Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Eve hii ya kuoga mchana bwawani au mtoni kuna habari zake nyingi tu na nimepata kuona watu waliokuwa wendawazimu kutokana na hili! Ukweli ni upi? Nimeanza kutafiti
Kwamba kuna ukweli, kuoga ziwani/bwawani mchana haifai???
Kwanini? Hebu nifahamishe make napendaga kwenda huko kuoga mchana
 
Kwamba kuna ukweli, kuoga ziwani/bwawani mchana haifai???
Kwanini? Hebu nifahamishe make napendaga kwenda huko kuoga mchana
Niliwahi kukutana na kisa kimoja kule Muheza kijiji cha Mlingoti kuna mto ulikuwa unapita hapo kijjini yani pale watu walikuwa hawaendi oga Ijumaa mchana au hata kuchota maji
Jamaa mmoja alileta ujuaji akaenda oga hapo nilimkuta ni chizi na kila Ijumaa mchana alikuwa anaenda kukaa kwenye jiwe moja hapo mtoni
Kwamba kuna ukweli, kuoga ziwani/bwawani mchana haifai???
Kwanini? Hebu nifahamishe make napendaga kwenda huko kuoga mchana
 
nilishawahi sikia hiyo stor
 
hiyo picha ya mwisho ni west africa huko ...hao ni mbwa kama sio nyani ...
 
mshana jr nii inbox nashindwa kiongozi
 
Mshana eti kuna na vile vijitu vifupi pia nimesahau tulikua tunawaitaje eti usiku tu ndio vipo vikiwa mbali huvioni vikiwa karibu vinakuja kuuliza umeniona ukisema hapana nasikia unakula mbata za kutosha hivi ni kweli jamani kuna vipimbi vile vya usiku?
 
Hahhahahaaaa nyingine unajua ni story tu kiuhalisia mbilikimo mbali gizani huwezi kumuona mpaka akukaribie kabisa sasa akikuuliza kama umemuona toka mbali japo ni kweli hujamuona lakini mfariji tu kuwa umemuona ili kuepusha mengine! Watu warefu kwenda chini ni wakorofi by nature
 
Ahahahahaha sawa
 
Nakumbuka utoton tuliambiwa ukiona mwenzako kavutwa na chunusi jikate sehem ya mwili na dam idondoshee kwenye maji
 
Hizi rip current hata huku ziwa victoria zpo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…