Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
hapo sasa ndio patamu
nazungumza kama hamna nyumba kama ukweni kwangu lipo bwangaloo sasa unajenga tena ya nini misuse ya resources ,kama unaweza lala kwenye nyumba za wageni sehemu yyte ni zaidi ya kulala kwenye nyumba ambayo ukitoka wifi analala huko.all in all umaskini wetu ndio unapelekea haya .shikamoo dada yangu gfsonwinmmh! sijui mimi nikoje jamani, but ukweli ni kwamba ukweni kwangu mimi yaani kijijini alikoasilika mume wangu nimejenga and hii ilikuwa ni kitu cha kwanza kabisa, hii ilitokana na ukweli kwamba sipendi kufika ukweni nalala chumba ambacho nikitoka wifi anakuja kulala humo humo. kwa miaka kama miwili ama mi3 nilivumilia kulala kwenye nyumba ya baba na mama (wakwe) but tuliomba kihamba tukajenga ya kwetu kiasi kwamba siku tukienda kijijini basi tunalala kwetu kwa raha zetu.
kwa upande mwingine nyumban kwa wazazi wangu, baba yangu alijitahd kututolea kila mtu kichuba chake ambacho tukienda na wenzi wetu tunalala. so huwa naona kwetu pamejitosheleza sana as sio makazi ya milele ya mm na familia yangu but ukweni kwang ni maisha yangu ya milele.
nazungumza kama hamna nyumba kama ukweni kwangu lipo bwangaloo sasa unajenga tena ya nini misuse ya resources ,kama unaweza lala kwenye nyumba za wageni sehemu yyte ni zaidi ya kulala kwenye nyumba ambayo ukitoka wifi analala huko.all in all umaskini wetu ndio unapelekea haya .shikamoo dada yangu gfsonwin
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
mmh! sijui mimi nikoje jamani, but ukweli ni kwamba ukweni kwangu mimi yaani kijijini alikoasilika mume wangu nimejenga and hii ilikuwa ni kitu cha kwanza kabisa, hii ilitokana na ukweli kwamba sipendi kufika ukweni nalala chumba ambacho nikitoka wifi anakuja kulala humo humo. kwa miaka kama miwili ama mi3 nilivumilia kulala kwenye nyumba ya baba na mama (wakwe) but tuliomba kihamba tukajenga ya kwetu kiasi kwamba siku tukienda kijijini basi tunalala kwetu kwa raha zetu.
kwa upande mwingine nyumban kwa wazazi wangu, baba yangu alijitahd kututolea kila mtu kichuba chake ambacho tukienda na wenzi wetu tunalala. so huwa naona kwetu pamejitosheleza sana as sio makazi ya milele ya mm na familia yangu but ukweni kwang ni maisha yangu ya milele.
kwani tunasemea kujenga nyumba ya kwenu ama ya nani??hapo ticha ulijenmga ukweni only bcoz upate pa kufikia bt c kuwajengea wazazi dats y huoni sababu kuwajengea wazazi wako coz unapo pa kufikia
kumbuka kujenga kwa wakwe ni sawa na kujenga kwenye hifadhi ya barabara
Kutafuta ujiko tu, mjini huna hata kiwanja, baba yako anaishi pangoni wewe unakopa hela saccos ukajenge ukweniinategemea madhumuni ya kujenga ni yapi.......
BONGOLALA mademu wa kichagga na kimakonde wepi noma?
Nasikia ukioa Mmakonde, ukaenda Mtwara kikazi, basi imekula kwako, kurudi kwenu ni sawa na embe lililoanguka ulirudishe mtini.
Tuseme umeshajenga mjini unakoishi na mkeo. Ukijenga kijijini kwenu nyumba ya kufikia mkienda home, wewe mwanaume; mwanamke naye akadai kwamba ujenge na kwa wazazi wake utamjibuje?
Umkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.Umenikumbusha kuna jamaa angu ni mfanyabiashara alioa Mtwara alikuwa anamiliki maduka 3 akaoa mmakonde mtaa wa pili mbona kafilisika sasa hivi anauza sigara na karanga mtaani hao sio mkuu Bujibuji
Bado sijawapata vizuri, mfano umeoa Mwanza wewe kwenu Dodoma. Ukajenga Nyumba yako Mwanza, sio kuwajengea wakwe zako. huu ndio mjadala wa Bujibuji au ni vipi. Kuna kosa gani hapa? Kama ni kuwajengea wazazi wenu wote ni kosa? au ulikuwa unamaanisha kuishi nyumba ya wakwe zako? Yaani nisijenge DSM kwasababu nimeoa DSM? EEh Sijaelewa ?
k
Umkondo wa Swize kabla ya kuoa unatakiwa umtangulize Mungu, wanawake wengine wana mikosi, na wengine wana pepo la ufukara.
Haya mambo si rahisi rahisi aiseeee
kwani tunasemea kujenga nyumba ya kwenu ama ya nani??
binafsi nimechukuli kama kujenga nyumba yangu na mume wangu. but rejea post yangu ya kwanza kwenye huu uzi, wazazi wangu hawawez kulalia mbavu za mbwa na mm nikiwa na uwezo. kama hawana nyumba bora nitajenga tena kwa kiwango kizuri sana.
sitajenga nyumba ukweni kama kuna nyumba na inatosha kuwaweka watu, ila kama haitoshi nina sababu ya kujenga nyumba.
Mbaya zaidi utakuta baada ya kufilisika mke anamdharau na anamegwa hovyo tu, wanawake hawa mbona watatuuua?Nikimwangalia jamaa angu naishia kulia tu maduka matatu ya Hardware huko Lindi ni milionea huyu sasa mke kamfilisi dah