johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,617
Lazima mrudie ya kubrashi viatu na kurost mbuzi katoliki.....ahh natania tu!U Rais sio Deal.
Relaaaxxxx
View attachment 450896
Lazima mrudie ya kubrashi viatu na kurost mbuzi katoliki.....ahh natania tu!U Rais sio Deal.
Relaaaxxxx
View attachment 450896
mfano..Sina chuki yoyote na watanzania wenzangu,nashangaa tu kwa nini kila likitokea jipu,lazima watatoa contender!
Why??
teh..watu hao hao ndio wanaitwa wezi na mafisadi, wanafanya umafia kupora serikali kupeleka kwao, wakwepa kodi..halafu ndio wanao brash viatu, how ironicSasa viatu hapa mjini atatubrashia nani?
Mkiwachokoza lazima wawape ukweli wenu. Northerners wanamtegemea Mungu na hakika atazidi kuwainua.huu upumbavu upo hapa Jamiiforums tu, ila moderator wamekaa kimya, sijui ndio uhuru wa kusema?
mada ya kikabila hii, ku class watanzania kulingana na makabila ndio root ya chuki na ubaguzi wa kikabilaMbona mna mihemko ya ajabu ? Kitu gani mnataka mods wafanye ? Huu uzi una tatizo gani ?
Pale Billicanas shoe shiners walikuwa na vyeo vyao kabisa....chezea machame wewe!Kule utampata tajiri namba moja mzawa na masikini namba moja mzawa.teh..watu hao hao ndio wanaitwa wezi na mafisadi, wanafanya umafia kupora serikali kupeleka kwao, wakwepa kodi..halafu ndio wanao brash viatu, how ironic
kuvaa ngozi na kulala na ng'ombe nyumba moja ni utamaduni......HAWA WATU WA KASKAZ NI WAJIVUNI TU MAENDELEO WALIYOPATA SIO YA KUJIVUNIA SANA KWANI BADO KUNA KUNDI KUBWA LA WASIOSOMA NA MASIKINI WALIONDELEA NI WACHACHE YAPO MAKABILA WATU WANA PESA LAKINI KIMYA KAMA WAPEMBA NA WAKINGA.HUKO HUKO KASKAZ NDO KUNA WATU WANAVAA NGOZI NA WANALALA NYUMBA MOJA NA NGOMBE
Mkuu sisi nakubaliana na ww kwa namna moja au Nyingine ila kuna vitu havikuwa ndan Ya uwezo wetu ndo mana tupo paleMkuu leo hii ujue kwamba:
Hakuna mkoa uliopaswa kuendelea sana hapa Tanzania kama Tabora. Na sababu ni hizi zifuaeazo:-
1) The Nyamwezi / wanyamwezi ni kabila la kwanza kufanya biashara Tanzania bara kama ilivyo Wakamba kwa Kenya. Mliwatangulia kabisa wachaga ktk trade activities ila leo ni zerooo.
2) Utawala mzuri wa machief wenu kuanzia Mirambo-> Fundikira
3) Uwepo wa Tabora Boys na Tabora Girls kwenu.
Ila mkalalaa....leo mnalalamikia UKASKAZINI.
Inategemea na elimu waliyonayo sio ukute mtu kasoma veta umpeleke t.r.a naita miujiza
Hata hivyo TRA au BOT kuna mgodi wa TANZANITE au AlMASI ndio watu wapaonee gere hivi? Mbona hawasemi Madaktari na Profesa Wachaga wamejazana Muhimbili?Inategemea na elimu waliyonayo sio ukute mtu kasoma veta umpeleke t.r.a naita miujiza
walikuwa hawana ubinfsi.. walipeleka maendeleo kwa usawa bila kujali kwao.. sio kama msuya aliyepeleka umeme milimani hata bila watu, sio kama mramba aliyelazimisha kujenga barabara ya tarakea rombo huku mikoa mingine haijaunganishwa na rami..Una matatizo si bure
Kawawa alikuwa wapi asipeleke maendeleo?
Je Pinda alikuwa wapi?
Waliosema Rais hatoki kaskazini walikuwa wanaeneza biashara ya diamonds sio ?mada ya kikabila hii, ku class watanzania kulingana na makabila ndio root ya chuki na ubaguzi wa kikabila
Tutajie tupitishe mchango hapa sasa hivi hata ya vyumba viwili taja acha wivu wa kijingaHAWA WATU WA KASKAZ NI WAJIVUNI TU MAENDELEO WALIYOPATA SIO YA KUJIVUNIA SANA KWANI BADO KUNA KUNDI KUBWA LA WASIOSOMA NA MASIKINI WALIONDELEA NI WACHACHE YAPO MAKABILA WATU WANA PESA LAKINI KIMYA KAMA WAPEMBA NA WAKINGA.HUKO HUKO KASKAZ NDO KUNA WATU WANAVAA NGOZI NA WANALALA NYUMBA MOJA NA NGOMBE
walitangulia kwenda shule mkuu lazima wawepo!Kila jipu likitumbuliwa lazima ukute wakaskazini japo mmoja.Hawa watu hatari sana,halafu kwa kujiona wao bora aisee
Wakati wakifanya hayo mlikuwa wapi?walikuwa hawana ubinfsi.. walipeleka maendeleo kwa usawa bila kujali kwao.. sio kama msuya aliyepeleka umeme milimani hata bila watu, sio kama mramba aliyelazimisha kujenga barabara ya tarakea rombo huku mikoa mingine haijaunganishwa na rami..
Maneno ya mkosaji hayo usiogope ila huu uzi unanivunza kitu watu taraatibu watabadilika mwakani tutashuhudia wengi wakifanya kazi kwa bidii na kuboresha kwani nyumbani ni nyumbani.teh..watu hao hao ndio wanaitwa wezi na mafisadi, wanafanya umafia kupora serikali kupeleka kwao, wakwepa kodi..halafu ndio wanao brash viatu, how ironic
Hivi kwani wanabrashi viatu buree.....au unataka wakawe ombaomba kama hao wa kanda ya kati northeners hatutaki kurudishwa kaskazini kwa malori hatutaki kumsumbua paul makonda.......Pale Billicanas shoe shiners walikuwa na vyeo vyao kabisa....chezea machame wewe!Kule utampata tajiri namba moja mzawa na masikini namba moja mzawa.
Mkuu naona Ngosha anaijua siri hii maana ni kama vile anawapotezea.Wachaga noma kwa shemeji tu jasho lilitutoka sembuse mkaskazi mwenzao laigwanan tungeisha aisee!!!Jamaa walikuwa wajanja sana kuna kipindi ilifika mangi walitaka nchi ipelekwe kimajimbo kama yalivyo mataifa yaliyoendelea ili huduma ziweze kufika kirahisi kwa kutaka kilimanjaro, Arusha, na Tanga ziwe jimbo moja Mwalimu enzi hizo alikuwa akipenda tuishi kijamaa akakataa kata kata mpaka leo alikuwa hataki kitu mshaghaa na Urais jamaa wajanja sana.
Hapooo sasa ndio naishiwa pozi bila kusahau professor wa kwanza wa udaktari Tanzania mwanamke anatokea Moshi kati ya mwika au mamba bila kusahau mainjinia na mvumbuzi wa umeme wa jua ngowi ni wawapi tena huyu.Hata hivyo TRA au BOT kuna mgodi wa TANZANITE au AlMASI ndio watu wapaonee gere hivi? Mbona hawasemi Madaktari na Profesa Wachaga wamejazana Muhimbili?