Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

tatizo kubwa la viongozi wote wa T hakuna mbaye alikwisha kukiri hadharani ya kuwa ameaathrika na vvu......................kila mmoja analaumu dalili za ugonjwa badala ya kiini chake........................wasichojua kama wakianza kujitokeza tutawaheshimu zaidi kwa kutusaidia kupunguza unyanyapaaji wa waathirika uliokithiri hivi sasa......................................kwa maoni yangu Zitto is a victim of hiv but he remains in the closet........................baada ya hii operesheni bado ataendelea kuumwa na kuanguka sasa sijui atasema imekosewa? Time is the best teacher here..............

Kwa hiyo wewe ndio daktari wake unajua anaumwa nini, hivyo unamhesabia siku na kusubiri aadhirike sio.

Ama kweli kusoma sio kuelimika, kwani wapo waliosoma lakini hawajaelimika. Hujafa hujaumbika.
 
Tuko pamoja sana Kamanda wetu.. Mungu wetu tunaye mwamini atakuepusha na kukufariji katika kipindi hiki kigumu... (Maadui zako wataingia kwa njia moja lakini watatoka kwa njia saba...) Jina la Bwana na Lihimidiwe,,, Get well soon Kamanda ALUTA CONTINUA..
 
Ugua pole Mh Zitto Mola akuponye haraka ili urudi kuwahudumia Watanzania.
 
zitto usikimbilie upsauaji wa kichwa wakikufanyia upasuaji utakuwa na mwaka mmoja wa kulala na kuamka..na pia tatizo lingine laweza kutokea juu ya upasuaji huo
 
Pole sana mh. Kabwe. Kwa ushauri wangu wa bure, usifanyiwe 'upasuaji' kwa kuchelea isije kuzalisha tatizo jingine. Uzoefu unatuonyesha, ugonjwa wa kipanda uso haujapata tiba ya kisawasawa hospitalini, ila dawa yake ipo kwenye tiba za mitishamba tu, tena kwa gharama nafuu kabisa ya shs. 2,000 tu za kitanzania. Kama utadhani ni utani muulize mzee (mtu mzima) yeyote anayeujua ugonjwa huo. Tunamuomba MWENYEZI MUNGU upate nafuu haraka.



hata mimi nashauri asikimbilie hoyo operation.....waanganalie kama kuna dawa apewe na aanze kutumia na ikishindikana ndio apewe hiyo operation.......
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mara nyingi umezushiwa kifo na wahujumu nchi ya tz lakini Mungu anajua kazi aliyokutuma haujaimaliza. Ukiimaliza atakuita
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Get well soon mkuu. Mungu atakupigania wewe na wapigania haki wenzako...
 
Ritz1 na Rejao watakuwa hoi kwa taarifa hiyo, kwani ndo wa kwanza kushadidia taarifa ya Zitto kufariki. Shame on you all
 
Mungu na akutunze na atakupigania,mtumaini yeye peke yake,tunaamini utarudi salama na kuendelea na majukumu yako.
 
Mungu atakujaalia utapata nafuu na kurudi kuendelea na ujenzi wa taifa,InshAllah
 
POLE sana Zitto maana chadema inakupenda wananchi wanakupenda sana hata ukaonesha uzalendo wa kutibiwa hapa nchini kwenye Hosibitali za walala hoi ambazo ndio msingi wa maendeleo. lakini Bunge limekusafirisha . cha msingi ukirudi peleka salamu zako katika kuunganisha nguvu za chadema kuelekea ushindi CCM inabomoka kwa sababu wamekalia wazee wasiopenda maendeleo sasa shirikiana na wazee katika chama chetu kuleta maendeleo ili baada ya miaka kumi ijayo ume mmoja wa kutunukiwa zawadi ya ushindi kwa kuwaunganisha wazee na vijana katika kuleta harakati hapa nchinui

Mwambie mwenyekiti na viongozi wezako pamoja na wewe punguzeni hasira za hulka wekeni point mezani hawa jamaa hawaezi kujadili pointi kwa sababu ya kuogopa
Nahakikas mungu atakusaidia hili bunge uhudhurie
 
tatizo kubwa la viongozi wote wa T hakuna mbaye alikwisha kukiri hadharani ya kuwa ameaathrika na vvu......................kila mmoja analaumu dalili za ugonjwa badala ya kiini chake........................wasichojua kama wakianza kujitokeza tutawaheshimu zaidi kwa kutusaidia kupunguza unyanyapaaji wa waathirika uliokithiri hivi sasa......................................kwa maoni yangu Zitto is a victim of hiv but he remains in the closet........................baada ya hii operesheni bado ataendelea kuumwa na kuanguka sasa sijui atasema imekosewa? Time is the best teacher here..............


Acha kutumia Masaburi katika masuala nyeti kama haya. Huwezi ukapingana na vipimo vya Dk. kwa maoni. Hata ingekua kama masaburi yako yanavyokutuma bado ZK anahitajika sana katika nchi hii.
 
Tunashukuru sana kwa kutujuza yaliyokusibu. Inshallah Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema ataendelea kusimamia matibabu yako mpaka mwisho ili urudi salama nyumbani kuendelea kutetea Mustabali wa Maslahi ya Watanzania (wengi) wanyonge.

Get well soon mkubwa.
 
Mungu atakujalia upone haraka na urudi kuendelea kuokoa jahazi. upendo woote huo unaoonyeshwa kwa karibu zaidi na hata wale wa CCM ni kigezo kuwa taifa linakuhitaji katika ujumla wake.
 
Kwa kweli angalau taarifa hii itanpa hamu ya kupata chakula leo, vngnevyo nlikua nshaanza kupoteza hamu, tunashukur sana kwa taarifa nzuri!!, Tunazid kumwombea ndg yetu ili apone haraka azidi kupambana na uovu na uozo unaoendelea nchin kwe2. pole sana ndg yetu.
 
Pole sana mpiganaji kwa ugonjwa.

Mungu akujalie na upate nafuu mapema urudi kwenye mapambano.
Watanzania wenye kuitakia mema nji hii bado tunakuhitaji kamanda.

Ubarikiwe.
 
Pole sana Mhe. Zitto tunakuombea upatiwe matibabu salama na urudi nyumbani kulitumikia taifa hili bado linahitaji nguvu zako.!
 
Back
Top Bottom