Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Ukweli kuhusu kile kinachoitwa Chunusi

Kilasiku najifunza kitu kipya. Leo nimejifunza. RIP CURRENT. Ndo maana tukienda beach tunaambiwa usioge pale kuna mkondo. Shukrani ziende kwa Mzee wa msata mshana junior kwa somo zuri
 
Nakumbuka tukio moja dogo alienda kuoogelea na wenzake mtoni.....akazama!!watu walitafuta siku nzima hawakumpata wenyej wakaja na kufanya tambiko baada ya muda dogo akaibuka amefariikii.....
Sitakaa nisahau
Wenyej wakatuambia ule MTO unamilikiwa na watu Kama wanne kila MTU na kipande chake.....
Kuna anefuga mamba humoo aliitwa
akasema yy kafunga mamba wake hawajamla dogo.....akaitwa mwingiine anaemilik kipande kiref ndo akaja kumtoa tena n mzee.....
Wenyeji pia walituambia ule MTO huua unaua wagen tu....
 
aiseee huo mto upo wapi?
 
mimi na wenzangu tulishawahi kushuhudia wala sio kuhadithiwa.
tukiwa tunaogelea pembezoni mwa maji mbali kidogo na upeo wetu lilifunga wingu kubwa la mvua na ikaanza kunyesha tukaogopa tukaanza kukimbia ufukweni tulipotazama kule tuliskia minyororo ikilia na maji ya eneo lile yakitandikwa na kitu kikubwa hadi kuleta wimbi eneo tulilosimama.sababu ya ile mvua hatukuona kitu kilichochukuliwa pale lakini tulipohadithia nyumbani kila mmoja alipewa kifinyo kwa wakati wake na kuzuiliwa kwenda kuogelea tena.
kwa maelezo wazee walisema kwamba mungu huwa anachukua lijoka likishafikia ukubwa fulani ili lisilete balaa
 
Na tangu wakati huo mpaka sasa unaamini kuwa Mungu kweli huwa anachukua lijoka...
 
sidhani kama mimi kwa umri wangu wa sasa utaniambia hivyo nikaamini.wazee waliongea ila sikuwahi kufatilia kwamba ni ni kitu hufanyika katika mazingira yale ya kutisha.ingawa kuna baadh ya watanzania hata ukiwaambia kuna nyoka anaongea wataamini maana wanapenda imposible be posible.anyway kama unafaham wa kitu nilichoelezea unaweza kutufahamisha
 
mimi na wenzangu tulishawahi kushuhudia wala sio kuhadithiwa.
tukiwa tunaogelea pembezoni mwa maji mbali kidogo na upeo wetu lilifunga wingu kubwa la mvua na ikaanza kunyesha tukaogopa tukaanza kukimbia ufukweni tulipotazama kule tuliskia minyororo ikilia na maji ya eneo lile yakitandikwa na kitu kikubwa hadi kuleta wimbi eneo tulilosimama.sababu ya ile mvua hatukuona kitu kilichochukuliwa pale lakini tulipohadithia nyumbani kila mmoja alipewa kifinyo kwa wakati wake na kuzuiliwa kwenda kuogelea tena.
kwa maelezo wazee walisema kwamba mungu huwa anachukua lijoka likishafikia ukubwa fulani ili lisilete balaa
inaitwa torado kama sijakosea
 
nakumbukA wakati nipo dogo cku ya kwenda beach tulikuwa tunaambiwa kuwa mwenzetu akivutwa na chunusi tujikate na damu tuidondoshe kwenye maji
 
Ni imani tuu mtajikata damu kiasi gani? na huo uthubutu je,?
 
Waafrica sie upumbavv na ushirikina vimetufanya kuwa wazito kufikiri, yani hata ukijikwaa unahisi kulogwa logwa....
Hizi habari za chunusi tunaambiwa, eti kuogelea mchana ni mida hatari chunusi ndo wanakuwepo around
 
Eve hii ya kuoga mchana bwawani au mtoni kuna habari zake nyingi tu na nimepata kuona watu waliokuwa wendawazimu kutokana na hili! Ukweli ni upi? Nimeanza kutafiti
 
Back
Top Bottom