Ukweli kuhusu kutongoza

Ukweli kuhusu kutongoza

Yani mitongozo ingine ni kujishushia heshima tu
Kuna boya mwingine nae nlimkuta kwenye ofisi moja eeh tumesalimiana ana Pete ya ndoa akasema anakuja kunihudumia kurudi kavua Pete kabaki na alama sijui Pete alivaa kabla ya uhuru..... Nilimuona bolizozo kweli mxyuuuu
Aiseeee hatari sana.... sasa aliyekupata alikupiga sound gani
 
kaa mkao wa kula nakumwagia mzigo

swissme
Fanya mambo mkuu.. utakuwa umesaidia wale member wote wenye midomo yenye zege..

ila mimi kwa upande wangu sijui kama najua ama sijui but kama nikimuhitaji msichana lazima nimpate. Huwa natumia mbinu moja hatari sana "unconventional technique" yaani mlengwa anakuwa anajiua mwenyewe maana huwa natumia maneno yake na kumjeuzia kibao mpaka anakuja kushtuka yupo ndani ya himaya na hana pa kutokea...😀
 
wewe tafuta pesa kusudi zikusaidie kutongoza kaka. hatusimame kwenye miti now days n bar, hotel. pesa ndo zinatongoza
 
kuna zoba moja lilishawahi kuniambia "nataka nikakufiche mahali"
Hapo ndio katongoza kamaliza ***** zake

Kuna tongozo zinachefua mxyuuuu
sasa kwanini usikubali ufichwe sehemu salama hahahahhahahaha ila alitisha nitajaribu hii nione response itakuwaje maana nimecheka sana aiseee
 
KILA UNAPONIUMIZA HUWA NAJIHUKUMU MWENYEWE,
HII INAONESHA JINSI GANI NNAKUPENDA,

KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMUUMIZA MAMA'ANGU,
BASI NDIO ILIVYOKUWA VIGUMU ZAIDI KULIDONDOSHA CHOZI LA MPENZI WANGU.

SO NIKIMSALITI MPENZI WANGU NAONA NAFSI YANGU ITANISUTA KWA KILE KIAPO CHA MUDA MREEEFU NLICHOJIWEKEA KWAMBA
" KAMA IKITOKEA NIMEMPATA MPENZI BASI DAIMA NITAMPENDA, NITAMUHESHIMU, NITAMLINDA , NITAMJALI NA KUMTHAMINI PIA"..


siwezi kukuahidi kuwa milele sintokufanya ulie, ila kama ikitokea ivyo, basi NAKUAHIDI kukufanya utabasamu kabla hata machozi hayajakauka mashavuni mwako...

MWENZAKO NAJUA KUPENDA SIJUI KUACHA, HIVO NAOMBA UNIRUHUSU NIKUPENDE MPAKA KUFA KWANGU.... I LOVE YOU
wa uswazi hupati walaii tena
 
ngoja niwaibie siri ya mtongozo wa kinyia we uongei unakamata unabeba ndani yeye kashajua na kazi imekwisha
 
sasa kwanini usikubali ufichwe sehemu salama hahahahhahahaha ila alitisha nitajaribu hii nione response itakuwaje maana nimecheka sana aiseee
Ha ha ha try it at your own risk, imekaa kishamba mnooo itakukosesha papuchi mchana kweupeee
 
Jamaa mmoja nilimsikia anamwambia binti "mzee Shaban si anamtom** mama yako, na mimi nataka nikutom** wewe".

Nikasema dah, this is more than straight forward
 
Mm mtongozo wangu wa kibabe...

Oyaa niaje? Mbona unaonekana kama hauko sawa hivi? Vp brotherman wako anazingua nn?? Achana na mabishoo watakupa vidonda vya tumbo, lete kwa muhuni nisimamie shoo kibabe upunguze hizo mambo za kuwaza kisolosolo mchuchu...

#nishamaliza
 
  • Thanks
Reactions: R.K
Mkuu ni kweli kabisa!
Hata wao wanajisemea mambo ya kutongozana ya nini?
Akikuelewa tu kesho anakuja anapika na kupakua na nguo zinaanza kuhamishwa mara kajifanya kusahau mtandio mara brazier na hatimaye mkoba then anamaliza na begi
NOTE: usipokua makini na washenga wanaandaa wenyewe na mahali wanajilipia!

Ndio maana yake...
Ni ile hali najiweka im the Gold here so she gotta dig and find me by herself and make me interested in her. Mimi nita play part ya care and affection (using money at tyms) and that i'm a man of ambition, goal oriented etc. na sibabaishwi na petty things.

You make it in such a way she has to win me by any means. Hata nikimpa hela ni sabab nimemjali kibinadam never in a way i want it in exchange for sex. Akijishobokesha tu unamtafuna whilst repeating the process over and over again. Utamla utamuacha mwenyewe.

Sasa wewe jikute unakesha ukimtumia text za I love you, sijui i can't stop thinking about you and the like. Utaishia kupiga nyeto.tu maghettoni.
 
Ndio maana yake...
Ni ile hali najiweka im the Gold here so she gotta dig and find me by herself and make me interested in her. Mimi nita play part ya care and affection (using money at tyms) and that i'm a man of ambition, goal oriented etc. na sibabaishwi na petty things.

You make it in such a way she has to win me by any means. Hata nikimpa hela ni sabab nimemjali kibinadam never in a way i want it in exchange for sex. Akijishobokesha tu unamtafuna whilst repeating the process over and over again. Utamla utamuacha mwenyewe.

Sasa wewe jikute unakesha ukimtumia text za I love you, sijui i can't stop thinking about you and the like. Utaishia kupiga nyeto.tu maghettoni.
Very true chief.
All yo have to do is to brand yourself, make yourself exeptional..! Show the difference kidogo tu.
They go crazy for just little things like appearance, even gestures tu. Huhitaji maneno mengi wataanza kutiririka wenyewe and your task will be just to choose what suits you.
No need of money as part of kutongoza no...!
Utoe tu kama ulivosema ki binadamu tu as u could help any other person lakini siyo ku invest upate sex things..!
Hawa wa siku hizi wenyewe hawataki kugandana they know they might get another project at any time "t" and they want freedom of entry and exit!
 
Nilitamani angekua pembeni nimpige Kofi kwenye upara wake kama sahani
1455688169788.jpg
 
Sijawahi tongoza, ila ngoja nijaribu ingawa sio kwa maneno maana sina maneno matamu
 
Ivi asaiv kwell mtongozano upo kwell mambo yote upenuni to
 
Kutongoza hata sio mistari mikali. ...maana wanamuziki nao huwa wanatunga nyimbo za kubembeleza lakini bado utakuta anamfuata demu na anakula za uso
 
Au bubu nae unamkuta kapindua meza anapiga kazi. ..utashangaa kaelewesha vipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom