Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

tafuteni kiwanja mjenge haifai kujenga upande wa mke wala upande wa mume.....
mimi hii mada sijaielewa ,inamaana kujenga ukweni kwenye kiwanja cha mke wako kwao ,au kwa baba mkwe wako ili waishi na familia yake au kusema mimi ni wa arusha ,then mume wangu anajenga nyumba pande hizo?
 
Nivea unipendae, namaanisha kujenga ukwenu wakati nyie binafsi mnaishi maisha mabovu kwenye nyumba ya kupanga. Tena hela yenyewe ni ya mkopo wa saccos
 
Last edited by a moderator:

nakumbuka mume wanguanasemaga tukajenge huko kwao na kwetu incase tuu wazee tupate pakufikia sio kwa wazazi,hii kitu niliipinga 100%na nikamwambia bora tununue kiwanja hapa mjini tujenge nyumba tupangishe kuliko kuweka nyumba ambayo haiingizi chochote .lakini all in all sipendi huo mchezo .kama hao wazazi hawakuweza kujenga baaasi tutakarabati zilizopo.nitasimamia hili hakuna kujenga huko ukweni either kwetu au kwao.zilizopo zinzosha kabisa
 
Nivea wangu, mi ndio maana nakupendaga sana kama Ngwasuma wanavyosema

oa mmachame kama hujajenga tena wanaleta familia nzima ukiishi naye

hahaahhahhahhaahahah! inahuuuuuu sasa?? kazi nafanya halafu wazazi wangu walalie mbavu za mbwa kisa nini??

lulerumwa eleri lwerumwa ishe oka samana foo yaa muriny.

cc Smile, Prisoner 64446
 
Last edited by a moderator:
Nivea wangu, mi ndio maana nakupendaga sana kama Ngwasuma wanavyosema
nakumbuka mume wanguanasemaga tukajenge huko kwao na kwetu incase tuu wazee tupate pakufikia sio kwa wazazi,hii kitu niliipinga 100%na nikamwambia bora tununue kiwanja hapa mjini tujenge nyumba tupangishe kuliko kuweka nyumba ambayo haiingizi chochote .lakini all in all sipendi huo mchezo .kama hao wazazi hawakuweza kujenga baaasi tutakarabati zilizopo.nitasimamia hili hakuna kujenga huko ukweni either kwetu au kwao.zilizopo zinzosha kabisa
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka mume wanguanasemaga tukajenge huko kwao na kwetu incase tuu wazee tupate pakufikia sio kwa wazazi,hii kitu niliipinga 100%na nikamwambia bora tununue kiwanja hapa mjini tujenge nyumba tupangishe kuliko kuweka nyumba ambayo haiingizi chochote .lakini all in all sipendi huo mchezo .kama hao wazazi hawakuweza kujenga baaasi tutakarabati zilizopo.nitasimamia hili hakuna kujenga huko ukweni either kwetu au kwao.zilizopo zinzosha kabisa
mmh! sijui mimi nikoje jamani, but ukweli ni kwamba ukweni kwangu mimi yaani kijijini alikoasilika mume wangu nimejenga and hii ilikuwa ni kitu cha kwanza kabisa, hii ilitokana na ukweli kwamba sipendi kufika ukweni nalala chumba ambacho nikitoka wifi anakuja kulala humo humo. kwa miaka kama miwili ama mi3 nilivumilia kulala kwenye nyumba ya baba na mama (wakwe) but tuliomba kihamba tukajenga ya kwetu kiasi kwamba siku tukienda kijijini basi tunalala kwetu kwa raha zetu.

kwa upande mwingine nyumban kwa wazazi wangu, baba yangu alijitahd kututolea kila mtu kichuba chake ambacho tukienda na wenzi wetu tunalala. so huwa naona kwetu pamejitosheleza sana as sio makazi ya milele ya mm na familia yangu but ukweni kwang ni maisha yangu ya milele.
 
Mzee mleta maada hii ya kuenga kwao na mwanamke, ni kwamba kuna manaume majinga hujapata kuona yaani ni wanaume kwa sababu tu yanavaa suruali lakini kichwani kumejaa kamasi tupu. We fikiria kama kweli una bongo iliyo tulia utaenda kujenga kwao mwanamke wakati kwenu hakuna kitu?, hata pa kulala tu shida. Lakini ndo hivyo kuna majaa mengi tu ya hovyo mno yanakurupuka bila hata haya yanajenga kwao mwanamke, majinga kweli yaani.
 
Back
Top Bottom