Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

Ukweli kuhusu kujenga ukweni.

kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara


best unachokisema ni kweli..kuna dada mmoja alijenga ukweni kwani mke alikuwa na uwezo kuliko mme ...Mipango ya ya mungu ilivyo Last year husband amefariki ..maskini dada wa watu baada ya msiba wa mmewe akaenda kwao kupumzika kidogo kurudi kakuta nyumba imebinafisishwa
 
Wakwe. Maana kama ni mahari ulishalipa siku nyingi. Sasa wataendelea kutanua kwenye jasho lako wakati binti yao anatunua na mwanaume mwingine. Huwezi kufanya lolote. Lakini ndio imetoka. [/QUOTE Mwanamalundi ni kujifariji tu kwa maneno, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE, majaribu ni mtaji
 
Last edited by a moderator:
unajisikiaje kwa kufanya hayo yote???
Umkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.
Haya mambo si rahisi rahisi aiseeee

Hata mimi nilikua siamini kama naweza kujenga ukweni lakini sijui walinilisha nini bwana nimewajengea na gari ya kubeba majani ya ngombe nimewanunulia. Unachezea Mpalestina wewe?
 
Wakwe. Maana kama ni mahari ulishalipa siku nyingi. Sasa wataendelea kutanua kwenye jasho lako wakati binti yao anatunua na mwanaume mwingine. Huwezi kufanya lolote. Lakini ndio imetoka.
Mwanamalundi ni kujifariji tu kwa maneno, BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE, majaribu ni mtaji
 
mbona ni pouwa tu, tena inapendeza ukjenga wakat mkiwa wachumba ili kudhihirisha mapenz ya kwel. hahahaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom