Ukweli kuhusu kutongoza

Ukweli kuhusu kutongoza

KILA UNAPONIUMIZA HUWA NAJIHUKUMU MWENYEWE,
HII INAONESHA JINSI GANI NNAKUPENDA,

KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMUUMIZA MAMA'ANGU,
BASI NDIO ILIVYOKUWA VIGUMU ZAIDI KULIDONDOSHA CHOZI LA MPENZI WANGU.

SO NIKIMSALITI MPENZI WANGU NAONA NAFSI YANGU ITANISUTA KWA KILE KIAPO CHA MUDA MREEEFU NLICHOJIWEKEA KWAMBA
" KAMA IKITOKEA NIMEMPATA MPENZI BASI DAIMA NITAMPENDA, NITAMUHESHIMU, NITAMLINDA , NITAMJALI NA KUMTHAMINI PIA"..


siwezi kukuahidi kuwa milele sintokufanya ulie, ila kama ikitokea ivyo, basi NAKUAHIDI kukufanya utabasamu kabla hata machozi hayajakauka mashavuni mwako...

MWENZAKO NAJUA KUPENDA SIJUI KUACHA, HIVO NAOMBA UNIRUHUSU NIKUPENDE MPAKA KUFA KWANGU.... I LOVE YOU
ha ha kama hamna neno pesa.. hamna neno ntakununulia hik...

teh labda miujiza ya mungu akukubaliee...
 
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi zinazoponda wanaume wa siku hizi kuwa hawajui kutongoza. ..

Nikashangaa sana.... sasa kama wanaume hawajui kutongoza inakuwaje wanawapata wanawake.

challenge nnayoleta jamvini kama kweli kuna mafundi wa kutongoza wamewahi kuwatongoza ....embu weka humu hiyo mitongozo inayoweza shinda tuzo za Grammy ili vijana wa jifunze. ..

nitahitimisha kuwa mlikuwa mnazoza tu baadae.
 
Cha muhimu katika kutongoza ni kujitahidi kujua weakness ya huyo mwanamke mfano kipindi hicho ana shida gani,anapenda vitu gani basi unaingia kwa gea ya usamaria mwema,unaangalia kama msaada huo hauta ku cost pesa unamsaidia ila kama ni wa pesa una fanya timing ule mzigo kabla ya kutoa pesa kama ni nyingi ukisha kula mzigo unaingia mtini.Kama ni mwanamke mpenda pesa jitahidi ukwepe vibomu ila mtamanishe kidogo kisha muahidi pesa kubwa lazima atakuja tuu na utamla baada ya hapo mwambie utamtumia katika mpesa tigo pesa....
 
Nikufiche mahali tulivu penye privacy tule,tunywe tuongee.......
Hayo maneno atleast umwambie mtu mliezoeana au mtu ambae ameonesha dalili za kukupenda /kukutaka......sio mtu umemuona leo tena kwa ishu za kikazi unaanza na swaga za kiboya kumficha inatia kinyaa
 
Zamani nilikua najipa homework nikifika mahali naulizia demu gani mgumu haliwi hovyo hapo mtaani?naelekezwa,basi na hakikisha mpaka namla demu huyo kwa gharama almost zero
 
Me nasema kweli kabisa! Sina hakika km najua kutongoza mpaka sasa hivi..!! Ktk maisha yangu sijawahi kutongoza mwanamke ghafla,labda stend au popote tulipokutana maramoja. Wote niliotongoza na kuwaonja nilijikuta tu nawaonja kutokana na ukaribu. Lkn ukiniuliza nilivyowatongoza,sijui mpaka leo..! Ngoja nikamuulize leo mke wangu nilimtongozaje...!!!
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
Ungemuuliza kama kuna pozi lingine lililobaki ndo ungejua kama kamaliza hau la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom