Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,142
- 739
haaa haaa kwan ulitaka akuambiaje? Mimi nakuchana live nimevutiwa na wewe na ninaomba compani yako kuspend na kushirikiana kwenye maisha n so on. ata ivyo siku iz kupitia story unajikuta ushamtongoza mtukuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake
Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu