Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

embu tujaribu kujadili mamabo ya msingi na tuweke udini pembeni.. dini hizi tumepokea mbona kama zinataka kutuvuruga.. kama muislamu anaweza apewe nafasi ...
 
wagalatia bana , haya Dr keshaondoka mleteni mkristo mwenzenu aongoze... ondoeni hao waislam wote,, na hao mnaosema wapemba ... maana ishakuwa shida sasa ....

huko TRA na mashirika mengine mliko jazana wakristo sio udini ...
hii ni zaidi ya upumbavu!...

mods mada kama hizi wanaacha lakini tuki comment upande wa pili wa shilingi mnafuta comment zetu ..

sasa inabidi kila uteuzi kila kitengo alicho muislam tuite UDINI...

JANA NIMEWASAIDIA BAADA YA WAZIRI MKUU KUMKABIDHI ZAWADI YA LAPTOP JABIR NKASEMA HUU NI UDINI IWEJE JABIRI APEWE LAPTOP MKAIFUTA COMMENT HARAKA!! LAKINI ANGEANDIKA MGALATIA INGEACHWA...
 
Mi nafikiri kutumia kigezo cha dini katika ajira ya shirika la umma ya kikristo au ya kiislamu ni ukiukwaji maadili. Pia kutumia kigezo cha kabila au eneo la makazi km Pemba au Bukoba au K isarawe ni ukiukwaji maadili. Tena kutumia kigezo cha undugu katila ajira ya umma ni ufisadi ule ule iwe ni Dr Dau au mimi hapa. Tutumie akili vyema wala si utetezi usiozongatia hoja.
 
Tuhuma ni tuhuma. aliyeleta post anamtuhumu dr. na baadhi humu wana mtuhumu aliyeleta post hii. wote waweza kua sawa au wote wanaweza wasiwe sawa. muhimu hapa ni kufanyika uchunguzi ili ukweli ujulikane. kisha watu watakua ktk nafasi nzuri ya kutoa moni yao kuliko ilivyo sasa.Muhimu sisi nasi tusije naswa na mtego wa udini. tujadili kwa tahadhali.
 
Hivi kweli vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havijui hizi data? Nafikiri si shirika hili tu mashirika mengi ya umma asilimia kubwa viongozi wake ni mizigo. Yanatakiwa kufanyiwa reform na kutumbuliwa. Wakati wa serikali ya awamu iliyopita uozo ulitawala pamoja na viburi kwa watendaji wakuu. Kwa sasa kuna haja ya kuangalia na kufanya special audit karibia kila shirika la umma na kuangalia uendeshaji wake kipindi cha miaka kumi iliyopita mpaka sasa. Kipindi cha Mweshimiwa Rais wetu JK kuna watu walipopewa nafasi katika mashirika ya umma walifikiri wamepewa makampuni yao kuyaendesha. Wengine waliajiri ndugu, jamaa na marafiki bila kusahau dini zao.

Ongera mtoa mada lakini kama haya hayafahamiki basi kuna haja ya kuwawajibisha waliopaswa kuyafahamu. Haiwezekani kukawa na watu wanaofanya chunguzi wanakula mishahara ya serikali lakini uozo unaoweza kuua shirika wasiugundue.
 
......
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba.

Duh,

Tatizo wagalatia wanajua kila muislamu ni mpemba ....

Ok wafukuzeni wapemba maana wao kwao magengeni na baharini kuvua samaki.....

Hawana hadhi ya kufanya kazi NSSF...
Hapo panawafaa nyinyi Wachaga , Wanyakyusa na Wahaya.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Hii nayo nondo???na unaiamini??
 
Duh,

Tatizo wagalatia wanajua kila muislamu ni mpemba ....

Ok wafukuzeni wapemba maana wao kwao magengeni na baharini kuvua samaki.....

Hawana hadhi ya kufanya kazi NSSF...
Hapo panawafaa nyinyi Wachaga , Wanyakyusa na Wahaya.
Ha ha ha haaaa,NSSF imeleta mparaganyiko sana hadi aibu
 
Nilikuwa najiuliza mpaka muda huu Dau katajwa kwa udini wake "Uislam" bado haujatokea daah!!!
 
Mkuu Nepotism ni kitu kibaya popote pale, Lakini usisahau kuwa hakuna kigezo mahali popote kiachosema kuwa utaajiriwa kama mkristo au muislamu au kabila fulani!! Huo ni upendeleo unaofanywa na baadhi ya watu katika kuakikisha kuwa kundi fulani linaweka watu wenye maslahi nao. Lakini usisahau kuwa hakuna sehemu yoyote nimetetea huo ujinga. Nimejaribu kuainisha ukubwa wa tatizo na changamoto wanazopata wateuliwa katika kukidhi haja za waliowateua.
 
Hilo la kuajiri wapemba ni sawa.Nilienda NSSF Mbeya niliwakuta wapemba.kama waliajiriwa kwa kukidhi vigezo hakuna shida,ila kama ni kutokana na upendeleo hilo ni tatizo kubwa. Ni vema vyombo vya uchunguzi vifanyie kazi hili suala.
 
Hilo la kuajiri wapemba ni sawa.Nilienda NSSF Mbeya niliwakuta wapemba.kama waliajiriwa kwa kukidhi vigezo hakuna shida,ila kama ni kutokana na upendeleo hilo ni tatizo kubwa. Ni vema vyombo vya uchunguzi vifanyie kazi hili suala.

Mkuu Mbeya mbali sana...

Dar hapa kila siku tukiingia TRA na CRDB wachaga wamejaa utafikiri tupo Moshi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…