Unajua mkuu
Bujibuji, kodi ya mwaka hapa mjini unajenga nyumba ya kueleweka huko tunakotoka.
Binafsi kama naweza kupanga mjini na wazazi wangu hawaishi sehem nzuri siwezi kabisa kuwa comfortable hata kama naishi Oysterbay/Masaki.
Mwita Maranya anachotaka ni amani na furaha kwenye ndoa yake, unadhani
mwaJ akiwa na furaha ya kuona wazazi wake wanaishi kwenye nyumba nzuri hajisikii vizuri? na hilo haliongezi uimara na upendo kwenye ndoa?
Kuna baraka zake unapowakumbuka wazazi kwa kuwapatia sehem nzuri ya kuishi hasa kama uwezo unaruhusu,
usiseme kujenga kwa wakwe ni kama kujenga kwenye hifadhi ya barabara mkuu.