Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Chadema ipendekeze wapemba wote wafukuzwe kwenye ilo shirika maana sio RAIA wa tz,hawana haki yakuajiriwa km asemavyo mleta mada kwa kusapotiwa na kina Ben saa nne
Wangekuwa raia wa Tanzania msingewaandikia mabango na kuwaita machotara waondoke wawaachie nchi yenu
 
Mimi ni mwislamu ila taarifa hii naichukua kama tip kwa ajili ya uchunguzi,siwezi kupinga wala kukubali hata uchunguzi ufanywe na nipate empirical evidence,ili kukata mzizi wa fitna an indipendent audit ifanywe ili tujue ukweli
 
Sina uhakika na tuhuma hizo nyingine lakini tuhuma zinazohusu waandishi wa habari kuhongwa na pia kusafirishwa kwenda Zanzibar, Tanga au Bagamoyo hizo nazifahamu. Waandishi wa habari njaa sana. Watu wazima wakiwemo wahariri walikuwa wanahongwa wanalipiwa malazi na chakula hotelini na kupewa posho karibu sh. milioni moja kila mtu.
 
nakala imfikie ndugu PASCO .
 
Bala,

Kwa faida ya JF unaweza kutuwekea ushahidi wa ufisadi mkubwa wa NSSF ambao umesababishwa na Dr Dau, pamoja hizo tuhuma za kushuka kwa ufanisi.

Tutoe tongotongo mkuu.
Ritz usiwe kipofu mkuu...

Soma vizuri na uelewe nilichokiandika..Mtoa mada ametoa tuhuma...Tuhuma zitathibitishwa na uchunguzi..Ama wa Tume ama wa Ukaguzi maalum..

Hakuna sehemu nimemtuhumu Dk. Dau kwa Ufisadi zaidi ya kuegemea maelezo ya mtoa mada.
 
Mkabala na Christ church ni 40% occupied n the other one is 36%.


Kindly, correct your figures Muzee.
 
Wanaliona hilo mbona kuna kuna mfagio unapita wa kuwamaliza akin akina docter wasiwepo selikalini hilo hamlioni
 
Mkuu Jagiro, inawezekana huko nyuma usingekuwa na ubavu wa kuyasema haya kutokana na aina ya utawala wa nchi uliokuwepo lakini kwa sasa umepata mwanya ingawa hayana msaada sana kwa sasa kwa sababu Dk Dau mwenyewe ameishaondolewa na kupewa ubalozi wa makaratasini.

Ukiyaona tena kama hayo ya Dau safari hii sema yatafanyiwa kazi na serkali ya kazi.
 
Upo wapi huo ushahidi unaonesha kuwa ndugu X alinyimwa ajira kwasababu tu ya ukristo wake na ndugu Y alipewa ajira kwasababu tu ya uisilamu wake?
 

Pole sana; Dau misikiti keshatumbuliwa; you can relax japo najiuliza kwamba pamoja na kero, uozo na maudhi yote hayo kama ulivyoyaainisha hapa bado tu umeendelea kubaki mumo humo nssf! Kwa nini au shule ndogo? Kwani wewe ulizaliwa ufanye kazi nssf tu?!
 
Teh teh teh!!.

Kwa hiyo hii ID yako ni maalum kwa kutukania watu JF hivi una matusi mapya ilo la mbwa nimeishatukanwa sana.

Msalimie sana lusungo.

Huwa unamaanisha nini Mara nyingi kutuma salami kwangu kupitia ID hii?

Unafikiri nahitaji ID MPYA ili Ku express nnachofikiri? What for?

Hiiniliyonayo ni anonymous sasa niongeze anonymous ili iweje? I'm not that simple aisee....
 
Fisi maji nyie hii nchi hatuwezi kumpa malaya wa kuoa wake kumi kumi... Hii nchi ataiongoza John Ikulu si mahali pa kufanyia ufuska
Halafu unakaa mahali nakusema nawe pia ni member wa jamiiforum,inasikitisha kwakweli
 
Reactions: 911
Naona umetumia hekima sana kwa uandishi wako.
 
..........................................................................................................
 
Mimi MTU yeyote mwenye harufu ya udini afukuzwe maana halifai taifa hili kabisa
 
Huwa unamaanisha nini Mara nyingi kutuma salami kwangu kupitia ID hii?

Unafikiri nahitaji ID MPYA ili Ku express nnachofikiri? What for?

Hiiniliyonayo ni anonymous sasa niongeze anonymous ili iweje? I'm not that simple aisee....
Naona wiki karibia ya pili sasa anafikiri hii ID ni yako... Huyu mtu kwasababu yeye anazo ID kumi humu basi anafikiri kila mtu ni kama yeye.. Fisi maji
 
Naona wiki karibia ya pili sasa anafikiri hii ID ni yako... Huyu mtu kwasababu yeye anazo ID kumi humu basi anafikiri kila mtu ni kama yeye.. Fisi maji
Anajitesa bure coz siogopi chochote kuitumia ID yangu kusema chochote coz I'm not a verified user.....
 
Mbona yule aliyejenga nyumba Mchechu mnasema nyumba kamaliza ila haziuziki?? Mbona yeye hamsemi investment ya leo tutaiona kesho?? Au kwakuwa yeye mkristo
Biashara zote huangalia forecastes, demand and supply !! Wewe umekurupuka bila kufahamu.....jifunze kusoma posts vizuri na kwa kituo!!
 
Mtoa mada ana chuki ya kidini kwenye hoja zake. Stop
 
Haya fananisha na hii mikoa...

Iringa na Musoma, Mwanza na Singida, Songea na Arusha, Mbeya na Kigoma.

Teh teh teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…