Ukweli kuhusu "Kibamia'

Ukweli kuhusu "Kibamia'

Kuna Ex wangu nilikua namtafakari nivute aje tusaidiane maisha,
Kwenye mazungumzo ya simu nikaona nimwambie mapema udhaifu wangu unao nitoa stress muda wote ni uchi tu.

Swala la sex ni kama chakula, lakini yeye mawazo yake yakawa hatuwezi kufanya kila siku je kama mimi sijisikii kufanya siku hiyo, akaniambia kufanya sana ni dhambi 😂😂😂😁
Aisee mikakati ya kuishi nae ilifia hapo, saivi anapiga simu sipokei.
Nadhani aliona mbele na kuwaza maisha halisi wakati wewe ukiwaza hisia halisi.

Hata mpendane kiasi gani ndugu, sex haiwezi kuwa kama chakula. Kuna siku utakosa hata muda wa kuiwaza na akikuomba utatamani ushikwe hata na homa ya ghafla kwa muda ili asiendelee kukuomba.
 
Hahahaa , umejitahid kuwadefend ila kibamia kitabak kuwa ibamia 😆uzur wao weng kinachowabeba ni hela 😆 ila life is not fair😆 unafananish kifo na ucngz kibamia na tango wee
Bamia yenyewe inaanzia sentimita ngapi kwa mfano? Na hicho kipimo iwe imelala au imesimama? Watu mnadanganyana sana!
 
Nimeanza kuzeeka. Sikuwahi kujua kama kuna uke wa mwanaume. Dunia inaenda kasi sana.

Ni sawa na wale wanaosema binti wa kike kana kwamba kuna binti wa kiume.
hayo maneno huwa niyakukazia kazia tu mkuu.

Mfano mtu amwite mpenz wake MY WANGU

na pia kusema UKE WA MWANAMKE hapo utatambua mwandishi anamaanisha uke wa binadam jinsi ya kike na sio wa mnyama.
 
Habari zenu!
Kuna hofu inazidi kutanda dhidi ya wanaume wengi kuhofia maumbile yao ya uume.

UKWELI NI KWAMBA..
Maumbile ya uume yapo sawa ondoa hiyo hofu.

Yapo sawa kivipi...?
  • maumbile ya mwenza wako. mrefu,mfupi au mnene.
  • unavo mtreat au sex style zako.

Mf.
mwanaume ni mfupi, akisex na mwanamke mrefu au mnene.
hapa maungo ya mwanamke ni makubwa kidogo na uume wa mwanaume mfupi ukiwa mfupi, atapelea tu.
ataitwa kibamia na atajiona ana kasoro kumbe kasex na over size.

TIBA YAKE NINI?
Tafuta mwanamke wa maumbile mtayo endana asikuzdi sana mwili ama tumia style zitako wahi kumfkisha kileleni.
Pia kuna G-Spot, nadhan ipo nch 2 kutoka nje ya uke wa mwanamke, hata kama una uume mfup kiasi gan utaifkia G-Spot na utapiga mbususu zote.
Jifunze kumkuna hapo, atakuita dadiiiiiiiiiii....

Wanaume walefu wao najua hawana chaguo japokuwa akisex na mwanamke mfupi, huwa uume unagusa hadi kizazi, endapo mwanaume akiingiza yote kwa fujo.
Inaweza kuvuruga kizazi cha mwanamke na asizae tena.

Yote tisa.. Sex ni maandalz
Kuna mtu kakueleza hivyo au unazingua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom