytime kwa call.2.ni demu just niko home na najisikia kupiga mzigo yaan shasha kwaheri.3 dem wa kumu appointment kwa siku mahalumu mf kutoka nae kwenda kwa washkaji baada ya hapo my be will be friends.4 ni yule wa kuowa yaani atatuwa wife to be na hii number bado kwangu binafsi bado sijaiona hii number 4.5 ni just uko baar umeisha piga mikonyagi yako sasa zimepanda na unataka kumwa mzigo ili uwe fiti next day.je wewe unapenda number ngapi ili nikupe mistari iliyonyooka just in time na kung'oa mzigo.nitakupa hata za kuchapa totoz za kizungu hipi number unapenda.kati ya hizi 6.

swissme
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Hahahahaha si ulimkubalia lakin akakufichaaa
 
Lara njoo huku level 8 najua hutakosa kutoa uzoefu. ...mistar mikali uliyowahi kusikia.

Kwenye ubuyu wako wa kizanziberi naona pesa tu ndio imeongoza kuvua pichu za mashost
 
haaa haaa kwan ulitaka akuambiaje? Mimi nakuchana live nimevutiwa na wewe na ninaomba compani yako kuspend na kushirikiana kwenye maisha n so on. ata ivyo siku iz kupitia story unajikuta ushamtongoza mtu
wewe unaremba sana...unatakiwa useme wazi naomba nikakutombbee
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu

Pole! Ila kwa ulivomfanya, am shua harudi tena!
 
Yani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
Du! Kwell uyo boya
 
mkuu mimi niko na aina sita 6 za kutongoza 1.kama demu nikimpenda kwa kutulia nae weekend tu.kisha unatupa kule au una keep kama rizevu tayari anytime kwa call.2.ni demu just niko home na najisikia kupiga mzigo yaan shasha kwaheri.3 dem wa kumu appointment kwa siku mahalumu mf kutoka nae kwenda kwa washkaji baada ya hapo my be will be friends.4 ni yule wa kuowa yaani atatuwa wife to be na hii number bado kwangu binafsi bado sijaiona hii number 4.5 ni just uko baar umeisha piga mikonyagi yako sasa zimepanda na unataka kumwa mzigo ili uwe fiti next day.je wewe unapenda number ngapi ili nikupe mistari iliyonyooka just in time na kung'oa mzigo.nitakupa hata za kuchapa totoz za kizungu hipi number unapenda.kati ya hizi 6.

swissme
Moja baada ya ingine we twanga tuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom