Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Na siku zote waimba kwaya ndiyo waanzishaji wa choko choko za udin kama hizoo..

Huyu mtoa mada anasema nayeye ni mfanyakaz wa Nssf...lakn sasa hata watu wa nje ya hilo shirika lao tunajua kwamba kwa muda ambao Dr Dau kajiunga na Nssf assets thaman yake zilkua ni 170billion na hiv sasa ameondoka ameacha thaman yake over 3Trillion..!how comes huyu kichwa box aseme eti under Dau Nssf imeunderperform?...

Kipind Dr Dau anaingia hapo Nssf data zinaonesha mshahara kwa officer ulikua almost kama laki 5 na 20elfu hiv lkn hiv sasa ni over 1M...sasa huyu msaga chuki atasemaje kuwa under Dau Nssf imeunderporfm...

Dau kaichukua Nssf Huku ikiwa no one knows Nssf lkn kwa sasa ni leading East and Central Africa..!how comes mtu aje aseme kwamba chin ya Dr Dau Nssf imeunderperform?...

Kipi wanachojua hawa most of them waimba kwaya zaid zaid ya wizi na ufisadi?
 
Sijawahi kuona Wakirto wana roho za husda na za kibaguzi kama wa Tanzania wao wamejazana kila idara serikalini mashirika ya umma, karibua wizara zote wamejaa Wakisrto watupu lakini wao wanaona sawa wala neno udini alitumiki lakini wakiona Muislam mmoja tu kapewa nafasi serikalini mnaita udini tafsiri yenu udini mnamaanisha Uislam daaha!!!
 
M
Duh,

Tatizo wagalatia wanajua kila muislamu ni mpemba ....

Ok wafukuzeni wapemba maana wao kwao magengeni na baharini kuvua samaki.....

Hawana hadhi ya kufanya kazi NSSF...
Hapo panawafaa nyinyi Wachaga , Wanyakyusa na Wahaya.
O nmbona hakuna wabara znssf kwahiyo znssf ni wabaguzi syo?
Dau mwizi na mdini period
 
Ufisadi gan sasa.

Na vip nyinyi mlipohusisha had makanisa na maaskofu kwenye wizi wa mali za umma kama ule wa escrow?

Au mmesahau?

Shida yenu wengi wenu waimba kwaya mmezoea sana kubebwa.
Na wewe tukuite Muimba Kaswida??...

Kauli zako za ubaguzi wa kidini zitawafanya watu waamini maelezo ya mtoa mada...

Yaani wewe kila mara unawalabel watu kama 'waimba kwaya'....

Too bad na too low kwa JF Senior Expert Member kama wewe...
 
Mkuu wangu hapo ndiyo uwa nachoka kweli Mods hawataki hawa jamaa wajibiwe lakini wanaruhusu waanzishe uzi.

Uwa nacheka sana.
 
Ha
ng'ombe mko wengi sana humu. Wenye akili za punda na fisi. Mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu.
Hakuna anaesema nchi ya peke yetu ila hakuna anaekubali kuitwa kafiri au mgalatia ndani ya ofisi za A umma ila yeye dau kwake kuita wenzake hivyo halal
 
Sasa which is which?

Unasema kwamba waislam hatusoma na tumezoea elimu ya madrasa na tarawehe...its ok..thats is what makes us proud..Madrasa..!

Sasa nakuuliza iweje hao hao waislam wanaonekana hawataki shule leo ionekane wanapendelewa Nssf wanachukuliwa kwa elimu gan hiyo hiyo ya madrasa?

Then nyinyi huko mashirika mengine mliko jaaa mmechukuliwa kwa vigezo gan kama siyo kuimba kwaya pamoja?

Kuna shida gan kama nyinyi mmechukuliwa kwa kuimba kwaya iwe tabu wenzenu kuchukuliwa kwa kutokea madrasa?

Kumbe inaumiza eeeh?
 
Mnaangalia watu kibaguzi kishenzi na kihusda. Dr Dau ni clean. Tatizo lake ni imani yake. Kila alipo muislam mnanuna na kufitini as if nyie ndio wenye miliki na haki ya kuishi peke yenu.
 
sipati picha yule dr aliyeteuliwa juzi na kutimuliwa angekuwa na jina la kiislamu...wangeandamana nchi nzima





Hahahahahahaha...mkuu wewe acha tu ukitaka wakae kimya atakae kaimu awe na jina la kama alietoka..ukiona watu wanapiga kelele jua kuna maslahi yao pale nani hataki bahasha za kaki
 
Mnamzungumzia Dau yupi?

Huyu anayemiliki uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu nyumbani kwake hapa kigamboni huku wachezaji ni watoto wake na mtazamaji ni yeye?

Huyu anayemkodishia mwanae ndege kwenda rufiji asubuhi kushinda na bibi yake na kisha jioni ndege hiyo inamrudisha kila ijumaa?

Huyu anayejilipa mshahara milioni 38 kwa mwezi?

Dau yupi huyo?
 
Zaidi ya Udini ambao naona watu wamejikita(nadhani mtoa mada alikosea hapa, hasa namna alivyowasilisha)...

Kuna ishu nyingine amezizungumzia ambazo ni:

1. UBADDHIRIFU
2. KUSHUKA KWA UFANISI na
3. KUONGEZEKA KWA GHARAMA.

Nadhani watu wangeachana na hilo la Udini na kujikita kwenye hayo matatu..Suala la kuunda Tume ya uchunguzi ama kufanya ukaguzi maalum (special audit) kama ilivopendekezwa na mtoa mada ni la muhimu sana...Matokeo ya haya yataondoa figisufigisu na umbea wote uliopo sasa...
 

Mkuu hawa jamaa sisi hawawez kutupenda hata tungeimba kwaya.

Na kinachoshangaza wamejazana kwenye ofis za umma hakuna cha maana wanachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi na kulitia taifa umaskin...

Hakuna wanachojua.
 




Hahahahaha...halafu anasubiri mshahara mwisho wa mwezi
 
Huwez kuiweka kando hoja ya udini..

Hizo hoja zake zoote ni hoja mama...lazima tuzidiscuss zoote.

Na anaposema kuhusu hoja ya ubadhirifu inapaswa aweke na uthibitisho na siyo kupiga ramli...

Na pia anaposema kuwa Nssf ina underperform anafanya comparison na pension fund gan?

Au anaongea tuh kama. Bata.

Hizo chuki zao za kidini safari hii tutadeal nazo perpendicular..!

Waimba kwaya wamejisahau sana na kudhan kwamba kanisa ndilo lenye hati miliki na nchi hii..

Hii Notion inabid iondoke kichwan mwao na after all hakuna walichokifanya kwa taifa hili zaid zaid ya wiz na ufisadi tuh.
 

sasa mbona hawajafanya hiyo unayoita forensic audit mnakalia kuongea vitu vya kufikirika na majungu. Facts are very stubborn. We need facts to condemn him and not blah blah
 
Duuu hata wewe?mnaanza kuwapa point akina Faiza kwa wanayoyasema kwa Chadema kama moja ya maofisa wake unaunga mkono ukaburu!hivi udin ni kuajiri Waislam wengi tu?mbona hamsemi kuhusu ajira za Crdb,Nssf,PPF,TBL nk?
Teh! Teh! Teh! Teh! Hivi Mkuu TBL na CRDB ni mashirika ya Umma nilikuwa sijui kabisa
 
Badala ya kumtetea mimi ningefikiria kuwepo TUME huru ya kuchunguza hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…