BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Lodge zimewekwa za kazi gani? Kama hakuna sehemu ya kufikia, tutafikia hotel... Hela yenyewe iko wapi ya kujanga nyumba porini kisa kufikia..hiyo pesa si bora uweke kitega uchumi kikuzarishie maana kuna leo na kesho huwezi jua itakuaje?
Mambo ya kujenga ukweni sijui nyumbani ni jukumu la wazazi.. Watoto ni kusaidia tu ikiwezekana lakini sio lazima
umenena mkuu... Asnam aje asome hii....
Tena unakuta kijijini kwenyewe kwenda mara moja baada ya miaka mitatu.....ni kupoteza nguvu bure na matumizi mabaya ya fedha
Last edited by a moderator: