Granter
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 483
- 361
Wanasayansi kuna kitu wanaita MULTIPLE ORGASMS, kwa wanawake,
Hii ni hali ambapo mwanamke anaweza kufika kileleni Zaid ya Mara moja mfululizo ndani ya muda mfupi! Tafiti zinaonesha wanawake hawahitaji REFRACTORY period, to the next Orgasm,
Ila Hali huwa haiko hivyo zaidi kwa Dada zetu hawa,
Akikojoa Mara moja, ndiyo basi tena
Tatizo ni nini?
=====
Hii ni hali ambapo mwanamke anaweza kufika kileleni Zaid ya Mara moja mfululizo ndani ya muda mfupi! Tafiti zinaonesha wanawake hawahitaji REFRACTORY period, to the next Orgasm,
Ila Hali huwa haiko hivyo zaidi kwa Dada zetu hawa,
Akikojoa Mara moja, ndiyo basi tena
Tatizo ni nini?
=====
-------------Mkuu sio kweli kua wanawake bongo wakikojoa mara moja ndo basi, maumbile ni yale yale dunia nzima. inawezekana kabisa wewe huwa humuandalii mazingira ya kumpa multiple orgasms. Jaribu njia hii hapa chini kama unapata shida kuwapa wadada multiple orgasms.
*unaweza kuanza kwa kumpa clitoral orgasm, hii ni rahisi kabisa. Unachotakiwa kufanya ni kustimulate kisimi chake, kwa kusugua kwa kidole na kwa uhakika zaidi kwa kutumia ulimi. Ukifanya kwa uhakika atapata orgasm ya kwanza, na ukiendelea anaweza kupata nyingine zaidi na zaidi.
*orgasm nyingine unaweza kumpa kwa kustimulate g spot yake(kama unajua ilipo) kwa kidole tu. Hiyo ni sehemu sensitive sana na ukistimulate kwa uhakika lazima ata-come tu.
*baada ya hapo unaweza kumpa blended orgasm. Hii unastimulate kisimi chake (preferably kwa ulimi) huku unastimulate g spot. Hapo lazima ata-come tena. Mkuu unahesabu lakini?
*nyingine sasa unaweza kumpa kwa dushe. Ukiwa na sexual stamina ya kutosha na ukijua wapi pa kugusa lazima utampa orgasms nyingine kadri utakavyo. Hapo utakua umempa orgasms za kutosha, na usishangae akapata hata squirting orgasm katika hatua hizo.
NB: it works kwa wote, hakikisha tu unakua romantic katika mambo yako
-------------Mkuu kwa lugha rahisi kabisa orgasm ni ile hali ya mwanaume au mwanamke kufika "kileleni" wakati wa sexual activity.
Baada ya mtu kufika orgasm ndo unafuata ule mda unaoitwa "refractory period", ambapo kwa wanaume ni ule mda baada ya kukojoa ambapo dushe linalala na hisia kushuka kwa mda flani kabla ya kuingia round nyingine au kabla ya kuanza kutafuta bao la pili n.k.
Huu mda, yaani refractory period, unatofautiana baina ya wanaume na wanaume. Wanaume wenye refractory period kubwa ni wale ambao baada ya kukojoa huchukua mda mrefu sana kupata hisia nyingine na kusimamisha dushe tayari kwa round nyingine, wakati wengine huchkua mda mfupi tu. Utofauti huu hasahasa unasababishwa na hormone inayoitwa oxytocin, lakini pia prolactin hormone inahusika pia.
Kwa wanawake ipo complicated kidogo. Nasema ipo complicated kwa sababu wanawake wana uwezo wa kutopitia hii refractory period, na ndio maana wana uwezo wa kuexperience "multiple orgasms", yaani orgasm baada ya orgasm bila kupitia ule mda wa hisia kukata kama wanaume.
Ila wapo pia wanawake ambao baada ya kupata orgasm au kufika kileleni au kukojoa kama watanzania tunavyopenda kusema, huweza kupitia hii refractory period. Hii ni pale ambapo mwanamke anakua ameshuka toka kileleni na hisia kushuka, ambapo hata akiwa stimulated anaeza asiwe excited au asisikie raha, mpaka baada ya dakika kadhaa. Bila shaka unaweza kua umekutana na mwanamke ambae akishafika kileleni au "kukojoa" hisia hushuka na anabaki kukusindikiza tu mwanaume na wewe ukojoe kisha mpumzike kidogo kabla ya kuanza tena. Hapo ndo unaweza kukutana na maneno kama "baby mi nshakojoa na wewe kojoa", ndo maana nkatangulia kusema kwa wenzetu wanawake ipo complicated kidogo.
Ila nijuavyo wanawake walio wengi wana uwezo wa kuexperience "multiple orgasm" bila kupitia hiyo refractory period.
Mkuu bila shaka utakua umepata picha kidogo kuhusu maana ya "orgasm".
---------------Kutokana na maelezo nimepata vitu hivi,
1./awe naimani yeye mwenyewe kwamba Anaweza kucum more than Once,
2./yeye Mwenyewe pia ajitengenezee mazingira yamwili wake, (ajipose) katika hali yakutaka kucum again, Asimalize then akastop acts/emotions
3./Ampe mume Hali ya kumfanya alewe kuwa Amecum tayari lakin anataka Tena na Tena
4./Mume awe na Stamina&Ujuzi wakutosha.
Naomba nitoe majibu mapesi katika mada ngumu.
Mwanamke anauwezo wa kufika vilele zaidi ya kumi kwa tendo moja.Kiasili mwanamke ni kiumbe imara sana Katika ulimwengu wa mapenzi huku mwanaume akiwa ni kiumbe dhaifu sana.
Hata kimwili mwanaume ni imara kutoka usawa wa kiono kuja juu huku mwanamke akiwa ni imara zaidi kutoka usawa naa kiuno kwenda chini.
Kimsingi mwanamke anatakiwa awe hivyo kutokana na mambo ambayo anayapitia katika maisha yake.
Naomba nijikite kwenye mada tu mana kama kuongea yapo mengi tu kuongea.
Hisia za mwanamke zinakuja mara baada ya mwanamke kushikwa shikwa,wakati hisia za mwanaume huja kama juna joto na msuguano.
Huo ndo utofauti wa kihisia kati ya mwanaume na mwanamke.
Mwanamke huwa na milango mitatu.milango iyo kazima iweze kufunguliwa kwa mpangilio kwa ikitokea mpangilio huo umekosewa basi ni wazi ya kwamba milango hiyo haitafunguka.
Kiutaratibu mlango wa kwanza ndo unatakiwa uanze kufunguliwa,ukifuatiwa na mlango wa pili kisha mlango wa tatu.
Mlango wa kwanza ni rahisi kuufungua kwa sababu upo nje ya mwili lakini mlango wa pili na watatu ni migumu kidogo kwa sabab ipo ndani ya mwili.
Milango hiyo ya mwanamke ni :-
1.KINEMBE
2.UKE
3.SHINGO/CERVIX
1.KINEMBE.
kinembe ni sehemu ya nje ya uke wa mwanamke kinembe huundwa na mashavu,kichwa cha kinembe,shafti na govi.
(a) mashavu.
Sehemu ya nje ya uke imeundwa na mashavu ya aina mbili.mashavu mapana na mashavu membamba.
mashavu mapana ndo yale ambayo pembeni yake huota nywele(mavuzi) na mashavu membamba ni yale ambayo huungana na tundu la mkojo na tundu la uke la mwanamke.
Mashavu hayo yote mawili ni chanzo kikubwa sana cha hisia kwa mwanamke.
(b)Govi.
Kama ilivyo kwa mwanaume,mwanamke pia hua na govi.kwa mwanaume govi huwa ni ngozi ambayo hufunika kichwa cha uume.ngozi hii pia wapo wanaoikata kwa kitendo kiitwacho tohara.
Kwa mwanamke govi huwa ni ngozi ambayo hufunika kicha cha kinembe.
Ngozi hii ikishikwa vizuri na kurudishwa nyuma ndipo kichwa cha kinembe huweza kuonekana vizuri au kikubwa zaidi.
(c) kichwa cha kinembe.
Hiki hua ni kitu chenye umbo kama la harage ambacho hupatikana sehenu ya juu kabisa ambapo mashavu membamba huanzia.
Kichwa cha kinembe ndo huwa sehemu ya kinembe ambayo inaweza kumpa mwanamke msisimko zaid kuliko sehemu nyingine za kinembe.
Kichwa hiki huwa ni kidogo sana lakini husimama na kuwa kikubwa kadri kinavyochezewa.
(d)shafti.
Shafti huwa ni mfupa flani ambao huanzia sehemu ya juu ya mapaja na kuja hadi chini kidogo ya kichwa cha kinembe.mfupa huu huoatikana kama utakandamiza kidole chako juu ya kichwa cha kinembe na huwa na tabia ya kuteleza.
Mfupa huu nao humpa mwanamke hisia sana kama utafanikiwa kushikwa.
Sasa mjumuisho wa vitu hivyo vyote ndo huitwa kinembe,na kinembe ndo mlango wa kwanza wa mwanamke katila ulimwengu wa mapenzi.
Kinembe ndo kiungo pekee cha mwanamke ambacho kina kazi moja tu ambayo ni kumpa mwanamke starehe wakati anafanya tendo la ndoa na kimewekwa nje ili iwe rahisi kufikiwa na kuchezewa kwani kwa kuchezewa vizuri kinembe ndipo mlango wa pili huweza kufunguka.
2.UKE
Uke ndo mlango wa pili wa mwanamke katika ulimwengu wa mapenzi.
Uke umeundwa na vitu vikuu vitatu:-
(1) MLANGO WA UKE.
(2) MFEREJI WA UKE.
(3) KUTA ZA UKE.
1.MLANGO WA UKE.
Mlango wa uke ndo sehemu ambayo kichwa cha uume huanza kuingia pindi mwanaume na mwanaume wafanyapo mapenzi.
Ifahamike ya kuwa mlango au tundu la uke sio sawa na tundu la mkojo.
Kimsingi tundu/mlango wa uke huwa chini kabisa karibu na sehemu ambayo haja kubwa hutokea ilahali mlango wa mkojo huwa juu kidogo ya tundu la uke ila chini kidogo ya kichwa cha kinembe.
Hivyo basi naweza sema ya kuwa mlango wa mkojp hupatikana katikati ya mlango wa uke na kichwa cha kinembe.
Kazi kuu ya mlango wa uke ni kuruhusu au kuzuia uume kuingia ukeni au hata vidole au kitu chochote ambacho kinataka kuingia huko.
2.MFEREJI WA UKE.
mfereji wa uke ni sehemu ya uke ambao sehemu kubwa ya uume huingia.mferejo huu huanzia nyuma ya mlango wa uke na kuishia kwenye Shingo la tumbo la uzazi/cervix.
Kazi kuu ya mfereji wa uke ni kuhifadhi uume muda wote tendo la ndoa linapofanyika au kupitisha mtoto wakati wa kujifungua.
3.KUTA ZA UKE.
uke umeundwa na kuta mbili ambazo ni kuta za juu na kuta za chini.
Kuta hizi hupatikana juu na chini ya mfereji wa uke.
Sasa kutoka kwenye mlango wa uke,inch 2-4 hupatikana sehemu ya ukuta wa juu ambayo huwa ndo chanzo kikuu cha hisia kwa mwanamke wakati wa kujamiiana.sehemu hii ya kuta ya juu inaweza kugawanywa mara mbili na kupata sehemu mbili tofauti ambazo ndo huweza kumpa mwanamke hisia sana kuliko sehemu zote za mwili wake.
Sehemu hizo mbili ni G SPOT NA DEEP SPOT.
Narudia tena,G SPOT NA DEEP SPOT. ndo sehemu ya uke wa mwanamke ambazo huweza kumpa hisia kali sana kuliko sehemu yoyote ile.
G SPOT ndio hutangualia ilifuatiwa na DEEP SPOT.
Kimsingi G SPOT hupatikana nchi 1-2,juu kabisa ya ukuta wa uke kutoka kwenye mlango wa uke.
DEEP SPOT hupatikana nchi 3-4,juu kabisa ya ukuta wa uke,kutoka kwenye mlango wa uke.
Licha ya kuwa sehemu hizi mbili ndo huwa chanzo kikuu cha hisia kwa mwanamke,sehemu hizi mbili huwa haziwezi kufikiwa na uume kwa urahisi hata kidogo kwani hukaa nyuzi 90 kutoka katika usawa wa ukuta wa uke,jambo ambalo huzuia uume kuifikia sehemu hiyo kwani ili kuweza kuifikia sehemu hiyo,uume utatakiwa ujikunje nyuzi 90 jambo ambalo haliwezekani kamwe.
Sasa sehemu hii huweza kuvimba mara baada ya kuchezewa na kidole,tena kidole kinatakiwa kiingie ukeni kikiwa kimejikunja kama unamwita mtu vile na kidole.
Vivyo hivyo baada ya kidole kuingia,unatakiwa kuingiza pingili mbili za mwanzo tu za kidole cha kati na namna ya kuichezea sehemu hiyo ni kuvichezesha vidole kama unamwita mtu tena ukitumia nguvu kubwa sana kwani bila kutumia nguvu sehemu hiyo.haitasisimka kamwe.
Mara baada ya mwanaume kufanikiwa kuichezea sehemu hiyo kwa muda basi,sehemu hiyo huvimba na kuweka nyuzi 180 jambo ambalo hufanya sasa uume uweze kuifikia sehemu hiyo.
Maelezo ya ziada kuhusu mada hii yatapatikana katika ukurasa wangu.
Siku njema